Which Nyerere? The one who is in the Grave right now?'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.
kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?
Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?
UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

Toa hoja, Nyerere aliongea hayo wakati akimnadi Mkapa dhidi ya Lyatonga Mrema (mpinzani wa mgombea wa CCM kutoka NCCR). NCCR leo iko ndani ya ukawa. Kwa vigezo vya Nyerere wakati ule mbwa ni mtu au kundi lolote nje ya CCM. Yeye alikuwa anamaanisha kuwa CCM ina katiba, sera na watu makini wanaoweza kuchuja watu waovu (mbwa) ndani ya chama wasiponyoke na kupewa madaraka ya kuiongoza nchi kuliko vyama vya upinzani ambavyo alikuwa anaviona kama dodoki linaloweza kufyonza na kuruhusu kila kitu kupita kwa urahisi. Yeye alikuwa haamini kama Mrema na NCCR walikuwa na uwezo na mtandao wa kuingoza nchi hii. Je, yale yalikuwa mawazo yake binafsi au ni mawazo ya CCM, serikali na vyombo vya dola? Je, mawazo yake yalikuwa kwa Mrema na NCCR tu kwa wakati ule au ni maoni yake ya jumla kuhusu vyama vyote vya upinzani kwa nyakati zote za uhai wa taifa hili? Je, mawazo yake yale yalikuwa na usahihi kiasi gani? Nani atufafanulie? Maana Nyerere alijipambanua kuwa nchi hii ni yake (my country), hivyo alikuwa na misimamo mikali kuhusu Muungano, Azimio la Arusha, na bila shaka CCM kuendelea kutawala nchi hii milele kwa njia yoyote ile iwayo. Yeye alikuwa akiamini ni CCM pekee inayoweza kudumisha muungano kama ulivyo, ni CCM pekee yenye uwezo wa kupambana na ukabila na udini ndani ya nchi hii, kwa kuwa kwa wakati ule alikuwa akinusa ukabila NCCR na Chadema na udini CUF na NRA.
I appreciate your comment! Let's stop this #Nyerereworship , the poor guy died long time ago, he cannot make any decision for us!Which Nyerere? The one who is in the Grave right now?
If that is the case, he then went in the grave with his country he talked about!!
What we have now, is our country and not his. So we can give it to whoever we think is the right person to take care of it!!
Asante mkuu. Very philosophical answer kwa hawa watuWhich Nyerere? The one who is in the Grave right now?
If that is the case, he then went in the grave with his country he talked about!!
What we have now, is our country and not his. So we can give it to whoever we think is the right person to take care of it!!
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.
kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?
Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?
UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
Mwalimu hakusema dogs ni vyama vya upinzani, alichomaanisha ni dogs ndani ya ccm, mwaka 1995 hakukuwa na changamoto yoyote ya wapinzani ya kumshtua Mwalimu, vyama vya upinzani vyote vilikuwa vipya, vichanga na bila ushindani wowote kwa ccm..."dogs" walikuwepo ndani ya ccm na bado wapo huko tena wanazidi kuongezeka, hata huyo Mkapa aliyemnadi, baadae alijuta kumnadi
fjsfhksafkskfsfnjsfskfnskjfnsjfnskfnsjfnskfnjfnksfnsjkfnskfnsknfjsfnsjfnskfnsjfnsfsnjfnskfnsfnsjfnskfnsjfnsjfnsjfnsjf
Na ofcourse nakubaliana na Mwalimu "I can not let my country go to the dogs"
Tujaribu kuwa wakweli,Nyerere alikuwa anazungumzia vyama vya upinzani vya kina Mabele Marando na wenzake, actually vyama hivyo vilipinga sana kauli ya Nyerere, leo hii mnataka kuzuga watu eti "Nyerere alizungumzia masuala ya CCM?"Mwalimu hakusema dogs ni vyama vya upinzani, alichomaanisha ni dogs ndani ya ccm, mwaka 1995 hakukuwa na changamoto yoyote ya wapinzani ya kumshtua Mwalimu, vyama vya upinzani vyote vilikuwa vipya, vichanga na bila ushindani wowote kwa ccm..."dogs" walikuwepo ndani ya ccm na bado wapo huko tena wanazidi kuongezeka, hata huyo Mkapa aliyemnadi, baadae alijuta kumnadi
Tujaribu kuwa wakweli,Nyerere alikuwa anazungumzia vyama vya upinzani vya kina Mabele Marando na wenzake, actually vyama hivyo vilipinga sana kauli ya Nyerere, leo hii mnataka kuzuga watu eti "Nyerere alizungumzia masuala ya CCM?"
Baba wa Taifa hakuwa binadamu anaye kurukupa tu alikuwa na kipaji cha kuaona mbali, alilo lishitukia wakati huo hivi sasa liko more pronouced leo kuliko wakati wowote ndani ya historia ya Taifa letu. Tusifanye makosa ya kupigia kura ya ndio Wagombea ambao track record zao zina walakini mkubwa, tusitegemee kwamba huluka zao zitabadirika over night na kuhanza kujali wananchi masikini,narudia kusema kwamba sirahisi kubadirisha inbuilt traits za wakwapuaji/mafisadi watajali mafisadi wenzao na sio walala hoi, wakati wa kupiga kura likumbuke sana hilo.