I have a dream ! Mkuu wa Mkoa atafanya jambo la maana!

Andrew Mushi

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
630
696
Waziri wa ulinzi maarufu nchini Ujerumani ameamua kuachia ngazi baada ya kugundulika kuchapia ktk masomo yake ya PHD..

Waziri huyo ambaye aliwekewa mategemeo makubwa ya kushika hatamu ya uongozi wa nchi kwa miaka ijayo..

Waziri Merkel alisikitishwa sana baada ya kusikia habari hio, lakini alikubali kwa shingo upande hatamu ya kiongozi huyo..

hey, country first, he has to go, she can't allow him to stay in his position to put the whole government into disrepute, integrity at the core of it all, when we will be learning our lesson..

Kwa habari zaidi bofya hapa

German defence minister resigns in PhD plagiarism row

Am I still dreaming ??
 
IMG_20170313_144001.jpg
 
Anaitwa the hero,nchi hii chochote kinawezakana bora uwe ccm na uwe na mtu wa juu wa kukulinda
 
Yaaan uku kwetu ndo kwanza anasifiwa na wakati kichwa iko empty......unajua kichwa yake ni kama tikiti maji haina kitu

Daudi mfipa bhana........

Mkuu sijaona sababu za msingi zinazotolewa na washabiki au serikali zaidi ya hizi

01. Mapenzi moto moto juu ya kipenzi chao, aachwe afanye kazi

02. Mchapa kazi wa kuigwa, kwa kazi ipi exactly, bado sijapewa statistical info
Au hard evidence..nitarudishwa kwa mafanikio yake kuongea kwingi.. Tanzania ukiwa msemaji wewe ni mchapa kazi, Na ndio maana niliwahi kusema hii ni mental case,

03. Serikali haina mpango wa kukemea kile walichokitunga, kufukuza wote wenye kuchapia na wasioidhinisha vyeti vyao kwa wizara na idara husika, ukija kwa wakuu wa mikoa off limit..
 
Tatizo hapa bongo hakuna mwenye ushahidi dhidi ya makonda na kama yupo hajautoa lkn ujerumani mwenyewe alikiri na chuo kikuu kilichohusika kikamvua degree yake.

Ndio ulivyozipata habari?, tumeshapoteza generation... inanisikitisha sana, umeelewa ulichokisoma, au umesoma bado na wingwi la mahaba la kipenzi on your forehead ...

Kukusaidia

Quote....Guttenberg's crisis management after the plagiarism allegations emerged two weeks ago was less impressive.....unquote
 
Baadaye akakiri na akavuliwa phd yake
 
Ndio ulivyozipata habari?, tumeshapoteza generation... inanisikitisha sana, umeelewa ulichokisoma, au umesoma bado na wingwi la mahaba la kipenzi on your forehead ...

Kukusaidia

Quote....Guttenberg's crisis management after the plagiarism allegations emerged two weeks ago was less impressive.....unquote
Pelekeni ushahidi dhidi ya makonda ili sheria ichukue mkondo wake kwa sab hataki kukiri wa kukanusha.
 
Halafu kukusaidia, huyu waziri he was really doing the job, evidence of the outcome of his reform in arms forces, as well as economy minister in his previous post..

Lkn hatma yake walikua wanamwita mzee wa" cut and paste", unfortunately Bashite probably as they say it, he had get a notch up, stole the name, the marks and the whole thing, and still ending up with fishing diploma, Bila ya dau..lol
 
Pelekeni ushahidi dhidi ya makonda ili sheria ichukue mkondo wake kwa sab hataki kukiri wa kukanusha.

Ndugu ngoja nikupe somo la siasa, kuna kitu kinaitwa public interest, when the matter fall foul of Public intense interest up to this level, then the government should step in to clarify the matter, not by showing what he get in his bashite time, but at least deny the allegation.

That's why me and you, we are still discussing the issue till this time, even has reach a level of interest to kindergarten school children can you imagine?, I met a 6 year old one day, mocking his friend and saying amebashite on math test...., that's beyond bringing the government into disrepute but rather insane, a higher level than bashitisized..a mockery of the whole thing,

What else are we left with, laughing the stock out of us.. lol
 
Mkuu sijaona sababu za msingi zinazotolewa na washabiki au serikali zaidi ya hizi

01. Mapenzi moto moto juu ya kipenzi chao, aachwe afanye kazi

02. Mchapa kazi wa kuigwa, kwa kazi ipi exactly, bado sijapewa statistical info
Au hard evidence..nitarudishwa kwa mafanikio yake kuongea kwingi.. Tanzania ukiwa msemaji wewe ni mchapa kazi, Na ndio maana niliwahi kusema hii ni mental case,

03. Serikali haina mpango wa kukemea kile walichokitunga, kufukuza wote wenye kuchapia na wasioidhinisha vyeti vyao kwa wizara na idara husika, ukija kwa wakuu wa mikoa off limit..
Nimekiona ulichoandika,,. Bahati mbaya siasa zimefunika anga lote
 
Ndugu ngoja nikupe somo la siasa, kuna kitu kinaitwa public interest, when the matter fall foul of Public intense interest up to this level, then the government should step in to clarify the matter, not by showing what he get in his bashite time, but at least deny the allegation.

That's why me and you we are discussing the issue till this time, even has reach a level of interest to kindergarten school children can you imagine?, I met a 6 year old one day, mocking his friend and saying amebashite on math test...., that's beyond bringing the government into disrepute but rather insane, a higher level than bashitisized..a mockery of the whole thing,

What else are we left with, laughing the stock out of us.. lol
Kujibu tuhuma sio lazima na kujibu au kutokujibu sio jibu kuwa tuhuma ni za kweli au la. Sasa ni kazi ya mtuhumu kutoa ushahidi wa kuimarisha tuhuma husika.
 
Daudi Bashite anatakiwa kuonyesha vyeti vyake hadharani kama hajanunua au aamue mwenyewe kujiuluzu aibu kubwa sana kwake kununua cheti cha mtu mwingine.
 
Limkutano sijui likikao la maccm limesahaulika ghafla.
Yaliyoamuliwa hayajulikani zaidi ya kuwafukuza kina Sofia.
Walahi bashite atasababisha presha pale Luthuli, mungungu bariki sorry mungu epusha hii ishu isije ikatimiza maono.
 
Nimekiona ulichoandika,,. Bahati mbaya siasa zimefunika anga lote

Mkuu ingekua siasa pia ningeelewa, lakini hii ni chini ya uvungu wa siasa, ni kibaya zaidi ya tunavyoifahamu siasa, tunaiweka hii nchi ktk hali mbaya, kwa maadui zetu, this is actually a mockery of things, haina hata jina zaidi ya bashetization of minds and brains,

Wajua nikwambie kitu kimoja, Mkuu wa mkoa ni mzuri sana kuongea na anajua kupanga beti and I really mean, Na kama ningekua ni sehemu ya ushauri kwake, basi ningemsaidia kitu kimoja..

Aachane Na siasa aanze shughuli ya usanii, utunzi wa filamu, mashairi na nyimbo, he will make big, and he knows that and I'm sure he will take that direction, kama ningejua upeo wake wa lugha, basi a PR position to a company, will do him fine, but given the current circumstances get into the movie.. he will do just fine, I will be the first in the que, I'm sure you will join me... msanii balaa!
 
Kujibu tuhuma sio lazima na kujibu au kutokujibu sio jibu kuwa tuhuma ni za kweli au la. Sasa ni kazi ya mtuhumu kutoa ushahidi wa kuimarisha tuhuma husika.
Kwa sababu anaetuhumiwa ni kiongozi wa uma, ilitakiwa haraka aje mbele ya uma na kuweka mambo sawa ili uma uwe na imani nae, mi mpaka sasa naamini hana vyeti halali, labda awe amefanya mishe za vyeti vya magumashi south aliposemekana alikwenda, na kama atakuja na vyeti vya kupikwa havita msaidia, vitutsaidia kujua mengi zaidi" anaweza hata kuikimbia nchi!!
 
Kujibu tuhuma sio lazima na kujibu au kutokujibu sio jibu kuwa tuhuma ni za kweli au la. Sasa ni kazi ya mtuhumu kutoa ushahidi wa kuimarisha tuhuma husika.

Mkuu unaongea nini hasa, ngoja tufahamiane kitu kimoja,

Mkuu wa Mkoa ni muajiriwa wa serikali under the Public office, ofisi ya watu, wewe na mimi na wengine wote kwa ujumla wake..

Sasa Public inapo demand uwazi wa public officer, the onus is on government through its apparatus and institute to diffuse our concern,

Na hii si kazi yako wewe au mimi Bali ni government or any other proper functional government on how it should behave and conduct itself in whom it saves, after all it is Public office with a cap P..kama umenisoma Mkuu

Mimi na wewe Mpenzi wa kipenzi, we have no issue, mpira uko kwa serikali, deny, proof otherwise or call the personnel to come clean.. au ulisikia serikali kushitakiwa, it is a mounting of a case to climb, it only remains the task of the government to shake off of its disrepute,

Serikali ni dhamana si amana ya mtu au kikundi cha watu.. get the concept !
 
Back
Top Bottom