I have an investor...Who is ready to invest in the Mining Field | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I have an investor...Who is ready to invest in the Mining Field

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mark.Mboyi, Oct 1, 2012.

 1. Mark.Mboyi

  Mark.Mboyi Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hello Everyone

  I have an investor whom is ready to invest in the mining field business.

  We are looking for people to do business with, basically we need a person or group of people that have areas that we can do the business basically land . We need those people with all the proper documents example the geographical study doc... The investor is ready to partner with anyone whom is ready to do business.

  For more info call this number

  0684627566
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hawa ndo wale wawekezaji wanaozngumziwa na Wazungu, Anakuja PASPORT TU Lakini akirudi kwao yeye ni Bilionare, Ok mkuu can you try TIC? YOU Can get all information you need about mining sector, also try The minstry of Energy and Mining
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mwaga details kila kitu hapa
  ikiwezekana na business plan, picha na kila kitu
  ifike sehemu watanzania tuwe serious na vitu tunavyofanya watu wamezidisha ujanja ujanja mwingi sana
  kila siku watu wanalia kuwa hakuna investors kumbe watu wenyewe wanafanya vitu vyao kiujanja ujanja approaching techniques ni zero
  ulishawahi oona wapi mtu anamfuata mtu anamwambia kama unataka kuinvest sehemu fulani nipigie simu namba hii
  seriously, seriously, seriously....
  tuna safari ndefu sana.....
   
 4. M

  Mc Poul Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  aiiseee kila kitu kina uproffession wake naona ww umevamia fani na huyo investor wako amegusa pasipo, kazi ya udalali haikufai waachie wenye proffession zao bhana, unatafutaje uwekezaji huku, if you were realy serious maeneo yapo ya kumimina sema co kwaajili ya investors ni kwaajili ya wasomi wa KiTZ, tumewachoka mainvestors ambao wanawekeza TZ kufaidisha nchi zao, ingekuwa ww mwenyewe tungeongea kwa lugha ya kuelewana lakin kwa kuwa ushaingiza hizo impurities ambazo ni very riactive in relation to my status of economy umefeli mtihani
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mimi binafsi nimekuwa kwenye madini kwa muda na maeneo yapo sasa walio wengi sio wakweli wanakuja tunawaonesha maeneo tunawakutanisha na wauzaji wa madini wanachukua copy za docomaa kisha hawaonekani tena. mimi nimekutumia msg kama mko serious wapo watu wengi wengine leseni zinakaribia kwisha na hawajatumia , pia binafsi nika heka 10 za machimbo tuwasiliane tukae mezani tuzungumze.
   
 6. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  powa, nina machimbo yapo kaskazini mwa tanzania, nina chimba pink ruby capshon, sasa ii nina kilo 50, lets us do business. napatikana at wigo , 0655 308308, email: cerengeti@gmail.com
   
 7. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Call me. . .I have a gold field, unexplored, 2tachukua licence and all other required documents. Pm if interested.
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hao wawekezaji wana interest na CHUMA-( IRON-Fe)?, kuna eneo lina chuma na lina leseni
   
 9. Mark.Mboyi

  Mark.Mboyi Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Seriously get Serious...............This one way of getting the information out there to different people around the whole......as its called the Social Media.............It helps in Spreading the word.
   
 10. Mark.Mboyi

  Mark.Mboyi Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35


  But am getting contacts and i am going to be doing alot of business with few of my fellow Tanzanians.

  So stay with your status of economy.
   
Loading...