I have found the love of my life...!!!

Hondera sana shemeji ila macho hayo macho shemeji, kila cku huwa nachat via kamchina kangu nakosa uhondo wa avatar duh leo nipo kwenye pc ndo naona macho hayo... shem huna mdogo wako ambaye hajaoa yan me nipo tayari kumtaliki sobhuza!!!!!!! plz...........

Duh!!! charminglady leo umepata moja mbili tatu nini?
 
Last edited by a moderator:
Hatuwezi shindwa kuelewana Ndugu, mie nitakusindikiza tena kwao napafahamu shamba langu limepakana na lao, Babake Hana noma kabisa mashangazi tutamalizana nao, gorofa ukijenga ni ya wewe na mkeo usiogope

Dah!!! Itabidi nikutafute mkuu ili ukawe mshenga wangu. Au wewe unasemaje measkron?
 
Last edited by a moderator:
namzimia dada mmoja humu ndani mpaka naona aibu

sema nae....unaogopa nini nawewe.......hapa ni kufunguka tu....tupo mwezi wa malavidavi......ukipita ndio ntolee.....
(
au ninong'oneze nimwambie..)
 
Beautiful! Mapenzi haya jamani.. Mi nawaonea raha tu! Hongereni sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom