I am an Atheist

mtu watu

mtu watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
2,132
Points
2,000
mtu watu

mtu watu

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
2,132 2,000
Watu weng wanaona kuwa atheist ni laana hawatambui kuwa wao wanaamini wasichokijua
 
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
645
Points
250
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
645 250
Kuna force nne za universe
1.Gravity
2.Electromagnetism
3 weak forces
4 strong forces
hizi ndizo zinafanya universe hifanye kazi.
Reality ni uwalisia tunao uwona.
hahaha mwana umenitabasamisha sana, basi nikajua umejitengenezea kamfumo kako tofauti kabisa na ka makundi yoote yaliyopo kumbe still umedakwa na fix za kakundi fulani! Kwa mantiki hiyo bado ni victim wa imani tu. Mfano huwezi ukatuthibitishia Gravity zaidi ya porojo tupu.
 
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
645
Points
250
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
645 250
Hakuna roho. Uliwahi waza mbu au nzi akifa anaenda wapi?
Tukifa ndio basi, hakuna kingine kinafuata,
mara ya mwisho ulikufa lini ili ututhibitishie fact hiyo mzee?
 
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
645
Points
250
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
645 250
sawa hizo force 4 ulizozitaja ndio universe inavyofanya kazi?
nini chanzo cha hizo force nne?
naam nimependa unavyomleta taratibu huyu jamaa ili asingizie kabanwa na choo kidogo.
 
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
865
Points
1,000
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2019
865 1,000
We ndio huna akili, waumini wenzio watasema una mapepo

Wewe hilo jina la Jesus alikutungia babako??

Hivi unaelewa kujiita majina kama hayo yesu au mungu ni aina fulani ya kufuru kulingana na mafundisho ya kikristo hususani hapa tanzania???

Aisee jamiiforum ilitakiwa watuwekee option ya kupiga vibao waongea pumba kama nyinyi
Halafu eti anajiita Jesus freak hivi kweli vituko..
 
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
865
Points
1,000
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2019
865 1,000
Nifuraha isiyo PIMIKA niliyo nayo

Ushindi juu ya addiction

Ushindi juu ya maisha ya kushindwa yaani ya kuto kufanikiwa na sijaenda kwa mganga wala kununua mafuta ya upako

Ushindi juu ya mengi sana

Ushindi juu ya stress za hapa na pale za maisha ni uthibitisho tosha kuwa MUNGU yupo

MUNGU YUPO WEWE NIMEEPUKA NA AJARI KIBAO WATU WAMEKUFA MIMI NA BAKI MZIMA

HUO NI UTHIBITISHO TOSHA NA THABITI KUWA MUNGU YUPO

NARUDIA TENA SINA TATIZO WALA STRESS NA KAMA NAWW NI MIONGONI WA HANGA SIKULAZIMISHI KUJA UKU KWA SABABU MUNGU WANGU HUWA ALAZIMISHI ANAHITAJI UHIARI WAKO
Vipi sasa hao waliokufa kwenye hizo ajali hawakuwa wa mungu?
 
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
645
Points
250
A

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
645 250
Hizo force tuna weza kutest. Mfano unaweza dondosha hata kijiko ukaona gravity inavyofanya kazi. Lakini uwezi ku test uwepo wa Mungu.
Sasa kama uwezi kutest unaweza vipi fika kwenye conclusio na kusema yupo? Na pia uwezi jua kuwa ni Mungu yupi maana hipo mingi?
hahahaha nimetabasamu zaidi mkuu, yaani unadondosha kijiko chini halafu unasema ni gravity, uko serious mkuu? so ulitaka udondoshe kijiko halafu kipae juu(hahahaha) kama wajinga fulani wanaosema dunia duara linalozunguka km 1000 kwa saa (hahaha). Hebu nikuulize mzee videge vidogo kama sholwe, njiwa n.k na ndege wakubwa kama mwewe, tai n.k wanamudu vipi kuelea angani na kuishinda gravity ambayo ina uwezo wa kushikilia matani ya uzito wa bahari?
 
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
2,004
Points
2,000
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
2,004 2,000
Haina haja ya kuweka cheti cha kuzaliwa wakati jina hilo lina maana thabiti kabisa kuwa kristo ni BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU

YESU YUPO NA RAHA ISIYO PIMIKA TEH TEH ATANIKILA UGALI NA BAMIA KILA SIKU NA FURAHA ISIYO PIMIKA AHSANTE YESU KRISTO BWANA WANGU
Unajua hadithi kuhusu yesu zime kuwa copied katika hadithi nyingine za kale zaidi zilizokuepo kabla ya yesu

Kabla hata ya kuandikwa kwa bibilia zilikuwepo hadithi nyingi Sana za kipagani zinazofanana na kisa Cha yesu

Hadithi kuhusu Mwana wa Mungu aliyezaliwa na bikra na mwisho akafa katika umri mdogo kwa ajiri ya watu wake zilikuwa copied tu wayahudi kutengeneza version Yao ya yesu

Huwa Huwa mnafanya research au mna ushabiki tu kwakua mmezaliwa wakristo

Step out from your blind Faith,hata mimi nilikua Kama Wewe na Biblia naijua vizuri tu mpaka siku nilipo conclude ni upumbavu tu uliopitwa na Wakati

Hivi ushawahi sikia kuhusu 'Argument from locality'

Au unachoweza we binti ni kuropoka tu pumba?
 
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
2,004
Points
2,000
einstein newton

einstein newton

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
2,004 2,000
First an far most God is not something!! You seem not to know what the meaning of definition. If ask you to define you just human being, you will not be able but does that mean that you do not believe something? You are entangled in your own confusions.
You are over all lines of reasoning are totally inconsistent
At first you claimed that God is undefined to you because he is incomprehensible

Here then,you confidently assert that 'God is not something' means you has figured out his nature and realized that 'He is not something'

And yet He is incomprehensible to you.....How Absurd?
 
descarte

descarte

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
1,252
Points
1,225
descarte

descarte

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
1,252 1,225
t
You are over all lines of reasoning are totally inconsistent
At first you claimed that God is undefined to you because he is incomprehensible

Here then,you confidently assert that 'God is not something' means you has figured out his nature and realized that 'He is not something'

And yet He is incomprehensible to you.....How Absurd?
It is not inconsistency my Bro, lemme say this as Thomas Aquinas said we cannot know the what God real is? But we know what God is not.
 
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
7,052
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
7,052 2,000
Hakuna namna mtu anaweza kumwelezea Mungu bila Mungu kuwa dependent variable.
Mungu anaelezewa kwa kupitia vitu na hali. Hakuna namna unaweza kumwelezea Mungu "as an independent thing". Hii inatia shaka kubwa sana kuhusu uwepo wa Mungu ambaye hakuna namna anaweza kujipambanua.
Kuelezewa kupitia vitu ni katika kuonesha dalili za uwepo wake na ndiyo chenye ubishani,sasa sijui wewe mkuu ulitaka aelezwa vp ni mrefu au mfupi.
 
J

Jesusfreak08

Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
99
Points
125
J

Jesusfreak08

Member
Joined Jul 20, 2019
99 125
Unajua hadithi kuhusu yesu zime kuwa copied katika hadithi nyingine za kale zaidi zilizokuepo kabla ya yesu

Kabla hata ya kuandikwa kwa bibilia zilikuwepo hadithi nyingi Sana za kipagani zinazofanana na kisa Cha yesu

Hadithi kuhusu Mwana wa Mungu aliyezaliwa na bikra na mwisho akafa katika umri mdogo kwa ajiri ya watu wake zilikuwa copied tu wayahudi kutengeneza version Yao ya yesu

Huwa Huwa mnafanya research au mna ushabiki tu kwakua mmezaliwa wakristo

Step out from your blind Faith,hata mimi nilikua Kama Wewe na Biblia naijua vizuri tu mpaka siku nilipo conclude ni upumbavu tu uliopitwa na Wakati

Hivi ushawahi sikia kuhusu 'Argument from locality'

Au unachoweza we binti ni kuropoka tu pumba?
kama walikopi me sikubaliani na ww

Maana raha zote ambazo biblia imeahidi nazipata

Kwa mfano biblia inasema Mtakuwa na amani isiyo ya dunia hii na ni kweli kabisa amani yangu haiyumbishwi na chochote apa duniani wala haipungui

Mtakuwa wauzima tena Mtakuwa nao tele uo uzima ninao na wapo wengi pia ambao wanauzima huo

Na kuna mahali biblia inasem hakuna jambo gumu mbele za MUNGU ni kweli kabisa maana kulikuwa na Ndugu yangu alikuwa na kansa ya ziwa ilibidi akatwe lakini kupitia neno hilo akaomba paka akapona

Pia YESU alisema anabadilisha nilikuwa na rafiki yangu alikuwa ni mlevi wa kupindukia alikuwa mvuta bangi adi wazazi wake walikiwa wanamuogopa alikuwa na addiction za master burtion saivi hayo mambo hayapo tena kwake

Me mwenyew nilikata tamaa ya maisha nikasema bora nife lakini nikasoma andiko linalosema MUNGU ananipenda kuliko mtu mwingine kuanzia siku iyo na jiona wa thamani sana Sana kwasababu ni MUNGU ndio aliyenifanya wa thamani

Mimi simuongelei YESU aliye andikwa kwenye vitabu na muongelea YESU aliyebadili maisha yangu kabisa na wengine wengi waliokata tamaa za maisha sasa wanalo tumaini walevi wavuta bangi wezi Leo ni mifano mikubwa kwa familia na dunia kiujumla ambao wazazi wao waliwashindwa serikali iliwafunga wakitoka wa naendelea na wizi Leo ni mfano mkubwa Yesu kabadili maisha yao hata wenyewe hawaamini

Watu walikuw mateja wa kujichoma sindano na kujidunga madawa Leo ukiwaangalia kama hawajawai tumia madawa bila kutimia vidonge vya dokta na wakuaacha taratibu waliacha kwa ghafla lakini sasa ni watu wapya

YESU ANABADILI MAISHA YA WATU KABADILI YANGU KWANZA NA WENGINE WENGI WATU WANGU WA KARIBU
 
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
865
Points
1,000
mark girland

mark girland

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2019
865 1,000
Wanajua wenyewe miyoni mwao lakini MUNGU hawez kumuacha mtu wake afe ki aibu hata siku moja
Kwa lugha nyingine wale siyo wa kwake maana umesema mungu hawezi kuacha watu wake wafe kiaibu..
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,521
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,521 2,000
Huu mjadala bado upo tu ?

Kweli watu wana vichwa vigumu sana.
 
fogoh2

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
2,697
Points
2,000
fogoh2

fogoh2

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
2,697 2,000
kama walikopi me sikubaliani na ww

Maana raha zote ambazo biblia imeahidi nazipata

Kwa mfano biblia inasema Mtakuwa na amani isiyo ya dunia hii na ni kweli kabisa amani yangu haiyumbishwi na chochote apa duniani wala haipungui

Mtakuwa wauzima tena Mtakuwa nao tele uo uzima ninao na wapo wengi pia ambao wanauzima huo

Na kuna mahali biblia inasem hakuna jambo gumu mbele za MUNGU ni kweli kabisa maana kulikuwa na Ndugu yangu alikuwa na kansa ya ziwa ilibidi akatwe lakini kupitia neno hilo akaomba paka akapona

Pia YESU alisema anabadilisha nilikuwa na rafiki yangu alikuwa ni mlevi wa kupindukia alikuwa mvuta bangi adi wazazi wake walikiwa wanamuogopa alikuwa na addiction za master burtion saivi hayo mambo hayapo tena kwake

Me mwenyew nilikata tamaa ya maisha nikasema bora nife lakini nikasoma andiko linalosema MUNGU ananipenda kuliko mtu mwingine kuanzia siku iyo na jiona wa thamani sana Sana kwasababu ni MUNGU ndio aliyenifanya wa thamani

Mimi simuongelei YESU aliye andikwa kwenye vitabu na muongelea YESU aliyebadili maisha yangu kabisa na wengine wengi waliokata tamaa za maisha sasa wanalo tumaini walevi wavuta bangi wezi Leo ni mifano mikubwa kwa familia na dunia kiujumla ambao wazazi wao waliwashindwa serikali iliwafunga wakitoka wa naendelea na wizi Leo ni mfano mkubwa Yesu kabadili maisha yao hata wenyewe hawaamini

Watu walikuw mateja wa kujichoma sindano na kujidunga madawa Leo ukiwaangalia kama hawajawai tumia madawa bila kutimia vidonge vya dokta na wakuaacha taratibu waliacha kwa ghafla lakini sasa ni watu wapya

YESU ANABADILI MAISHA YA WATU KABADILI YANGU KWANZA NA WENGINE WENGI WATU WANGU WA KARIBU
Yote uliyotaongea hapa Ni kawaida tu ,Ni maamuzi ya mtu
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
1,209
Points
2,000
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
1,209 2,000
Huu mjadala bado upo tu ?

Kweli watu wana vichwa vigumu sana.
Unadhani ni kirahisi hivyo Mufti..!

Uwepo au kutokuwepo kwa muumba yote ni majawabu sahihi

Ila muamuzi wa usahihi wa majawabu hayo ni wewe mwenyewe kulingana na level ya ufahamu wako mufti
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,313
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,313 2,000
Utakubali kila kitu kua kipo bila kuthibitishiwa kivipi kipo?

Nikishindwa ku prove kua kuna mdigo yupo katikati ya dunia na jua, hiyo inafanya kua mdigo huyo awepo katikati ya jua na dunia kwasababu nimeshindwa kuthibitisha?
Jamaa anasema ujinga wa atheists halafu hata spelling za atheist hajui!
 
Forum statistics

Threads 1,336,217
Members 512,562
Posts 32,531,042
Top