I can't let my country go to the dogs, Nyerere - 1995

Kwa akili yako matope unafikri alimaanisha mbwa - mbwa? Kakagha bhaho!!
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?

Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?

UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.

Mbwa ni wezi kama wale wa escrow,wasafirishaji wa twiga,epa,nk hawa ndio mbwa ambao Nyerere hakutamani kuwaachia Tanzania yetu.Mbwa ni wale walioua azimio la arusha,na kuzika miiko ya uongozi ,hawa ndio mbwa Nyerere alikuwa anazungumzia.
 
Kama sijakosea Nyerere alikua binadamu na sio Mungu..na hizi statement za kumbambikizia mwacheni apumzike kwa amani ashuhudie ukombozi wa pili wa nchi akiwa huko juu....

si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwapatia mbwa......
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?

Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?

UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
Nani atairudia hii kauli kwa Tanzania ya Leo: I will not let my country go to the dogs.
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?

Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?

UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
Did Nyerere actually make that statement? Verbatim? What is your source?

Or is it "fake news"?
 
Hii kauli ya Mwalimu Nyerere alikuwa na maana Tanzania hakuna chama cha upinzani ambacho kipotayari kushika/kuaminiwa kupewa madaraka.
Rais Magufuli irekebishe chama cha CCM kwani ndio chama pekee watanzania wanakiamini
 
..hakumaanisha mbwa mnyama.

.." i can not let my country go to the dogs" maana yake ni siwezi kuiacha nchi yangu ikaangamia.

..na kauli hiyo Mwalimu aliitoa kabla ya kampeni na zaidi kabla ya CCM kupata mgombea.

NB.

..wapinzani wa wakati huo walijaribu kumpakazia Mwalimu kwamba ameita wananchi mbwa but it backfired on them.

..Wananchi/vyombo vya habari walikuwa smart enough kutafsiri nahau hiyo na kujua kuwa Mwalimu hakuwa na nia ya kutukana wananchi au vyama vya upinzani.

Cc Al-Watan
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?

Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?

UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.

Kwa vitendo vya vyama vya upinzani kauli ya Mwalimu Nyerere " I Can't let my country go to the dogs "
 
Baada ya Mwl kuitoa hiyo statement, mwandishi wa moja ya vyombo vya habari akaandika "Siwezi kukubali nchi yangu ikabidhiwe kwa mbwa...!!". Wataalamu lugha ya kiingereza walimponda sana mwandishi kuwa hajui kiingereza kwani alifanya tafsiri sisisi wakati hiyo ni figurative language...

Dogs kwa Mwl anamaanisha mafisadi, watoa na wala rushwa, wanafiki, wazandiki, wezi wa mali ya umma, wahujumu uchumi, waongo na wote wenye tabia zinazofanana na hizo...
Under dogs yaan ambao hawajakomaa yaan ninyi vipi haha
 
Hii kauli ya Mwalimu Nyerere alikuwa na maana Tanzania hakuna chama cha upinzani ambacho kipotayari kushika/kuaminiwa kupewa madaraka.
Rais Magufuli irekebishe chama cha CCM kwani ndio chama pekee watanzania wanakiamini
Kwahiyo opposite aliona CCM ndio inafaa??? Kwa lipi hasa mbona nchi imefeli kwa hyo miaka 20 tola atoe kauli tena chini ya CCM..... Kama kweli nyerere alimaanisha kuwa mbwa ni wapinzani akiamka leo sidhani kama anaweza rudia hyo statement given ufisadi wa kutisha unaofanyika toka aage dunia
 
Back
Top Bottom