I hate China, I like Capitalism

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Sipendi communism, napenda Capitalism, I don’t like Xi Jinping, I like D.Trump.

Long live Capitalism, sitaki Huawei, piga marufuku Huawei TZ, ...
 
Kwa hiyo jamaa yangu unapenda mabeberu..hawa wanaotuibia rasirimali zetu?, bora mchina ni ndugu yetu bwana toka enzi na enzi tena marafiki wa chama chetu CCM..
 
Hahaha huyu jamaa siku hizi amekatwa mkia. Ukada si mchezo aisee.
 
Kwa hiyo jamaa yangu unapenda mabeberu..hawa wanaotuibia rasirimali zetu?, bora mchina ni ndugu yetu bwana toka enzi na enzi tena marafiki wa chama chetu CCM..
Marafiki zako kwenye nini...wezi tu
 
Sipendi communism, napenda Capitalism, I don’t like Xi Jinping, I like D.Trump.

Long live Capitalism, sitaki Huawei, piga marufuku Huawei TZ, ...
Lumumba wakishasikiaga Jpm amesafari nje ya nchi huanzia kusifia mabeberu, akirudi tuu wanaanza kumsifu yeye. Watu wa hovyohovyo sana hawa buku 7.
 
Sijawahi kuipenda CHina katika maisha yangu. Ninachoona wengi mnaanz akukubaliana na mawazo yangu ingawa sijawahi kuyatoa hadharani.
 
Marafiki zako kwenye nini...wezi tu

Mkuu Chama chetu CCM kina urafiki wa karne na karne na ndugu zetu wachina, hata chao kile chama dola cha China ni chanda pete na chama letu CCM, hivyo lazima sisi wanaCCM tuipende China ni ndugu zetu wale sio mabeberu wale kama USA...
 
mifumo ya kikomunisti kiuhalisia haina tofauti na utawala wa kifalme tena ule wa kizamani, hovyo kabisa, Xi ni kama mungu mtu vile.
 
Ipo siku wachina watakataa kabisa utawala wa hivyo...History don't lie.
 
Back
Top Bottom