I am Gonna Marry You...........

Marahaba bht... U mzima weye?
Heheheee....
Umeanza lini utundu wewe? Kampani yako nahisi si nzuri...badilisha...lol

Umeangalia lakini I'm gonna marry u?
Mie bukheri wa afya tele mpendwa wangu!
Nijaalie hali yako bibie...
 
Daa, Shikamoo tena Shemeji? Sema Mwandila.... :)

Mie mzima sana tu ila siku hizi nimekuwa muangaliaji zaidi wa JF na uchangiaji kupungua. Ninamiss sana ile timu ya JF miezi sita na kurudi nyuma kabla ya uchaguzi. Mambo vipi lakini? Haijambo familia kwa ujumla?

Siye tupo tu Sikonge na msimu wa maembe ndiyo unaingia kwa speed kali huku tukinoa majembe tayari kwa kilimo......
shikamoo Sikonge.....
Kitambo
 
Sweetlady, hiyo ilikuwa Shikamoo yangu, sasa utasababisha watu waseme nina ID zaidi ya moja hapa JF (ingawa ni kweli, hihiiiii) ila katika hizo/hiyo nyingine, for sure siyo Sweetlady.....

Mambo yanaendaje lakini?
Marahaba bht... U mzima weye?
 
Heheheee....
Umeanza lini utundu wewe? Kampani yako nahisi si nzuri...badilisha...lol

Umeangalia lakini I'm gonna marry u?
Mie bukheri wa afya tele mpendwa wangu!
Nijaalie hali yako bibie...
Lol.... Mi mzima yakhe....nimeona he'll gonna marry her kwakweli...ila sasa mtoa mada anasema akikua atajuta,...hapo ndipo sijapaelewa namsubiri aje afafanue ndio nianze kuchangia.... Nimemmiss Gee na mistari, yuko pande zipi leo?
 
hahaaaaa mwadila bhaba!
Mmh afu Sikonge yaache maembe yaive yenyewe usipepelee bana, juisi inakuwa nyeusi!

Nije unipe kiamba na mi nilime? Ardhi haba siku hizi unajua....

Wakati mwingine ni vizuri pia kusoma tu maana inakupa muda kutafakuri na kufanya mengine...
 
Sweetlady, hiyo ilikuwa Shikamoo yangu, sasa utasababisha watu waseme nina ID zaidi ya moja hapa JF (ingawa ni kweli, hihiiiii) ila katika hizo/hiyo nyingine, for sure siyo Sweetlady.....

Mambo yanaendaje lakini?
Waache waseme bana mwisho watalala tu, tushawazoea...lol... Mambo yako pouwa kabisa... Usinisahau maembe yakiwa tayari...kama mnalima na mananasi niwekee pia.
 
Lol.... Mi mzima yakhe....nimeona he'll gonna marry her kwakweli...ila sasa mtoa mada anasema akikua atajuta,...hapo ndipo sijapaelewa namsubiri aje afafanue ndio nianze kuchangia.... Nimemmiss Gee na mistari, yuko pande zipi leo?

Gee leo umesahau ndo ile shughuli ya Kigoda cha mwalimu? Nimemwacha huko yeye ndo alikuwa mkuu wa itifaki!
 
Atajuta kwa sababu kitoto kizuri kinasema kitamuowa, na kidume badala ya kukataa tu au kusema poa tu tusubiri tukuwe, yeyey analia hadi ANATISHA kama sura ya Hitler anahutubia..... Na kabinti kamekomaa naye kanasema "hunitishi na wala sikuogopi.....hihihiiiii....."

Jamaa ndiyo anaweka gia ya tano kwa kulia. Akikuwa aanze kupigwa vibuti na vimwana, atajuta sana kuwa alishakuwa na Pilau mezani na akalipiga buty. Anyway, inanikumbusha mie mwenyewe nikiwa mdogo hapo Dar. Naambiwa Asha huyoo mchangamkie, mie nikagwaya. Nilikuja kumuona tumeshakuwa wakubwa tayari ana bwana.................. Nikala kwa macho tu :)
Lol.... Mi mzima yakhe....nimeona he'll gonna marry her kwakweli...ila sasa mtoa mada anasema akikua atajuta,...hapo ndipo sijapaelewa namsubiri aje afafanue ndio nianze kuchangia.... Nimemmiss Gee na mistari, yuko pande zipi leo?
 
Hahah bht ! Kabla kunyoosha miguu kibarazani naona nimpatie Sweetlady mstari amtupie bwana Sikonge

Nikimbie hata mwaka Mimi ninakungojea
Ukirudi nakutaka wala sitoona haya
..........

Anaependa kikweli hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli japo mkimchukia
 
This is one of the best you tube clip i have ever seen.... we (men) are like that when we are young, alas, things change completely when we are teenagers.... and then go back to step one when we are 50 plus..........

quite funny life cycle of love
 
Hahah bht ! Kabla kunyoosha miguu kibarazani naona nimpatie Sweetlady mstari amtupie bwana Sikonge

Nikimbie hata mwaka Mimi ninakungojea
Ukirudi nakutaka wala sitoona haya
..........

Anaependa kikweli hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli japo mkimchukia
Hahaha! Hutajwi weye?
 
Gee umetoroka shughuli wallah....akhaa!

Umemuona sweetlady anaimpruvu...lol!
Sasa Sikonge asije kujibeba akianza kurushiwe hizo...!

Hehheee eti kakijana Sura ka Hitler anahutubia ...lahaulla!
 
Lohhh, ngoja nisubiri hiyo mistari maana itakuwa mistari ya kwanza kuandikwa kwa ajili yangu. Nilitegemea JKT wataniweka hata kwenye kisehemu kimoja ila nikaambulia patupu. Kama alivyoimba Ice Cube, I hope today will be a good (Friday) day.
Hahah bht ! Kabla kunyoosha miguu kibarazani naona nimpatie Sweetlady mstari amtupie bwana SikongeNikimbie hata mwaka Mimi ninakungojea Ukirudi nakutaka wala sitoona haya..........Anaependa kikweli hachoki kuvumilia Habadilishi kauli japo mkimchukia
 
Gee umetoroka shughuli wallah....akhaa!

Umemuona sweetlady anaimpruvu...lol!
Sasa Sikonge asije kujibeba akianza kurushiwe hizo...!

Hehheee eti kakijana Sura ka Hitler anahutubia ...lahaulla!
Hajatoroka, mkuu wa itifaki huwa anatoka wa kwanza....
 
Gee umetoroka shughuli wallah....akhaa!

Umemuona sweetlady anaimpruvu...lol!
Sasa Sikonge asije kujibeba akianza kurushiwe hizo...!

Hehheee eti kakijana Sura ka Hitler anahutubia ...lahaulla!

Kigoda kizito na sijaona mrithi, meona bora hata nijibabaishe kwa mistari kidogo:)

Sweetlady ha-disappoint .....anaanza kuwa bingwa kidogo kidogo :)

Ila inabidi aaanze na mistari ya salaam

Sabahal kheri mpenzi waonaje Hali yako

(malizia hapo)
 
Hajatoroka, mkuu wa itifaki huwa anatoka wa kwanza....
Sikonge anasubiri mistari...usimwangushe Gee...lol! (kopi tu hata ile ya jana alimradi...hahahaaa)
Gee najua hajaupenda msosi ndo maana aka sneak mapemaa!
 
Back
Top Bottom