I HAVE A DREAM: Paschal Mayalla kuwa msemaji wa Serikali kumrithi Dr Abbas

Pascal ni Mgalatia hawezi kumuweka nafasi hiyo. Unajuwa kuna nafasi zile za kusema uongo na kufanya maovu kupindukia basi wanawekwa Waizlamu ili wazaraulike katika jamii. Tizama Jaji mkuu anavotizama sheria na hukumu zinavoendeshwa na yeye anatizama tu huku msemaji mkuu kazi kusema uwongo tu!
Uwe na heshima kwa imani nyingine.
 
Kiongozi, kweli wanawekwa ili wadharaulike? Seriously?

Kwani wewe hilo hukijui. Hayo mstendo ya kunyimwa haki za msingi washitakiwa na jaji mkuu anatizama tu. Nj muislamu gani huyo? Huyo mwengine kazi kusema uongo tu 24/7. Si kujidharaulisha huko.

Wewe unafikiri sisi wengine hizo kazi hatuzipati? Hatuzitaki kwa sababu ya kujidharaulisha kwa kuwafurahisha mabwana!
 
Back
Top Bottom