I am an Atheist

Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,996
Points
1,500
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,996 1,500
I am an Atheist, its been two years since I became an Atheist. For you who don't understand Atheism.
Atheist is a person who does not believe in god or gods or supernatural.
Atheist ni yule ambaye hana roho. Roho ndio inayotuunganisha na imani. So those who believe in God and Gods, do have souls, and those who do not (some humans lack souls or the kill them) have nothing to believe other than themselves and what they see around (Majitu yanayoonekana au Mawe au milima). They even lack sixth sense.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,313
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,313 2,000
Unadhani ni kirahisi hivyo Mufti..!

Uwepo au kutokuwepo kwa muumba yote ni majawabu sahihi

Ila muamuzi wa usahihi wa majawabu hayo ni wewe mwenyewe kulingana na level ya ufahamu wako mufti
Inakuwaje uwepo na kutokuwepo kwa muumba yote yakawa majawabu sahihi?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,313
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,313 2,000
Atheist ni yule ambaye hana roho. Roho ndio inayotuunganisha na imani. So those who believe in God and Gods, do have souls, and those who do not (some humans lack souls or the kill them) have nothing to believe other than themselves and what they see around (Majitu yanayoonekana au Mawe au milima). They even lack sixth sense.
Thibitisha roho ipo na si hadithi ya kutungwa na watu tu.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,520
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,520 2,000
Unadhani ni kirahisi hivyo Mufti..!

Uwepo au kutokuwepo kwa muumba yote ni majawabu sahihi

Ila muamuzi wa usahihi wa majawabu hayo ni wewe mwenyewe kulingana na level ya ufahamu wako mufti
Kuna kuukataa ukweli na kuna vizuizi vya kuujua ukweli.

Ukweli huwa si kwa namna aonavyo mtu.
 
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
2,004
Points
2,000
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
2,004 2,000
Kuna kuukataa ukweli na kuna vizuizi vya kuujua ukweli.

Ukweli huwa si kwa namna aonavyo mtu.
Huu ni mjadala kuwa Mungu yupo au hayupo (In General)
Tukianza kuchambau mungu wa dini Moja moja watu Kama nyinyi mtazidi kuonyesha ujinga wenu zaidi

Quran imejaa Uongo mwingi,na imejaa aya zilizojaa 'outdated knowledge'
Tukianza kuichambua,aya kwa aya uta copy utumbo mwingi Google ambao utazidi kuonyesha ukichaa wako

Wewe nilikupa aya moja tu kuhusu utaratibu wa kuswali huku uso wako ukielekea ka'aba
Nikakwambia haiwezekani kwa dunia yenye umbo la tufe
Hata mtoto wa form one angenielewa ila Sio Wewe

Ukaishia ku copy upuuzi kwa wajinga wenzako ambao haukulenga swali langu
Quran yenyewe tu ni uthibitisho kuwa Allah hayupo
 
Huyo hana hata huo u mufti....hajibu maswali
Kazi yake ni kudandia comment yoyote na ku copy furushi la maneno Google
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,520
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,520 2,000
Huu ni mjadala kuwa Mungu yupo au hayupo (In General)
Tukianza kuchambau mungu wa dini Moja moja watu Kama nyinyi mtazidi kuonyesha ujinga wenu zaidi
Hapa ndipo inapo onekana tofauti kati yangu na wewe.

Ile siku nilikujibu swali na nikakiacha na swali ambalo mpaka unakufa hutaweza kujibu,na sijawahi kuacha kujibu swali lako hata moja,sababu maswali yako yote ya uongo.

Pili,ile siku ulionyesha wazi kabisa kwamba wewe sio msomaji,baada ya kunukuu aya ile kwanza,hata kunukuu aya kwenyewe hujui, ajabu uje kuikosoa Qur'aan hili haliwezekani wala wakubwa zako hawajawahi kuweza.

Ile siku nilikuuliza hivi,hiyo "Ka'aba" unaijua ? Hukujibu swali hili,maana sisi sote tukiswali tunaelekea huko. Nikakupa changamoto ha kuwa iangalie Ka'aba ilipo na uone watu wanasali vipi,na sisi tulio nje ya ile Ka'aba popote tulipo hatuikosi ile Ka'aba sababu inazungukwa na inakuwa katika mfumo wa DUARA.

Ule mchoro ulio uweka ukathibitisha ujinga wako kadhalika. Mwisho ukahitimisha ya kuwa Uislamu unaamini Dunia ni Flat kitu ambacho si kweli,ndio pale nikakuwekea andiko kutoka katila chanzo ninachokiamini,na nilifanya vile kuokoa muda. Swali je kutoa kitu "Google" ni jambo baya tena likiwa la kielimu na la kweli ? Sasa usimkataze mwenzako kufanya jambo hali ya kuwa wewe unalifanya huu ni udjaifu mkubwa sana.
Quran imejaa Uongo mwingi,na imejaa aya zilizojaa 'outdated knowledge'
Tukianza kuichambua,aya kwa aya uta copy utumbo mwingi Google ambao utazidi kuonyesha ukichaa wako
Ajabu unashutumu ya kuwa Qur'aan ina mapungufu wakati ujinga huo umeupata hulo hulo Google,na huwezi kuona hilo sababu hata Qur'aan yenyewe hujuo kuisoma bali hata kunukuu kwenyewe ni tatizo.

Ninasema hapa hivi hata upewe miaka mia mkusanyike wewe na wakubwa zako mlete uongo wa Qur'aan hamtaweza kwani wajinga kama nyinyi walianza zama za mtume nyinyi ni makapi tu,na wale wenzenu bora kidogo walikuwa ni mabingwa wa lugha sio nyinyi hata lugha ya Qur'aan hamuijui.

Nakupa kazi moja sasa,kama unasema kwenye Qur'aan ni ya uongo uthibitishie umma hilo,kisha nikuulize maswali na usikimbie.
Wewe nilikupa aya moja tu kuhusu utaratibu wa kuswali huku uso wako ukielekea ka'aba
Nikakwambia haiwezekani kwa dunia yenye umbo la tufe
Hata mtoto wa form one angenielewa ila Sio Wewe
Kwanza hata kunukuu aya hujui,unalijua hilo ? Nilikupa maana ya sahihi ya aya na nikakosoa ufahamu wako mbaya,unakumbuka hilo ?

Na swali langu hukulijibu unakumbuka hilo ?

Nilivyokunukulia maelezo,ulikiri mwenyewe kwamba hukusoma,unakumbuka hilo ? Na ukasema husomi Ngonjera,unakumbula hilo ?

Sasa nakwambia hivi,huko mnakookoteza muwe mnawauliza maswali kabla ya kuleta huku,ili tukiwauliza maswali muwe mnatujibu,sio unaweka aya kisha unakimbia,na maswali hamjibu.
Ukaishia ku copy upuuzi kwa wajinga wenzako ambao haukulenga swali langu
Quran yenyewe tu ni uthibitisho kuwa Allah hayupo
Swali kucopy ni jambo baya ? Sasa ulijuaje kama ule ni upuuzi hali ya kuwa ulikiri kama hukuusoma ? Huwa unafikiria kwa kitumia nini ?

Nashangaa sana unapoozungumzia Qur'aan huku huijui,hivi huu ujasiri huwa mnaupata wapi ?

Nawaambia kila siku jambo la kielimu linatakiwa kujadiliwa kielimu,sio mnaweka vitu ambavyo vimewazidi uwezo na mnashindwa kuvitetea.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,520
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,520 2,000
Huyo hana hata huo u mufti....hajibu maswali
Kazi yake ni kudandia comment yoyote na ku copy furushi la maneno Google
Swali gani sijakujibu weka hapa.

Unakumbuka nilikuuliza juu ya "Al Qa'aba", swali langu ulilijibu ?

Wewe mtoto wa kiume usiwe muoga,andika swali gani sijakujibu kisha nikufundishe.

Nyinyi nawajua vilivyo na huwa nawafanya navyotaka,na ndio maana nakwambia hivi leta swali ambalo sijakujibu.

Pili,nakupa miaka mia uje kututhibitishia hapa ya kuwa Qur'aan ya uongo na Allah hayupo.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,520
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,520 2,000
Huu ni mjadala kuwa Mungu yupo au hayupo (In General)
Tukianza kuchambau mungu wa dini Moja moja watu Kama nyinyi mtazidi kuonyesha ujinga wenu zaidi
Nakufundisha sasa,huwezi kumzungumzia Mola ukapatia nje ya dini,ndio maana nyinyi mpaka mnakufa hamtaweza kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Pili,chanzo cha maisha chenyewe kinawashinda kukielezea bali hata kukithibisha,madai yenu yanabakia kuwa ni upuuzi na dhana sababu kuyathibitisha hamuwezi.

Nakuuliza swali dogo,ilikuwaje ulimwengu ukawepo na maisha yakawepo ?
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,209
Points
2,000
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,209 2,000
Kuna kuukataa ukweli na kuna vizuizi vya kuujua ukweli.

Ukweli huwa si kwa namna aonavyo mtu.
Unamaanisha nini unaposema ukweli si kwa namna aonavyo mtu.!? Ni kwa namna aonavyo nani labda.?
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,520
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,520 2,000
Unamaanisha nini unaposema ukweli si kwa namna aonavyo mtu.!? Ni kwa namna aonavyo nani labda.?
Unajua kwanza maana ya UKWELI ?

Kwa Wanafalsa wao wanaona kuna kweli mbili,kuna Ukweli namna unavyojitokeza kwa mtu na kuna Ukweli kama Ulivyo (Absolute Truth).

Lakini katika uhalisia Ukweli ni mmoja tu. Kuna watu wanaamini juu ya ukana Mungu na kuona wao wapo sahihi na wao ndio wakweli huu ni kwa wao wanavyo ona lakini haki halisi ni kinyume.

Kama hujanielewa niambie,nije nikupe maana ya UKWELI.
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,209
Points
2,000
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,209 2,000
Unajua kwanza maana ya UKWELI ?

Kwa Wanafalsa wao wanaona kuna kweli mbili,kuna Ukweli namna unavyojitokeza kwa mtu na kuna Ukweli kama Ulivyo (Absolute Truth).

Lakini katika uhalisia Ukweli ni mmoja tu. Kuna watu wanaamini juu ya ukana Mungu na kuona wao wapo sahihi na wao ndio wakweli huu ni kwa wao wanavyo ona lakini haki halisi ni kinyume.

Kama hujanielewa niambie,nije nikupe maana ya UKWELI.
Ungeweka tu hiyo maana ya ukweli unayoifahamu ingekuwa vizuri zaidi sio usubiri mpaka uniulize kama sijaelewa

Mengine nimeshindwa kuyauliza kwakuwa hujajipambanua kama wewe upo wapi kati ya maana hizo mbili wanazodhania hao unaowaita wanafalsafa kuwa zinabainisha ukweli juu yao.!?

Pia na hilo hitimisho uliloliweka wewe mwenyewe Kwamba ukweli ni Mmoja tu..kwamba umechagua upande mmoja kati ya hizo za hao wanafalsafa au unakanuni yako wewe mwenyewe ya kuujua ukweli...?
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,520
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,520 2,000
Ungeweka tu hiyo maana ya ukweli unayoifahamu ingekuwa vizuri zaidi sio usubiri mpaka uniulize kama sijaelewa

Mengine nimeshindwa kuyauliza kwakuwa hujajipambanua kama wewe upo wapi kati ya maana hizo mbili wanazodhania hao unaowaita wanafalsafa kuwa zinabainisha ukweli juu yao.!?

Pia na hilo hitimisho uliloliweka wewe mwenyewe Kwamba ukweli ni Mmoja tu..kwamba umechagua upande mmoja kati ya hizo za hao wanafalsafa au unakanuni yako wewe mwenyewe ya kuujua ukweli...?
UKWELI ni kauli au kitendo kuwafikiana na hali halisi.

Sasa rejea katika maelezo yangu utaona mimi niko wapi.
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,996
Points
1,500
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,996 1,500
Umekubali kwamba huwezi kuthibitisha roho ipo?
Mkuu unajua kuna wakati watu wazima hatuwezi kuulizana swali la nani alianza kati ya kuku na Yai. Roho ipo. Ukitaka kujua kama roho ipo, uliza wale wenye uwezo wa kuona visovyoonekana kwa macho. Au uliza madaktari watakwambia kuwa mtu anapokata roho anapoateza uzito fulani. So roho kuna ushahidi kuwa ipo.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,313
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,313 2,000
Mkuu unajua kuna wakati watu wazima hatuwezi kuulizana swali la nani alianza kati ya kuku na Yai. Roho ipo. Ukitaka kujua kama roho ipo, uliza wale wenye uwezo wa kuona visovyoonekana kwa macho. Au uliza madaktari watakwambia kuwa mtu anapokata roho anapoateza uzito fulani. So roho kuna ushahidi kuwa ipo.
Kuona vitu visivyoonekana ndiyo kunathibitish roho ipo?

Kupoteza uzito wakati wa kufariki ndiko kunathibitisha roho ipo?

Hivi viwili vinathibitishaje roho ipo? Kwa nini viunganishwe na roho, wala si kitu kingine chochote?
 
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
3,805
Points
2,000
Stefano Mtangoo

Stefano Mtangoo

Verified Member
Joined Oct 25, 2012
3,805 2,000
Hi Isaac,
I am an Atheist, its been two years since I became an Atheist. For you who don't understand Atheism.
Atheist is a person who does not believe in god or gods or supernatural.
It is sad to hear that you are an atheist. I don't know how you became one, but I will be happy to discuss that with you if you are honesty enough and bold to face the facts of life and reality. I'm on the opposite end. I believe God (not gods) exists, that He created the universe and all in it, that He loves humanity as crown of His creation, made in His own image, far different from all other creation. That the Creator who is Eternal and Immortal King took upon human form. Without ceasing to be God He became a Man in a person of Jesus who walked on earth approx 2000 years ago. He died to rescue you and me from the grip of sin and fear and bondage of death and raised from the dead to prove his claims and become first fruit of resurrection, of which we all Christian awaits.

I also, rationally believe, there is a devil, an arch enemy of humanity and fallen angelic being. That he lures people away from God using many ways, atheism being one of them. I believe the devil have got you in his pawns and would be happy to discuss via PM or Email if you wish.

May God open your eyes!
 
Forum statistics

Threads 1,336,215
Members 512,562
Posts 32,530,918
Top