I-20 na US F-1 VISA

Maseke ya Meme

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
695
914
Hivi mtu akikutumia I-20 ya shule ana uwezo wa kuifuta ukiwa tayari umepata VISA na na uwezo wa kuicancel VISA tena au ukiingia US na students VISA bila authorization to travel letter hautaruhusiwa kuingia states???
 
Mzuzu,

Maswali/swali lako halieleweki vizuri.

Unauliza - "hivi mtu akikutumia I-20 ya shule ana uwezo wa kuifuta ukiwa tayari umepata Visa?"

Jibu - Nita-assume unaposema "mtu" unamaanisha "chuo" kwa sababu I-20 ni document inayotoka kwenye chuo ulicho-apply na sio kutoka kwa mtu binafsi. Sasa basi, jibu ni ndio, chuo kinaweza ku-cancel I-20 iliyo issue hata baada ya kupata Visa.

Kuna sababu mbalimbali chuo kinaweza kuhahirisha I-20, lakini pengine sababu mzito ni kama chuo itabaini kuwa ulitumia document au information feki kwenye application.

Kwa hiyo, once chuo kiki-cancel I-20, student Visa yako uliyoipata inakuwa inactive.

Unauliza - "ukiingia US na student VISA bila authorization to travel letter hautaruhusiwa kuingia states?"

Jibu - unaposema " bila authorization to travel letter" unamaanisha bila I-20? Kama unamaanisha bila I-20, jibu ni ndio hautaruhusiwa kuingia States. Ukija U.S. kama mwanafunzi, utakapowasili kwenye Port of Entry (Airport ya kwanza utakayotua ndani ya anga la U.S.), utatakiwa kuonyesha documents mbili muhimu - Paspoti yako yenye visa halali na I-20 yako inayoonyesha shule unayokwenda. Sasa kama hautakuwa na I-20, basi hautaruhusiwa kuingia U.S. hata kama una visa halali.

Au

Unaposema "authorization to travel letter" unamaanisha barua gani na kutoka kwa nani?
 
Sio I-20 ila ni special letter ambayo utatakiwa kupewa kabla ya kusafiri??? Sijui kama kuna ukweli nilikuwa najua I-20 na valid VISA but nikauliza kwa mtu mwingine akaniambia kuna kitu kama hicho so nilitaka kuconfirm hapa JF
 
Kusema ukweli sijui ni barua gani unazungumzia. Hiyo barua inatakiwa itoke kwa nani?

Au pengine unazungumzia 'Acceptance Letter' kutoka chuo ulicho-apply? Kwa kawaida chuo kinapokubali application yako, huwa wanatuma acceptance letter, along with I-20 and other relevant information. Hiyo 'AL' huwa haibebi information zozote za maana other than kukutaarifu kuwa wamekubali ujiunge na chuo chao. Information zote muhimu za chuo unachokwenda ambazo U.S. immigration kwenye Port of Entry wanazihitaji kujua zimeorodheshwa kwenye I-20.

Generally, Port of Entry wako interested kujua: (1)Wewe ni nani na ni raia wa wapi (Passport)na (2)unakwenda chuo gani na kwa muda gani (I-20). Sasa sina uhakika kama wanahitaji kuona Acceptance Letter or any other letter. Lakini always ni vizuri kubeba as many documents as you can, ili kuondoa any bughudha ambayo inaweza kutokea.

Kupata uhakika zaidi, ningekushauri uwasiliane na U.S. Consul hapo nyumbani. Website yao ni:http://tanzania.usembassy.gov/ au unaweza kumake an appointment na kwenda kuwauliza maswali yote uliyokuwa nayo.
 
Hiyo authorization letter unayoulizia, swali,
1. Je inaandikwa na nani?
2. Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali/shirika la umma TZ, unapewa barua ya 'leave of study' yenye kujumuisha requirements zote za leave. barua hii unaipeleka embassy pamoja na informations zingine zote zinazotakiwa ili upewe visa. Hii ni kwa aliyeajiriwa tu.
3. umuhimu wa barua kama hiyo unaishia kwenye balozi tu na labda chuoni unapoenda kusoma iwapo unataka familia yako ije kujiunga na wewe iwapo tu hiyo barua inataja kuwa unaendelea kupokea mshahara wakati wa leave yako
4.inawezekana huyo mtu amekuchanganya kidogo maana pale ubalozini unapewa bahasha ambayo unaambiwa usiifungue na ifunguliwe tu na immigration officer airport (port of entry). Yaani ukifika destination yako unakabidhi hiyo bahasha pamoja na passport yako tu! Hiyo bahasha inakuwa na I-20 ndani yake. Yaani unapotoka ubalozini hurudishiwi I-20 kononi bali inakuwa ndani ya bahasha. Je ni hiyo unayosemea?
5. Sifahamu kama immigration huko TZ wamebadilisha sheria ila last year nilipokuwa nyumbani airport, hawakuomba document kama hiyo unayosema.

Otherwise fafanua zaidi kuhusiana na unaloulizia
 
Hivi mtu akikutumia I-20 ya shule ana uwezo wa kuifuta ukiwa tayari umepata VISA na na uwezo wa kuicancel VISA tena au ukiingia US na students VISA bila authorization to travel letter hautaruhusiwa kuingia states???

Ndugu yangu Mzuzu hawa waheshimiwa huwa wanabadilishabadilisha sana mambo yao na nafikiri ni katika hilo suala zima la kudhibiti ugaidi....Ila tu kama hawajabadilisha na kama sitotoka kwenye swali lako ni kuwa I-20 za siku hizi zina barcode kwa ajili ya kudhibiti uharamia; Sasa pindi shule wakutumiapo hiyo nyaraka, huwa wakati huo huo wanawataarifu uhamiaji kuwa kuna nyaraka fulani imetumwa kwa bwana mzuzu kwa ajili ya yeye kufika shuleni.
Sasa kama kumetokea lolote lile ikapelekea kwa shule kuibatilisha hiyo nyaraka, basi wanaweza kufanya hivyo bila ya wewe kujua (Kutokana na sababu ambazo mmehitilafiana); Sasa pindi utakapofika katika kituo cha kuingilia nchini 'Port of Entry' ile barcode haitofanya kazi inayotakiwa au itamuonyesha yule afisa kuwa imebatilishwa. Kitakachofuata hapo ni kizungumkuti tu maana yule afisaa hatokuruhusu kupita hata kama ulikuwa na yule ndege pori katika pasi yako ya kusafiria.
Nina imani nimekusogeza kidogo katika mwangaza....
Ahsante
 
Kuna kitu kinanitatiza siku nyingi tu....najaribu kufahamu kuhusiana na hili hili suala la Viza...Hivi ukiwa na H-1 viza, unaruhusiwa kuhama nayo kwenda kwa mwajiriwa mwingi kwa uamuzi wako mwenyewe au lazima mwajiri wako aipitishe wazo hilo?
Napokea majibu......
Ahsanteni.
 
Mwazange,
Ndio unaweza kuhama kwa hiari yako mwenyewe. Huna ulazima wa kung'ang'ana na mwajiriwa aliyekupatia original H-B1. Ila unatakiwa kufanya transfer ya hiyo H-B1 kutoka kwa mwajiri wako wa zamani kwenda kwa mpya. Kwa kifupi, mwajiri wako mpya anatakiwa akudhamini kwenye ku-transfer H-B1 yako.

Jambo muhimu - kumbuka kuwa muda(usually 3yrs x 2terms)wa H-B1 yako haubadiliki hata kama ukihama mwajiri. Mfano, ukifanya kazi kwa mwajiri A kwa muda wa miaka 4, halafu ukahamia kwa mwajiri B, H-B1 yako itaendelea kuwa valid kwa miaka 2 iliyobaki. Kuhamia kwa mwajiri mpya hakuongezi muda wa H-B1.
 
Ahsanteni sana wanaJF kwa elimu hiyo nzuri kwani nilikuwa napata info ambazo hazitozi na kila anayenipa anakuwa hana uhakika. Na tena hazikuwa consistent kila aliyenipa alikuwa anasema na inakuwa haifanani na wa mwanzo!
 
Bila ya shaka bwana Mzuzu...Hii ndo baraza ya kahawa ya kuelimishana....
Aksante.
 
Bwana Mzuzu nimesikia tetesi kuwa mambo yamekuwa mazuri.....nini habari njema??? kulikoni, tutonye pengine tukapeana tips zaidi!!!
 
Back
Top Bottom