I care about Ukara&Ukerewe than ZANZIBAR

mazoo

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
215
41
Hivi visiwa vya Ukara na Ukerewe vimesahauliwa sana,labda serikali ya Tanganyika itaviweka viwe part ya sehemu ya Tanganyika tena.
Akina Msekwa hawakufanya any good katika maendeleo .I tell it is very beautiful kama tungevitangaza duniani tungekuwa na watalii wengi sana.Ni mara chache kisiwa chenye watu kuwa katika ziwa!!!mara nyingi visiwa vyenye watu viko baharini.

Kodi za Watanganyika zinaendesha Zanzibar,imagine hela hizo zingemwagwa Ukara au Ukerewe?
 
Wachawi mno huko! Uchawi wa mamba msituletee.tena serikali izibe masikio kabisa kwa hawa jamaa,wakerewe wabinafsi,wanajijali wenyewe na kali kuliko yote ni wachawi balaaaaa....usiombe kwenda huko
 
Kila kabila kuna uchawi wa aina!Kwa nini watu wanakwenda B'gamoyo?Wachawi wengi wanaambatana na umasikini.

Ni Watanganyika wenzetu (Ukara & Ukerewe).
 
Hivi visiwa vya Ukara na Ukerewe vimesahauliwa sana,labda serikali ya Tanganyika itaviweka viwe part ya sehemu ya Tanganyika tena.
Akina Msekwa hawakufanya any good katika maendeleo .I tell it is very beautiful kama tungevitangaza duniani tungekuwa na watalii wengi sana.Ni mara chache kisiwa chenye watu kuwa katika ziwa!!!mara nyingi visiwa vyenye watu viko baharini.

Kodi za Watanganyika zinaendesha Zanzibar,imagine hela hizo zingemwagwa Ukara au Ukerewe?

Tafadhali niwekee picha mbili tatu za Ukara ndugu yangu. Umenifanya nataka kuona Ukara sana. Ziwe Scenary (mandhari yake), watu wake. kuna miti? Kuna misitu? inafananaje. Watu wapoje kule... Ukerewe nakujua kwa picha. Najua kuna mboga nyingi kule na samaki. Picha za Ukerewe nazikumbuka tuliwekewa kwenye vitabu vya jografia shule za msingi zamani na zile picha hazijatoka kichwani. Ukara? No sijapata kuona picha hata siku moja. Hem weka picha mbili tatu hapa tafadhali....scenery, watu, miti, ndege, wadudu, anything.... please?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom