I don't mean to be rude but.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I don't mean to be rude but....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Sep 17, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Is it true that.............
  [​IMG]
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  True Dat......Behind an unsuccessful man there is a woman.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha,hii mpya kabisa.
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Infront of every bitch is the shame that contributed with her
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  this is rude dude
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tukaneni weeeeeeee......mkimaliza....tuje na sisi kujibu......
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umeona enh?ngoja wajifarague eee wee af twaja muda si mrefu!
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mwe mwe mwe mwe
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Okey,i got u
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  na bado subirini mi nawacheck tu hapa mnavotiririka
   
 12. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Me nahisi kizazi chetu tunajifanya tunajua sanaaaa wasomi tumestaarabika....that's why ndoa hazidumu

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 13. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kwa upande wangu mimi, siamini sana huu usemi kwani kuna machangudoa wengi tu ambao wanafanya hivyo kwa sababu zifuatazo na siyo kutendwa na wanaume:

  1. Ugumu wa maisha
  2. Kulazimishwa na familia zilizowalete mjini kuwatafutia kazi na badala yake kuwaingiza kwenye biashara hii chafu (Madanguro mengi yanamilikiwa na wamama na si wababa)
  3. Tamaa ya kupata vitu mapema (hii huwatokea wadada wengi wa maofisini)
  4. Kuiga & kutokuwa na uwezo darasani (hasa wanafunzi ambao huanza kufanya kwa walimu wao na kujikuta wanazoea mchezo huo)
  5. ....

  lakini pia wapo wengine ambao wametendwa na wanaume wao na kuwafanya wakate tamaa za maisha na kugeuka machangudoa
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hao sasa ndio nilio taka kufahamu zaidi,
  kwamba kwanini wana fikia huko?
  kwamba kwa kufanya hivo wanakua wana muadhibu aliye
  watenda ama?

  Me nahisi ni kutokua na MATARAJIO HALISI,..wakiona mapenzi yamekua moto moto
  wanasahau kwamba kuna wakati wa joto na wakati wa baridi,wao
  wana amini kwamba kila siku ni bata tu na mambo
  yanapo haribika waishia huko,....
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lakini,ni kweli kwamba kila dada aliye haribikiwa
  ni kwa sababu ya mwanaume aliye mtenda?
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi ni miongoni mwa wasio amini katika kubadilika kutokana na mabaya aliyonitedea mtu!tumeachana leo,nasimama nakung'uta vumbi naendelea na safari nikitegemea kukutana na penzi jipya mbele ambalo nitalitreat katika upekee wake na nitalihukumu katika mabaya yake!yani siruhusu mtu aniumize leo na hata millele!kuna haja gani ya kujihukumu kwa makosa aliyonifanyia mtu tukiwa kwenye mahusiano kiasi nikashindwa kufurahia maisha na wengine available walio tayari kunipenda !
  so kukubali kuwa wa hovyo au kuharibikiwa kwa ajili ya penzi lililoshindikana kwa kweli si sahihi though watu wengi huamini ni sawa!
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  TAKE THAT...........:evil::evil::evil:

  [​IMG]
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  That is good of you,sio wote wanaweza kua katika hali kama yako.
  Lakini unaweza kua 1/1000.
   
 19. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah,hizo hesabu ni balaa.
  PROVED
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  na kwenye mchakato myasemage haya haya!
   
Loading...