I am Ignorant, sijawahi waona Wanawake Waislamu wakienda Msikitini

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,322
29,583
Habarini, sijui nimepofushwa macho au! Ni kwamba sijawahi waona wanawake waislamu hapa Tz wanaenda msikitini. Ninapokuwa mida fulani vijiweni, ikifika adhana, ni wanaume tu hujisogeza msikitini. Pia siku ya ijumaa, sijawahi waona au hata kumsikia mwanamke wa kiislamu akisema naenda msikitini.
Hivi ni mimi tu au ushamba wangu au ni kweli hawaendagi msikitini au huwa wanaenda kwa siri??
FaizaFoxy.
 
Imebidi ni log in ili nikuelekeze ndugu yangu ulietaka kujua.
Sheria ya uislam imekua ni faradhi ya lazima kwa mwanaume asiekua na udhuru wowote wa kisheria kwenda kuswali msikitini. Nyudhuru za kisheria zinazoweza kumfanya aswali nyumbani ni maradhi na hofu inayomfanya ashindwe kufika msikiti kwasababu ya hatar yyte ambayo inaweza ikawepo njiani baina ya nyumba yake na msikiti.

Tukija upande wa wanawake, wao swala zao wameamrishwa waswalir nyumbani na hakuna ulazima wowote wa kwenda kuswalia msikitini bali akiswalia nyumbani ndo inakua na fadhila zaidi. Na pia hakukatwaza kwenda kuswalia msikitini hivyo anamaamuzi japo kuswali nyumbani ndio bora kwao. Kutokana na kutokua na ulazima wa kwenda msikitini kuna baadhi ya misikiti hawajeweka sehem yakuswalia wanaweke na kuna mengine wameweka. Sasa inategemea unaishi maeneo gani. Inawezekana upo maeneo ambayo misikiti yake imejebgwa bila kuwekwa sehem ya wanawake hivyo wanawake wa maeneo hayo watakua wakifanya ibada zao majumbani.
Nafikiri utakua umeelewa vzr
 
Ndugu yangu kwanza nakukaribisha katika uislam, katika dini ya haki,

Mwanamke akiswali nyumban anapata fadhila nyingi kuliko msikitini

Pia mwanamke anatakiwa kuwa nyumbani kulinda Mali za mumewe, anaposali watoto wanamuona na taratibu wanaanza kuiga (vile mama yao anavyosali)
Na kiuislam mwanamke anapokuwa kwenye hedhi hairuhusiwi kujulikana Kwa watu isipokuwa mumewe

Sasa wewe ushazoea kumuona Jane kila siku anapita barazani kwako way masjid, Mara tano Kwa siku halafu gafla siku tatu mfululizo sendi,siku ya NNE naenda,lazma Kwa mwenye akili anote kitu ahaaa kumbe Jane anablid ndo haitakiwi
 
Mkuu ni ushamba wako tu
 
Ni ushamba wa kutoijua dini ya kiislam ndio unaokusumbua.
 
Ndugu yangu kwanza nakukaribisha katika uislam, katika dini ya haki,

Mwanamke akiswali nyumban anapata fadhila nyingi kuliko msikitini

Pia mwanamke anatakiwa kuwa nyumbani kulinda Mali za mumewe, anaposali watoto wanamuona na taratibu wanaanza kuiga (vile mama yao anavyosali)
Na kiuislam mwanamke anapokuwa kwenye hedhi hairuhusiwi kujulikana Kwa watu isipokuwa mumewe

Sasa wewe ushazoea kumuona Jane kila siku anapita barazani kwako way masjid, Mara tano Kwa siku halafu gafla siku tatu mfululizo sendi,siku ya NNE naenda,lazma Kwa mwenye akili anote kitu ahaaa kumbe Jane anablid ndo haitakiwi
Nashukuru kwa maelezo.
 
Imebidi ni log in ili nikuelekeze ndugu yangu ulietaka kujua.
Sheria ya uislam imekua ni faradhi ya lazima kwa mwanaume asiekua na udhuru wowote wa kisheria kwenda kuswali msikitini. Nyudhuru za kisheria zinazoweza kumfanya aswali nyumbani ni maradhi na hofu inayomfanya ashindwe kufika msikiti kwasababu ya hatar yyte ambayo inaweza ikawepo njiani baina ya nyumba yake na msikiti.

Tukija upande wa wanawake, wao swala zao wameamrishwa waswalir nyumbani na hakuna ulazima wowote wa kwenda kuswalia msikitini bali akiswalia nyumbani ndo inakua na fadhila zaidi. Na pia hakukatwaza kwenda kuswalia msikitini hivyo anamaamuzi japo kuswali nyumbani ndio bora kwao. Kutokana na kutokua na ulazima wa kwenda msikitini kuna baadhi ya misikiti hawajeweka sehem yakuswalia wanaweke na kuna mengine wameweka. Sasa inategemea unaishi maeneo gani. Inawezekana upo maeneo ambayo misikiti yake imejebgwa bila kuwekwa sehem ya wanawake hivyo wanawake wa maeneo hayo watakua wakifanya ibada zao majumbani.
Nafikiri utakua umeelewa vzr
Shukrani.
 
Mambo mengine bwana.

Ndio maana wengine tunasema Mungu hayupo haya mambo ya dini ni usanii tu.

Mungu ana mambo ya ajabu namna hii?!!!!
 
Wewe kama sio muislamu mambo ya uislam unayachunguza ili iweje?
Pambana na hali yako,tusichoshane tuu hapa kwa kejeli na mengineyo yasiyokuwa na tija kwenye tanzania yetu ya V wonder
 
Symbiotic relationship, hivyo mjue na uliye nae mtaani, utaishi kwa urahisi zaidi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom