Marafiki zako kwenye nini...wezi tuKwa hiyo jamaa yangu unapenda mabeberu..hawa wanaotuibia rasirimali zetu?, bora mchina ni ndugu yetu bwana toka enzi na enzi tena marafiki wa chama chetu CCM..
Lumumba wakishasikiaga Jpm amesafari nje ya nchi huanzia kusifia mabeberu, akirudi tuu wanaanza kumsifu yeye. Watu wa hovyohovyo sana hawa buku 7.Sipendi communism, napenda Capitalism, I don’t like Xi Jinping, I like D.Trump.
Long live Capitalism, sitaki Huawei, piga marufuku Huawei TZ, ...
Marafiki zako kwenye nini...wezi tu