I can't wait , People's Republic of Zanzibar and Republic of Tanganyika

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Tunakaribia ukingoni mwa katiba mpya, rasimu ya katiba mpya imebakia week chache kufanya uzinduzi, mategemeo yetu mwanzoni wa January 2014 kupatikana kwa katiba mpya.

Furaha yangu Pale mamlaka kamili ya zanzibar kuwachiwa huru na katiba ya muungano, nimeshajipanda ( TUMESHAJIPANGA) vya kutosha katika kusherekea tena mamlaka huru ya zanzibar, People's Repulic of Zanzibar.

Kwa wale watanganyika ambao wanao subiri kwa hamu Rupulic of Tanganyika ambayo itafufuliwa huko kaburini pale office ya TANU Nkurumah st. please leave your commets or like it.

Tanzania mpya
 
you must be a mad man
 
Back
Top Bottom