Marahaba bht... U mzima weye?shikamoo Sikonge.....
Kitambo
Heheheee....Marahaba bht... U mzima weye?
shikamoo Sikonge.....
Kitambo
Marahaba bht... U mzima weye?
Lol.... Mi mzima yakhe....nimeona he'll gonna marry her kwakweli...ila sasa mtoa mada anasema akikua atajuta,...hapo ndipo sijapaelewa namsubiri aje afafanue ndio nianze kuchangia.... Nimemmiss Gee na mistari, yuko pande zipi leo?Heheheee....
Umeanza lini utundu wewe? Kampani yako nahisi si nzuri...badilisha...lol
Umeangalia lakini I'm gonna marry u?
Mie bukheri wa afya tele mpendwa wangu!
Nijaalie hali yako bibie...
Waache waseme bana mwisho watalala tu, tushawazoea...lol... Mambo yako pouwa kabisa... Usinisahau maembe yakiwa tayari...kama mnalima na mananasi niwekee pia.Sweetlady, hiyo ilikuwa Shikamoo yangu, sasa utasababisha watu waseme nina ID zaidi ya moja hapa JF (ingawa ni kweli, hihiiiii) ila katika hizo/hiyo nyingine, for sure siyo Sweetlady.....
Mambo yanaendaje lakini?
Lol.... Mi mzima yakhe....nimeona he'll gonna marry her kwakweli...ila sasa mtoa mada anasema akikua atajuta,...hapo ndipo sijapaelewa namsubiri aje afafanue ndio nianze kuchangia.... Nimemmiss Gee na mistari, yuko pande zipi leo?
Hahaha...hawajazungumzia juu ya kubadili kigoda kuwa sofa?....Gee leo umesahau ndo ile shughuli ya Kigoda cha mwalimu? Nimemwacha huko yeye ndo alikuwa mkuu wa itifaki!
Lol.... Mi mzima yakhe....nimeona he'll gonna marry her kwakweli...ila sasa mtoa mada anasema akikua atajuta,...hapo ndipo sijapaelewa namsubiri aje afafanue ndio nianze kuchangia.... Nimemmiss Gee na mistari, yuko pande zipi leo?
Hahaha! Hutajwi weye?Hahah bht ! Kabla kunyoosha miguu kibarazani naona nimpatie Sweetlady mstari amtupie bwana Sikonge
Nikimbie hata mwaka Mimi ninakungojea
Ukirudi nakutaka wala sitoona haya
..........
Anaependa kikweli hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli japo mkimchukia
Hahah bht ! Kabla kunyoosha miguu kibarazani naona nimpatie Sweetlady mstari amtupie bwana SikongeNikimbie hata mwaka Mimi ninakungojea Ukirudi nakutaka wala sitoona haya..........Anaependa kikweli hachoki kuvumilia Habadilishi kauli japo mkimchukia
Hajatoroka, mkuu wa itifaki huwa anatoka wa kwanza....Gee umetoroka shughuli wallah....akhaa!
Umemuona sweetlady anaimpruvu...lol!
Sasa Sikonge asije kujibeba akianza kurushiwe hizo...!
Hehheee eti kakijana Sura ka Hitler anahutubia ...lahaulla!
Gee umetoroka shughuli wallah....akhaa!
Umemuona sweetlady anaimpruvu...lol!
Sasa Sikonge asije kujibeba akianza kurushiwe hizo...!
Hehheee eti kakijana Sura ka Hitler anahutubia ...lahaulla!
Sikonge anasubiri mistari...usimwangushe Gee...lol! (kopi tu hata ile ya jana alimradi...hahahaaa)Hajatoroka, mkuu wa itifaki huwa anatoka wa kwanza....