vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,000
Guys.
I have a problem of reading anything from Nape.
Hata kama anaongelea katiba na nilivyo na usongo nayo. nikiona shati la nape tu nakosa hamu ya kusoma.
Nitafanayaje jamani. Hivi nitakua namchuki a sana au?
My feelings about Nape:
Why is he cheating himself. Does he really believe CCM is taking us the right way?
Does he really support all the ccm actions wholly heartedly?
NAPE:
1. Unajua serikali ilimuuzia Mohamed Dewji mashamba ya Mkonge ikiwa na mvule bila kujua dhamani ya ile mivule. kilichofanyika Dewji alikopa pesa benki akanunua yale mashamba then afterwards akavuna ile mivule akalipe deni benki akabaki na mashamba ya mikonge pamaoja na mikonge yake.
2. Hivi ubinafsishaji unaofanyaka mbona tunauza kila kitu bila kuwa na utaratibu wa kufaidika na baadae, hivi kwanini tulibinafsisha kiwanda cha beer pamoja na Brand ya Safari larger? do you know how well safari larger is doing in the world marked today. Kama hujui ina mpaka bar code so inaweza kuuzwa popote duniani
3. Hivi unaujua utaratibu unaotumika kuchimba madini yetu? unajua hapa inabai asilimia ngapi na wao wanachukua ngapi?
4. Nape!! Unajua ni nafasi ngapi wameajiriwa wageni ambazo watanzania can do wonders? hivi ni kweli hatuna wataalam wa project management? how many foreign priject managers do we have?
5. Nape!! Unajua ni kiasi gani cha pesa kinapotea pale customs kwa njia ya rushwa. Contener la kulipia ushuru 60M mtu anapewa 10M ushuru unalipwa 20M mambo yanaendelea.
6. Do you know there are mare citizens who cannot even afford a bus fare? they walk to office and back home daily.
Ninaamini unajua yote haya but unafumbua macho coz hutaki kupoteza mkate wako huko.
I just hate everything about you?