Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
- Thread starter
- #41
Mwanakijiji kwa hii umechemsha, tena sana, for the first Summit this is a milestone, usiwalaumu waandaaji au wageni waliofika, bali pia watu kama wewe ambao hamna knowledge summit kama hizi huwa sinakuwaje.
Mzee.. naijua hiyo Sullivan kuliko unavyodhania... I know about Andrew Young na madili yake na jinsi gani amekuwa kuwadi wa Ubepari na kunufaisha makampuni yake ambayo yeye ni memba mojawapo ni Barrick Gold..! So no sir, siumi maneno...mark my words.
Kwanza kabisa kwa hii summit I may suggest kuwa media coverage imekuwa ndogo kidogo.
What do you mean ndogo kidogo? Ni shirika gani la Marekani la habari lililotuma coverage ya mkutano huu (BET?) NI tovuti gani ya mashirika makubwa duniani ili cover Reuters? AFP? AP? Matangazo kurushwa na TBC basi ndio imekuwa coverage kubwa? No sir, there was no noticeable media coverage nje ya Tanzania! Hata Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi the coverage was minimal!
Pili usilaumu serikali kuwa watanzania hawakufaidi, ila ulaumu kuwa waTanzania ni ma-mbumbu;
Sasa kuwaandalia mkutano ma "mbumbumbu" bado unataka niwalaumu mbumbumbu badala ya walioandaa!?
ndivyo tulivyo! Hakuna summit, symposium au conference kama hizi wenye hela wanakwenda, only brokers, agents, financial instutions na makampuni yanayowakilisha wenye pesa. Hawa wakirudi kwao waTawaambia wenye pesa nao wata-assess situation na in a next summit or an event wanaweza wakaja.
IO.. you are not talking about people who came there from US.. Kama unafikiri kwamba wakirudi ndio wataipigia debe Tanzania zaidi n.k you wrong. Mtu pekee ambaye ataiuza Tanzania ni Young mwenyewe na washirika wake na yeye atakuwa wa kwanza kunufaika...
Watanzania wenzangu we expect too much from putting nothing, it is impossible; we must put our efforts to realise the best output!
that is exactly my point too.. why bother with these conferences wakati mambo yetu ya msingi yametushinda au hatukuyavalia njuga. Huu mtindo wa semina na warsha haujakoma basi.. maana kuna warsha za kila aina na vibeji, na photo ops kibao! Tunapenda images zaidi kuliko kitu halisi!