I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

Tanesco nao waonyeshwe live wakati wanasambazia wateja wao umeme.

BUNGE, MAHAKAMA & SERIKALI mihimili yote hii ionyeshwe live tena na TBC

Madaktari wakati WA upasuaji nao iwe live

Madiwani wawakilishi WA wananchi wakiwa Vinson nao live

JWTZ, kamati za bunge, mabwana shamba, walimu, Bandari, VETA, Wenyeviti WA mitaa, RAIS, Wenyeviti WA Vyama vya siasa, Madison seremala, ujenzi, mafundi barabara, n.k

Kila sekta ikitaka kuonyeshwa live itakuwaje??

HAHA YA KUPATA HABARI IPO PALEPALE,
 
Mwanakijiji ni chuki za kupindukia hasa zilizochanganywa na kukosa maslahi ndizo zilimfanya auponde utawala wa JK!!

Sipati picha jinsi watu walivyokuwa wanamuambia ni mnafiki akawa analazimisha tena kwa ukali nionyesheni kitu nilichokuwa nikipinga huko nyuma leo nimebadilika. Alikuwa anajifanya mtu wa principle, ila kiukweli kuna mambo mengi amebadilika japo anataka watu waamini tofauti na hivyo. Nilichokigundua kwa M.M. Mwanakijiji ni kwamba ana chuki na EL ya binafsi hivyo EL alipojiunga na cdm na kipenzi chake Dr. Slaa kujitoa toka hapo akaichukia cdm na kila kitu chake. Kuanzia hapo akaanza mashambulizi makali na kebehi kwa cdm, na kwa jinsi wapenzi wa cdm wasivyo na dogo hawakumuacha bali kumpa za uso ambazo zimemuacha na makovu, na yeye sasa ameamua kuunga kila kinachofanywa na ccm bila hata kujiuliza.

Kwa ushahidi huu nadhani huko aliko anasikia aibu ya mwaka, na sioni atakuja na hoja ipi tena watu wamuheshimu kwani aliamua kurusha mawe wakati anaiishi kwenye nyumba ya vioo. Aibu kama hizi bora uzipate ukiwa kijana na sio ukiwa na umri uliosogea halafu ukaamua kuanzisha ligi ya kipuuzi.
 
Imani yangu kwako MM imepungus sana. Nayasubiri kwa hamu majibu yako hapa kabla imani kidogo niliyobakisha juu yako haijaisha kabisa. Sad!
 
Nasubiri comments za MM. Hii inaweza kubadili mtazamo wangu juu ya maoni yake ndani ya JF.
Labda aseme yeye ni mwanasiasa. Maana viumbe hao hawana msimamo (principals) bali maslahi kufuatana na wakati uliopo.
 
Huyo Mzee Mwanakijiji Hana uzee wowote. Ni kijana tu kwahiyo na hii njaa ya vijana, huwa wanageuka misimamo kirahisi mno.

Kwa waliopo hapa muda mrefu, Mzee Mwanakijiji alikuwa karibu sana na Mwakyembe wakati wa Richmond na baadaye. Akaja gundua anaambiwa uongo tu. Baadaye akahamia kwa Mzee mla mihogo na sasa karudi kwa ndugu zake Kitwanga na Magufuli.
Kuiendeleza siasa za kufuata watu lazima utakuwa mnafiki tu.
Ila uzuri wa mtu mnafiki hawezi kuikumbuka yote ya nyuma.
 
Duuhh!! Hii ni hatari kwa mtu mzima aisee!!

Kuna siku nilimpa makavu humu akaja na mitusi kibao (muone sura kama andazi lililoungua)..nadhani wengi mnakumbuka maana mlicheka sana humu na kutubeza tulioiona kweli!!! Humu kuna watu huwa hatukurupuki kuandika na ndio maana comments zetu ni chache ila zenye uhakika!!

Leo MM tukana tena kama unaweza....
 
Doctrine of power:
Kiss Ass
Ass Kiss
Kiss again and again:
Kiss more and more

Eventually, The master himself crowns you a position. Now you will eat comfortably.

Shame shame shame!
 
Mzee Mwanakijiji jitokeze walau upunge mkono baadhi tulikuamini sana ila kwa sasa tumejifunza jambo,rangi yako imeonekana vema kama ya mzee kinyonga...
 
MZEE MWANAKIJIJI CAMP YA DR MIHOGO/MWAKYEMBE MNASAHAU MAANDIKO YENU! Hovyo sana.
 
Mhhhh... ama kweli...

"You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time"
 
Back
Top Bottom