I got to say it..."Tumeuziwa Mbuzi kwenye gunia"

Hopes hawakulipia ada ya mabanda.All do respect,sijaona kampuni au wajasiriamali wa ki-asia ni macho yangu au wao si weusi au walistuka ingekuwa changa la macho..
 
Mwanakijiji,
Kwenye lile tangazo kama ukiangalia vema utaona kuwa hii summit inatoa opportunity kwa watu wote, including investors na wafanya biashara wadogo. Labda hii term wafanyabiashara wadogo wewe unaichukuliaje. Small business, basing in capital or products they are making. Kwa Tanzania small businesses ni zipi? Maana hat hizo big businesses ni za kuhesabu tu compared to other continents. Je kwa mawazo yako ulitaka wafanyabiashara wadogo wabaguliwe na serikali wasishiriki; au wewe ulitaka serikali i-subsidise hao wadogo? Kama serikali ingekosa kuwaalika mie naona ingekuwa a sin on the part of government. For a company to participate, as you are meeting such minimum criteria then you are allowed. Hapo ni uwezo wako; wewe kampuni ndogo una-participate at your own risk. Otheriwise please point where the government misdirected; otherwise you wanted them to be spoon-fed.

IO.. sizungumzii kushiriki nadhani hapo hatujakuwa kwenye kutazamana sawasawa... tatizo langu ni kwanini serikali ilipotoa mwaliko kwa wafanyabiashara walipa ishara kuwa ni sehemu ya maonesho ya bidhaa zao na kuziuza? Ni wapi katika mission ya Sullivan Summit kuna wazo la "maonesho ya biashara"?

Baada ya watu kuanza kulalamika tangu juzi ndiyo leo Andrew Young kafanya hili...

1212827473_ngilisho1w.jpg


Naona tukubaliane kutokukubaliana tu but I sense something is/was very wrong.
 
Mwkjj;
Unasema "tatizo langu ni kwanini serikali ilipotoa mwaliko kwa wafanyabiashara walipa ishara kuwa ni sehemu ya maonesho ya bidhaa zao na kuziuza? Ni wapi katika mission ya Sullivan Summit kuna wazo la "maonesho ya biashara"?
Ishara kuwa ni sehemu ya maonyesho ya bidhaa zao ya kuziuza: I wud understand this way: Sullivan Summit is more than a trade fair/exhibition, therefore there was a right for the government to use this opportunity to let its people to exploit this opportunity by showcasing their products and skills. Suala la kuziuza hilo ondoa kabisa; unaweza uuze au usiuze, will depend how the consumers see such the products.
Maonyesho Ya Biashara: Yes, is more than maonyesho ya biashara; only that products which were shown were inferior, also media coverage was low; but the government as a government did it well inviting its people from all walks of life. Such transparency should be there all the time. Anyway we may need more improvements from the citzens in the future!!
 
Baada ya watu kuanza kulalamika tangu juzi ndiyo leo Andrew Young kafanya hili...

1212827473_ngilisho1w.jpg

Andrew Young msanii. Na akae huko huko mpaka moto upoe kwao Unyamwezini, maana Mama yake ndo kapigwa chini tena. Inabidi akamwombe msamaha Mluo!
 
yes.. but they alarted the people on the wrong things.. hiyo hapo uliponukuu haioneshi hata chembe ni wapi serikali ilipata wazo kuwa hayo ni maonesho ya biashara au nafasi ya kufanya biashara kwa wajasiriamali wadogowadogo. Na kama walikuwa na lengo la hao jamaa kunufaika na nafasi hiyo kwanini waliwaweka kwenye viwanja maalumu? Kwanini serikali ilihusika katika kuandikisha hizo kampuni ndogondogo kuhudhuria mkutano huo? Kwanini wasingeacha tu wafanyabiashara na masoko ya Arusha kuchangamkia hilo kuliko kutoa mwaliko kwa nchi nzima.?

Nadhani past experience ni muhimu sana katika future planning.
Ninapata wasiwasi kwamba wawakilishi wa Tz walioshiriki summit iliyopita huko Nigeria hawakuchukua lesson yoyote ya yaliyojiri na kwamba waliishia kutalii na kuacha kufuatilia mambo ya msingi.

Naweza kwenda mbali zaidi na kusema kwa ujumla kuwa hakuna detailed analysis iliyofanyika kujenga msingi (baseline) wa Arusha summit kutokana na summit zilizopita. Au walihudhuria hizo summit hawakushiriki kabisa katika mchakato mzima wa kuandaa na kupanga hii ya kwetu.
 
mfwatiliaji, serikali ilifanya kila inachoweza na imefanya vizuri kabisa kuanzia maandalizi, mkutano wenyewe na mafanikio yako njiani. Tatizo lilikuwa ni wananchi wenyewe hawakuwa masharp na hawakujiandaa inavyotakiwa..
 
Inaonyesha ni jinsi gani serikali hakujiandaa mapema zaidi kwenye swala la maonyesho kwani wanatupiana mpira kuwa kamati ya maandalizi haikuweka ratiba ya kutembelea maonyesho, na kama walipanga maonyesho yatakuwa mwisho wa mkutano kwanini kuwakamua washiriki kuanzia tarehe 28 may.

Lazima serikali ibebe lawama kwa hili, hii si mara ya kwanza summit kufanyika africa wangekwenda nchi nyingine ilipowahi kufanyika wakachukua experience ili wasirudie makosa yaliyofanyika huko.
 
...Nimeshiriki summits kadhaa za traders... nilichokiona kwa watanzania wenzangu badala ya kwenda na wakati au hata presentation facilities wanakwenda kama wasikilizaji, nimejitahidi sana kujaribu kuwaelimisha wajasiriamali wanaokua namna ya kutofautisha summits and trade fairs.

Nakuapia, pale wizara ya viwanda hili hawalijui na hawatakaa walijue kwani wameziba masikio na macho kwa boriti na vibanzi.

Jamani ktk mkutano mzima wa sullivan mbona sijasikia board of external trade wakijitutumua???? au sie hatuwekezi nje?? au ndo zile sabasaba only!!!!!?
 
Msanii.... serikali ilikuwa imewaleta "wawekezaji na wafanyabiashara" ingawa hadi hivi sasa sijui ni makampuni mangapi ya Marekani yalikuwemo kwenye huo msafara na yalifanya nini wao kujitangaza kwa watanzania au kuonesha nia ya kuingia Ubia au kufanya biashara na Watanzania. Naona ndugu zetu wa wafanyabiashara wa Bongo waliofunga safari na kwenda Arusha na vikadi kadi vyao na kuchangamka kwa wanabebeshwa lawama lakini sijaona ni wapi hao kina Sullivan walikuwa tayari kutoa info za makampuni ya Kimarekani yaliyokuwamo kwenye msafara huo.

Katika maelekezo yake wizara ya Biashara walisema itaandaliwa orodha ya makampuni ya Kimarekani kwenye msafara huo ambayo itapewa kwa wafanyabiashara wa TAnzania je hilo lilitokea?
 
Very interesting topic!!! Tunawasikiliza... MwanaKijiji kaza but tunajifunza mkuu!!!
 
Hopes hawakulipia ada ya mabanda.All do respect,sijaona kampuni au wajasiriamali wa ki-asia ni macho yangu au wao si weusi au walistuka ingekuwa changa la macho..

..makampuni yao yalikuwa busy yanafanya tour operating.
 
Baada ya tangazo hilo hapo juu kutolewa ndipo makampuni, vikundi na mashirika ya "wajasiriamali" yalipojitokeza "kuchangamkia" mkutano huu kama walivyotakiwa na Wizara ya Viwanda..


News & Events


WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO WAKATI WA MKUTANO WA SULLIVAN ARUSHA – 2- 6 JUNI 2008

A: Viwanja vya AICC ni wafuatao

JINA LA KAMPUNI ,AINA YA BIDHAA NA MAWASILIANO
1 Nasra Handicraft and Design Kazi za mikono nguo, Shanga, Ngozi nk. S.L.P. 71704 Slipway DSM 0784 564347; nasrashamte@yahoo.com
2 Amkeni Development Group Kazi za mikono, Nguo, Tie & Dye, Mikeka, vikapu nk. S.L.P. 15024, Arusha 0754 826853; ihokororo@yahoo.com

3 Artisan Development Agency of Tanzania Kazi za mikono, cushion cover, curtains, home furnishings. S.L.P. 77817 DSM, Magomeni 0222170633 or 0713 228540 adapt@ud.co.tz, Makoyola@yahoo.com

4 Anne Designs Kazi za Mikono na mavazi P.O. Box 75823, DSM 0754 299832 ; annatzm@yahoo.com

5 Abasilanga Enterprises Aloevera, Barbadensis miller products P.O. Box 78317, Malolo Bunju B. DSM 0713 429427, mathiasganyara@yahoo.co.uk

6 Songela Home Craft Kazi za mikono, bidhaa mbalimbali P.O. Box 67409, Dar es Salaam 0784 296877, 0713 296877, 0732 925459

7 CHAMASATA Vikoi, Batik, Tie & Dye, Kuprint Nguo na vitu mbalimbali. P.O. Box 7365, Arusha, Tanzania Tel: (+255) 0713 520264 / 0784 321322 / 0713 236011 e-mail: chamasata2005@yahoo.com

8 Leyla Basket Kazi za mikono: Vikapu, Kofia, Trey, tebo max, mapamo ya maua, vinyago na korosho. P.O. Box 334, Masasi, MTWARA Tel: 0784 471038
9 KYMS Usindikaji wa matunda: bidhaa; wine za matunda ya Rosella, Zabibu na Ndizi, Juice ya Rosella na Nanazi P.O. Box 30166, Pwani, Kibaha 0754 622692: kyms702000@yahoo.com

10 Kivulini Natural Products Usindikaji wa vyakula: wine aina zote, Pickles za embe, Mbilimbi, chall source, Galic powder, na Galic Paste, Jam na viongo vya chain na Pilau kutengeneza batik na Tie & Dye, Shanga na heleni. Kivulini Natural Products P.O. box Tel: 0713 296707 Dar es Salaam
11 Mrs. Tully Komba Traditional Textile 0784 301875 /0784 359210 traditionaltextile@yahoo.co.uk

12 Aika Teri Nuya fashion 0754 315565 Aika-teri@hotmail.combettybisama@hotmail.co.uk

13 Grace Ngoiya Bidhaa za migomba - Ferina 0713 646174 gracengoiya@hotmail.co.uk

14 Amina Hamza Bab Ally tailoring Mart 0713 268878 Amiha20012002@yahoo.com

15 Rose Makoyola Artisan Development Agency of Tanzania (ADAT) 0713 228540 /0222170633 adapt@ud.co,tz, makoyola@yahoo.com

16 Dar es Salaam Art Gallary Pictue frame, chairs, stool, clay port, basket 0713 602898, 0754 323232, 0714 768398 Mamasouz2002@yahoo.com

17 Star art and craft Co. Ltd Vinyago, vyungu, picha za asili, batik, fashion Jewels 0754 2946061, 0754 747636 starartco@gmail.com

18 Mikono Vinyago, vifaa vya muziki, soap, dish za udongo 0784 692269 mikono@raha.com/kafwadeo@yahoo.com

19 Tausi Curio Vibuyu, vikapu vya majani ya mgomba, bidhaa za asili 0754 413133 aderuta@yahoo.com

20 Kwanza collection Co. Ltd Vikapu, Marimba, Mikeka 0754 377124, 222 150232 kwanza@africaonline.co.tz

21 J & L Hand craft Mishumaa, paper mache, nguo za batik 0754 280469, 0784 280469jlhandcraft@yahoo.co.uk

22 Iringa canvas and leather goods Mipira ya miguuu, vikapu vya iringa 0754 863229 boymanda@yahoo.com

23 Pat designs Sketi na blauzi, gauni, mashati yote ya batik 0754 285339
24 Napelel Arts and culture Nguo za batik, shanga, viatu, mikufu na heleni 0786 501455 mercyrundya@yahoo.com

25 Living Woods & crafts Co. Sahani, bakuli, jewelry 0713 250776 dmkombe@yahoo.com

26 African Tach. Ltd (Vibindo) Vinyago, Necklece, Mashati, magauni 0754 272408 jankih05@yahoo.com

27 Marvelous Flotea Co. Ltd Handicraft bags, handcraft cushion covers, table clothe 0713 313784 marvelousbatik@yahoo.com

28 Morden Tinga Tinga art gallery Picha za tinga tinga, leadher products, vitu vya shanga. 0754 465783 tingatingaarts@yahoo.com

29 Princess Nodra 1998 Ltd Bidhaa za mkonge, vipkapu, Table mats, kofia, doormats, flower holders 0754 304861
Mamuu1@hotmail.com

30 Jolicy Sculpture International Handicrafts: Table mats, coaster of black cloth. Jolicy sculpture International P.O. Box 328, Bukoba Mobile: 0782 755550; libe28@hotmail.com

31 Afrika Sana Mazao ya nguo: Batik na Tie and Dye, Vikoi na vitenge Afrika Sana P.O. Box 32308, Dar es Salaam Tel: 255 222772632, +255 754 329252, +255 754 326079 e-mail: afrikasana93@hotmail.com, inspirationafrika@yahoo.com, www.afrikasana.co.tz

32 DOBEC – Dodoma Beekeepers Cooperative (Mr. Mwaluko) Honey from (stinging & stingless bees) P.O. Box 471. Dodoma 262321414
33 Knneth L. Joseph (Mr.) Shanga za shingoni, Batik, Kalamu za miti, Picha za mchanga, vinyago vya mpingo P.O. Box 2704 Dodoma 0757 999271
34 Wanyausi Vinyago, viatu vya manyoya, bakora na visu P.O. Box 740 Dodoma 0784 265921
35 Coconut Art Craft Group Kazi za mikono zinazotokana na zao la Mnazi Coconut Art Craft Group P.O. Box 22151, Dar es Salaam Tel: 0717 013930: coconutartcraftgroup@yahoo.com

36 Lutende Mental Hospital Voragp vua Mkonge Mr. Anjaa Maas Tel: 0764 414491, 0764 898556
37 Digna Nyamija Nguo Digna Nyamija: Tel: +255 754 272988
38 Umila TPC Bamboo products Mr. C.N.K Rwenyagira Private Bag , Katoke Parish Bukoba Tel: +255 756 236790 Humulatpc@yahoo.co

39 Trust Group Bidhaa: Unique African handicraft Trust Group African handicraft Chole road – Masaki P.O. Box 23130, DSM Tel: 0754 271246 vickywilson 603@hotmail.com

40 Doreen Mashika Sandals, sandals with goat skin, handbags out of kitenge mixed with leather, shoes made out of kitenge and kanga fabrics. info@doreenmashika.com Zanzibar
42 FAWETA TEXTILE/ET AL RWIZA, GETRUDE Box 14198 DSM. Tel. 0754 264545 , 0713 22 75 27

43 SWIT HANDCRAFT TEXTILE LUGORA, ESTHER Box 9911 DSM
44 KIPEPEO 2000 LTD TEXTILE KIMBATARE, MAGRETH Box 10221 DSM
45 JIMM GENERAL ENTERPRISES WOODWORK RAMADHANI Box 8478 DMS Tel. 0753038110, 0713 508100, +255 22 2761365
46 MAKUTANO ECOLOGICAL BAGS KESSY, RACHEL Box 10221 DSM Tel. 0786 283918
47 ROVIES BOUTIQUE TEXTILE TAMBWE, ROVITHA Box 9693 DSM Tel. 0754 273736, 2701455
48 GOIG NATURAL MATERIAL HANDCRAFTS MZERU, MARY Box 34048 DSM Tel. 2628101 email: goig@lycos.com
49 TANCRAFT HANDCRAFT MREMA, E. J Box 79600 DSM Tel. 0754 808114
50 G.V. FURAHA BATIC TEXTILE MMANYI, V Box 71717 DSM Tel. 2121008, 0713 260490
51 Mariam Sulleiman Hamad Doormates, mikoba Zanzibar
52 Fatma Haji Mikoba Zanzibar
53 Pemba Beekepers Association Asali Zanzibar
54 Morogoro Gemstone Export Association Gemstones Morogoro
55 Dsm Women Group DSM
56 Zanzibar Organic Products Organization Zanzibar
57 FRABHO Food Arusha
58 Arusha Youth (FABLE) Arusha
59 Rose Aziz Products of Nature
60 Glitter Gems Ltd Gemstone Abdulhakim Mulla 027-254883 0/1
61 Kikundi cha Akina Mama AICC Handcraft Zarinah Matafu 0754-048870/0754 826853


B: Eneo la Ngurdoto:

S/N JINA LA KAMPUNI AINA YA BIDHAA MAWASILIANO
1 Hatimaye African Fashion and crafts Kazi za mikono nguo, ngozi, treys nk.. S.L.P 45844 Mnazi mmoja Rems KTM Hall DSM0754 631015, ashakahamba@hotmail.com

2 Lilyan Fashion and Design Home furnishings, kazi za mikono na mavazi S.L.P. 6719, DSM0754 874000; florencemaare@hotmail.com

3 Ndula Products Usindikaji wa mvinyo wa Rosela P.O. Box 34461, DSM, 0754 528292
4 Hellenic Fashion group Kazi za mikono, mavazi na nguo P.O. Box 3872, Dar es Salaam.
5 VIGO Company Kazi za mikono, vinyago, nguo n.k. P.O Box 54119 DSM0773 859971; cattrerinesnga@yahoo.com

6 IFUPIRA Women Group Kazi za mikono, bidhaa za minazi, pochi, mikanda n.k. P.O. Box 45446,DSM0754 034618 / 0754 280565 Ifupirawomengroup@yahoo.com , Makumbusho mwenge

7 Jamza Fashion Kazi za mikono, Bed cover, handbags etc. P.O. Box 21353, Dar es Salaam, Kinondoni Vijana Hostel0784 377830 / 2761827.
8 Mcharo Boutique Tie and Dye P.O. Box 95833, Tegeta, Dar es Salaam. 0784 681950, suzzymcharo@yahoo.com

9 Conquerors women group Kazi za mikono, document folders, covers etc.

10 Art Cutrural Association Kazi za Mikono
11 Kimara Farm products Usindiakaji: Joice ya Rosella (choya) viungo mbalimbali. P.O. Box 75840, Dar es Salaam e-mail mbutolwed@yahoo.com

12 Nura Fashion Batik, garments P.O. Box 80078, Dar es Salaam
13 Grorie Products Group Usindikaji, Ushonaji nguo za aina mbali mbali na utengenezaji wa nguo za batik. P.O. Box 1183, Dar es Salaam Tel: 0784 878346
14 MSEKWA Fashion Kushona nguo za kike na kiume. Roza A. Lewanga P.O. Box 33551, Dar es Salaam Tel: 0713 419988
15 Bahati Women Group Ushonaji wa nguo mbali mbali Bahati Women Group P.O. Box 10938, Dar es Salaam Tel: 0754 845973
16 Emma Fashion Ushonaji wa nguo mbalimbali Emma Fashion P.O. Box 10938, c/o Mary Masanje Dar es Salaam:- Tel. 0714 621600
17 Dina S. Mjema Sure batik & Designer 0784 187022
18 Vick Shayo Ikundaving group 0784 301376, ikundavin@yahoo.com

19 Magdalena E. Shayo Warisa Gift shop 0784 914140 m-sjayo@yahoo.com

20 Eveta E. Shayo Tumaini women group 0784 607674 / 0784 868684
21 Robino Ntila (Mr.) Wasanii Group (Artistes) 0755 319101 ntila@hotmail.com, ntila@yahoo.com

22 Rose G. Mungule Lois Fashion 0754 845038 Loisfashion2004@yahoo.com

23 Betty Matarimo Mat Taloring 0754 230023 bettybisama@hotmail.co.uk

24 Queen Mwasaga Magorofani Women Group 0754 800210 / 0784 505411
25 Kisa Mwakyusa Unique women group 0754 352237

26 Josephat Rweyemamu Juhudi Arts & Crafts 0754 468720 Josephat86@hotmail.com

27 Mrs. Kissa F. Mjejwa Qudra tailoring Mart 054 483202 kissafililo@yahoo.com

28 Anna Malisa Omela fashion 0754 481043 omellat@yahoo.com

29 Mrs. Rozalia L. Mwasalwiba Abagile group 0784 342877 abagilegroup@yahoo.com

30 Hellen Madekwe Munosa batik; Table cloth, mito na foronya za batik, nguo za kume na za kike 0754 477949 mmadekwe@hotmail.com

31 Janeth Mhando Jamsa Fashion: Batik, nguo za kike na za kiume, table cloth. 0784 377830, 2761837 Jamza2002@yahoo.com

32 Anne designs Mapambo ya ndani, mapambo ya ofisini, mavazi ya asili ya jinsia zote. 0754 299832 annatzn@yahoo.com

33 Moreen TDF Women group Batik, Tie and Dye, mapambo ya asili 0784 631904 / 0713 228918 kehery@yahoo.com’ ruggy@37.com

34 Dar es Salaam Art Gallary Pictue frame, chairs, stool, clay port, basket 0713 602898, 0754 323232, 0714 768398 Mamasouz2002@yahoo.com

35 Women hand craft MKT Group Vinyago, Vikapu vyaasili,.mapambo yote ya asili. 0713 429186 nmakyao@yahoo.co.uk

36 Kitaponda Enterprises Textile products: Kikoi men’s and women, cushion covers, curtains, table clothes, napkins runners place mats wall hangings, bedcovers, aprons, oven gloves and pot holders. P.O. Box 255000, Dar es Salaam makoyola@yahoo.com Tel: +255 713 228540,+255 713 60788
37 SM &Mandia Associates (T)Ltd Vinyago, shanga mbalimbali, bangili 0754 325046

38 Nasra Hand Craft & design Viatu vya asili, vikapu, nguo za batik 0754 564347 nasrashamte@yahoo.com

39 Resma Tailoring and art culture Batik, shanga, nguo za asili 0713 727366 mwinyiha@yahoo.com

40 Haika Enterprise Nguo za watoto za batik, mashati ya batik na magauni 0784 808114 haikamrema@yahoo.com

41 Lima Arts & Gallery Picha za kuchora, picha za kuprinti na picha za kuchonga. 0784 291465 Liston-uiso@yahoo.com

42 Mchaya Trust Fund Kadi, Koroboi, mifuko ya kina mama, vikoi, batik na mishumaa 0754 475509 mchayocentre@yahoo.com

43 Anointed hand craft enterprises Mito ya makochi, foronya, nguo za batiki, mapazia 0754 681072, 0754 046750 Ramsons2002@yahoo.com

44 Flora Designer Vinyago, nguo, viatu 0787 448046 / 0713 639593
45 Tujitegemee group Batik, begi za batiki, shanga, bangili za shanga 0713 639593 / 0754 366250
46 Afri curio Centre Batik, Vikoi, Mashati ya batiki na magauni ya batik. 0754 2735531 afrcuriobatik@yahoo.com

47 Salo batiki Batik, Table cloth, Pillow case 0754 491567
48 Sesida culture Shanga, Bangili za shanga, nguo za batik 0762 740084
49 Ifupiru Shanga, Pochi za ngozi, mikanda ya ngozi 0754 034618 / 0754 280565
50 Alice Unique handicraft Viko, Batik, Garments, skafu 0784 771749 alicemachange@yahoo.com

51 Toketeni Design Batik, vikapu, mishumaa 0754 832313 mattoke@yahoo.com

52 Gladness fashion Sketi na blauzi, gauni za batik, vikapu, reckless. 0784 496575
53 Magreth Fashion Nguo za batik, vikapu, shanga 0756 317485
54 Ndekeli Fashion Foronya za batik, tambaaa vya meza, gauni za batik, mashati ya batik. 0784 247793
55 Tengeza Arts Magauni ya batik, shanga, vinyago. 0717 589191 tengezagrouup@yahoo.com

56 Kaboga arts and craft Vinyago, magauni ya batik, shanga 0754 634252
57 Lily Fashion Batik, Magauni ya batik, mashati ya batik 0713 402430 lilifelix@hotmail.com

58 Mwanaidi Fashion Batiki, Nguo za kike, nguo za kiume za batik. 0754 531963 mwaifashion@yahoo.com

59 Kwigay & Mwasi enterprises Nguo za batik, vikapu, viatu vya asili. 0713 448074 kwigaya@yahoo.com

60 Newton fashion Batik, mashati ya batik, magauni ya batik. 0784 136259
71 Ngumu kumesa culture Bidhaa za mizizi, shanga, vinyago. 0713 434331 / 0755 434330 ngumugroup@yahoo.com

72 Kinyange Fashion Batik, Magauni na mashati ya batik 0713 607470 / 0787 662395 Phina84tz@yahoo.com

73 Seda Designer Nguo za batik, foronya za batik, nguo za watoto na za wakubwa 0713 350707 dedaesther@yahoo.com

74 Kindai Art & Craft Vinyago vya mpingo, shanga, bidhaa za shanga. 0754 265048 carokessy@yahoo.co.uk

75 Maybe African ebony Sahani za mpingo, mashetani, vinyago 0784 705481 joanyani@yahoo.com

76 Vision women group Batik, vikapu, magauni na mashati ya batik 0754 560832 gmfuko@yahoo.com

77 Rekha Art & Craft Foronya za batik, mito, viatu vya shanga 0787 078585 Arekha65@hotmail.com

78 Culture Crafts consultant & design co. Ltd (Cracode) Folders, sisal crags, table mats 0713 260589 cracode@yahoo.com

79 Gamakos Mashuka, vitambaa vya meza, nguo za batik 0754 484397
80 Pina fashion Nguo za batik, vikapu 0754 662308 sheltermsangi@@yahoo.com
81 Maasai arts shop Mikanda ya shanga, Taa za mezani, table mat 0755 804489 /0773 054522 gabrielmollel@yahoo.com

82 Sanaa Tamu Frame boxes, taa za mezani, idhaa zitokanazo na madau chakavu. 0713 414270 sanaatamu@yahoo.com

83 Gayo Ministry Mafuta ya Mlali, vifaa vya vifuu, Uyoga 0786 060416 ednpack@yahoo.com

84 Batik centre Mavazi ya wanaume na wanawake, mapambo ya nyumba (ndani) mabegi ya vikoi 0713 228540 makoyola@yahoo.com

85 Cathy Fashion Nguo za batik, shanga, batik 0754 580881
86 Wadec Entrepreneur support Sandals za shanga, vikapu, key holders 0784 621020 / 0754 336001 wadec@habari.co.tz, helenbiseko@yahoo.com

87 Zena batik & Kikoi Vikoi, mifuko, kitchen products 0754 292915
88 Unique batik Batik, Hand bags 0754 293171 lidamsaky@yahoo.com

89 Glory products Batik, bidhaa za kusindika vyakula 0754 878346
90 Abagile women group Shanga, na kushona nguo za aina mbalimbali. P.O. Box 13216, Dar es Salaam Tel: 0784 301875
100 Batik House Handlooms, vikoi, shuka, table cloth pamoja na kuseketa, nguo za batik, kupirinti nguo aina zote, bidhaa zote za kazi ya mikono. Batik House, P.O. Box 75225, Dar es Salaam Tel: 0784 257218
101 Nuru Women Group Nguo na Vitambaa vinavyozalishwa kwa kutumia handloons, Vikoi, shuka, table cloth, Batik, hand printing. N.k. Nuru Women Group P.O. Box 18771,DAR ES SALAAM Mobile: 0713 212741, 0784 656073
102 Kigeli Traditional Medicine Clinic Viungo na dawa za Asili Kigeli Traditional Medicine Clinic P.O. Box 38119, DAR ES SALAAM Mobile” 0713 606437
103 Rafiki Africa Arts and Crafts Handmade products P.O. box 1729, Mwanza Mobile: 0754 749453 Rafiki-afica@yahoo.com or jane-banura@yahoo.com

104 Star Hertage Afrilife Kazi za mikono; Bidhaa za ktumia vifuu na ukindu. Star Hertage Afrilife Mobile: 0732 122920 e-mail: afrikasana93@hotmail.com inspirationafrika@yahoo.com www.afrikasana.co.tz

105 Mtungi Investment Kazi za mikono: kutengeneza fremu za Mpingu na Mnazi Mutungi Investment P.O. Box 45752, Dar es Salaam Mobile: 075 328942 / 0754 466242
106 Kulwa J. Zimba (Mr) Kazi za Mikono: Picha za kuchora / Fine Art P.O. Box 740, Dodoma; Mobile: 0713 578084
107 Edwin M. Mponda (Mr) Makonde carvings Mobile: 0753 578084 Dodoma
108 N.J. Manase (Ms) Peanut butter, Asali, Unga wa lishe Mobile 0713 294491 Ddodoma
109 DOBEC – Dodoma Beekeepers Cooperative (Mr. Mwaluko) Honey from (stinging & stingless bees) P.O. Box 471. Dodoma 262321414
110 Wanyausi Vinyago, viatu vya manyoya, bakora na visu P.O. Box 740 Dodoma 0784 265921
111 Verian Ijinji Vyungu, vigoda, vibuyu P.O. Box 2626, Dodoma 0755 778860
112 Getrude Nshimo Nguo, Begi za Majani na za nguo P.O. Box 65022, Dar es Salaam Tel: +255 784 412620’ kabemafashion@yahoo.com

113 HEBA Natural products P.O. Box 30083, Kibaha Tel: 0752 350558, wizabah@yahoo.com

114 Mazupe Products (Mama Makaranga) P.O. Box 30122, Kibaha
115 Wanawake Moravian Tel: 0755 968947 Kibaha
116 Gacocal Uyoga (Mr. Sumba) Kibaha
117 KNITE GEN SUPPLIES CRAFTS URIO, LIILAN Box 5669 DSM, Tel. 0756 999 990

..kwa haraka haraka,three things comes to mind.

..idadi ya waonyeshaji ni kubwa mno.

..coordination ili-lack.

..location ya maonyesho ilichangia pia,and here i'm talking about TASO.
 
Kabla hajaning'nizwa mtu, wakati serikali ikijipanga kueleza jinsi nchi ilivyofaidika na mkutano huu, ninatakla CTI na TCCIA nao waje kutueleza, si kwa maneno ya blah blah, bali kwa data za uhakika, ni jinsi gani wafanyabiashara wa ndani wamenufaika na mkutano huo. Business deals anmd partnership agreements which have been established. Wakianza kuleta siasa, sitawaelewa.

..wasn't this a talk shop,and so no deals?

..nadhani kilichoongelewa ndio deal zaidi ya mambo mengine.

..tusiongopeane,pale hakukutegemewa kutoka kitu chochote in terms of concrete deals and such things.
 
The list is long,
hebu fikiria how much the paid in total ndipo ujue walioandaa walivyofaidika na mitaji ya wazalishaji wadogo....
Compesation must be claimed. haya mambo ya kusema samahani halafu hakuna relief sio fair maana huwezi kukopa bank halafu ukaporwa njiani then ukarudi kusema samahani..... \Waandaaji must pay back these marginalized investors
 
The list is long,
hebu fikiria how much the paid in total ndipo ujue walioandaa walivyofaidika na mitaji ya wazalishaji wadogo....
Compesation must be claimed. haya mambo ya kusema samahani halafu hakuna relief sio fair maana huwezi kukopa bank halafu ukaporwa njiani then ukarudi kusema samahani..... \Waandaaji must pay back these marginalized investors

Msanii;

Kama hizo hela za ku-compensate zingekuwa zinatoka kwenye mifuko ya kamati ya Leon H. Suillivan... Ningekuunga mkono.

Lakini kwa kuwa kwa vyovyote vile zitakuwa ni za PAYE zetu na kodi zingine mbalimbali... ambazo tumekubali tuchunwe na kukamuliwa kwa sababu ya huduma za Afya, Maji na Mabarabara..

Then my vote is a BIG NO!!! to your idea
 
Msanii.... serikali ilikuwa imewaleta "wawekezaji na wafanyabiashara" ingawa hadi hivi sasa sijui ni makampuni mangapi ya Marekani yalikuwemo kwenye huo msafara na yalifanya nini wao kujitangaza kwa watanzania au kuonesha nia ya kuingia Ubia au kufanya biashara na Watanzania. Naona ndugu zetu wa wafanyabiashara wa Bongo waliofunga safari na kwenda Arusha na vikadi kadi vyao na kuchangamka kwa wanabebeshwa lawama lakini sijaona ni wapi hao kina Sullivan walikuwa tayari kutoa info za makampuni ya Kimarekani yaliyokuwamo kwenye msafara huo.

Katika maelekezo yake wizara ya Biashara walisema itaandaliwa orodha ya makampuni ya Kimarekani kwenye msafara huo ambayo itapewa kwa wafanyabiashara wa TAnzania je hilo lilitokea?


Mwkjj unaikumbuka ile harambee iliyoendeshwa usiku ule ? ajabu jamaa wakashindwa hata kufikia milion 100!!!! kweli hii ndiyo sulmit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom