I am an Atheist

EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
1,610
Points
2,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
1,610 2,000
ulizaliwa kwenye dini gani
 
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
7,745
Points
2,000
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
7,745 2,000
Lazima uthibitishe kuwa kuna roho. Kwasababu hakuna uthibitisho wowote unaoonesha kuwa kuna roho katika kiumbe chochote.
Sasa mkuu watu akifa apa duniani ile "pumzi" (roho japo utaki) inaenda wapi?
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,933
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,933 2,000
Kuna mahusiano gani kati ya wewe kutokuamini Mungu na kutokuwepo Mungu?kwa sababu kuamini ni uamuzi binafsi wa mtu kwamba anaweza kuamua kuamini ama kutoamini kama ulivyofanya wewe na ndiyo maana mtu anaweza kukwambia kitu ukakataa kumuamini ila baadaye ukaja kugundua kumbe ilikuwa kweli kile alichokwambia. Ila pia kuna wengine walikuwa hawaamini Mungu kabisa ila sasa wamebadili misimamo yao na sasa wanaamini Mungu.

Ndiyo maana nauliza kutokuamini kwako Mungu kuna husiana na kutokuwepo Mungu,sababu tukichukulia watu wanaamini Mungu kwa sababu kuna mambo hawayaelewi na hurithishana hii imani basi je inawezakana vp kwa mtu mzima aliyekuwa anapinga kuwepo Mungu kuja kukubali kuamini Mungu hali ya kuwa alikuwa akijua ni kwanini tatizo la watu kuamini Mungu.
 
Isaac Atheist

Isaac Atheist

Senior Member
Joined
Aug 27, 2019
Messages
161
Points
250
Isaac Atheist

Isaac Atheist

Senior Member
Joined Aug 27, 2019
161 250
Kuna mahusiano gani kati ya wewe kutokuamini Mungu na kutokuwepo Mungu?kwa sababu kuamini ni uamuzi binafsi wa mtu kwamba anaweza kuamua kuamini ama kutoamini kama ulivyofanya wewe na ndiyo maana mtu anaweza kukwambia kitu ukakataa kumuamini ila baadaye ukaja kugundua kumbe ilikuwa kweli kile alichokwambia. Ila pia kuna wengine walikuwa hawaamini Mungu kabisa ila sasa wamebadili misimamo yao na sasa wanaamini Mungu.

Ndiyo maana nauliza kutokuamini kwako Mungu kuna husiana na kutokuwepo Mungu,sababu tukichukulia watu wanaamini Mungu kwa sababu kuna mambo hawayaelewi na hurithishana hii imani basi je inawezakana vp kwa mtu mzima aliyekuwa anapinga kuwepo Mungu kuja kukubali kuamini Mungu hali ya kuwa alikuwa akijua ni kwanini tatizo la watu kuamini Mungu.
Siamini kwasababu hakuna ushahidi wa Mungu. Na unapo sema Mungu unamaanisha Mungu yupi, Yahweh, Thor, Zeus, Vishnu au?
 
Forum statistics

Threads 1,336,217
Members 512,562
Posts 32,531,042
Top