Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa ndo suluhisho pekee mpaka sasa la chakula cha mifugo.

Inaweza kukupunguzia gharama za chakula kwa 50% na kama tunavyo jua kwenye ufugaji hasa Kuku chakula kinabeba hadi asilimia 85 ya gharama zote za uendeshaji wa kuku.

110846c.jpg

Kanga wakiwa wanakula Hydroponic fodder.
DIY-Fodder4.jpg

Kuku wakila hydroponic fedder.

HYDROPONIC FODDER inaweza tumika kulishia aina zote za mifugo na hii ni njia rahisi sana na isiyo kuwa na gharama sana.
Chasha poultry farm hii technology naitafuta sana nilikuwa nataka kujua pa kuanzia mimi shida yangu ni ajili ya mifugo tu ng'ombe. na kuku baadae.Hebu nipe mawasiliano na wewe na pia je kwa hapa Tanzania ni wapi wanatoa mafunzo na angalau hata kuona kwa macho?,Najua wenzetu Kenya wako mbele sana kwa masuala haya
 
J & B TUNATOA MAFUNZO, TUNAUZA FODDER YENYEWE, TUNAUZA TREI PAMOJA NA VIFAA VYOTE. TUNATOA USHAURI WA KITAALAMU NAMNA YA KUWALISHA MIFUGO. TUTAFUTE KWA NAMBA 0655 533 543 TUKO JIJINI MWANZA. UNAKARIBISHWA KUONA KWA MACHO KABLA HUJAJIFUNZA.
 
Mkuu naomba Msada. Hydroponic yangu nilipanda ngano, baada ya siku 8 niliwapa kuku wa nyama wa wiki 2 ajabu waligoma kabisa kula. Inaweza kuwa sababu gani?
siku 4/5 ni kwa ajili ya ndege
6/7 ni kwa ajili ya nguruwe
8+ ni kwa wanyama wanaotumia zaidi majani kama vile ng'ombe, mbuzi etc.

Ila hata ndege wakizoea hata fodder ya siku 8 wanachangamkia tu.
 
Chasha poultry farm hii technology naitafuta sana nilikuwa nataka kujua pa kuanzia mimi shida yangu ni ajili ya mifugo tu ng'ombe. na kuku baadae.Hebu nipe mawasiliano na wewe na pia je kwa hapa Tanzania ni wapi wanatoa mafunzo na angalau hata kuona kwa macho?,Najua wenzetu Kenya wako mbele sana kwa masuala haya
J and B Enterprises wanatoa mafunzo hayo. Kama ukitaka kuona kwa macho unakaribishwa, wako Mwanza jijini - Igoma nyuma ya St. Mry's school; kwa mawasiliano waweza kuwapata kwa jnb14enterprises@gmail.com; simu nambari +255 655 533 543 KARIBU SANA!
 
Mi ni mtaalamu wa kutengeneza Automatic Hydroponic system. Yaani mfumo wa kuotesha mimea kwa kutumia maji unaojiendesha wenyewe. Kama unahitaji basi tuwasiliane.
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI
 
Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa ndo suluhisho pekee mpaka sasa la chakula cha mifugo.

Inaweza kukupunguzia gharama za chakula kwa 50% na kama tunavyo jua kwenye ufugaji hasa Kuku chakula kinabeba hadi asilimia 85 ya gharama zote za uendeshaji wa kuku.

110846c.jpg

Kanga wakiwa wanakula Hydroponic fodder.
DIY-Fodder4.jpg

Kuku wakila hydroponic fedder.

HYDROPONIC FODDER inaweza tumika kulishia aina zote za mifugo na hii ni njia rahisi sana na isiyo kuwa na gharama sana.

Mkuu ningependa kujua ni nutrients gani hutakiwa wakati wa kuotesha na kukuza Hydroponic Folders sababu ni sharti iwe in liquid form. Na sisi tumezoea mbolea za viwandani ni crystal form au Mboji.
 
Nimejaribu kuandaa hydroponic baada ya kusoma maelezo hapa na sehemu mbali mbali, kwenye maelezo hapo juu nimeona unaweza kuvuna baada ya siku 4 hadi 5 kama ni kwaajili ya kuku, ila hizo zinazoonekana kwenye picha hapo zinakaribia kufunga wiki 1 na naona hazikui. Sijajua nimekosea wapi na nifanye nini ili zikue haraka.

NB nimekua nikimwagilia maji ya kawaida bila kuchanganya chochote.
20180713_111008.jpg
 
Nimejaribu kuandaa hydroponic baada ya kusoma maelezo hapa na sehemu mbali mbali, kwenye maelezo hapo juu nimeona unaweza kuvuna baada ya siku 4 hadi 5 kama ni kwaajili ya kuku, ila hizo zinazoonekana kwenye picha hapo zinakaribia kufunga wiki 1 na naona hazikui. Sijajua nimekosea wapi na nifanye nini ili zikue haraka.

NB nimekua nikimwagilia maji ya kawaida bila kuchanganya chochote.View attachment 808445
Kama ni wiki kuna sehemu umekosea ... wiki ibabidi usiwe unaona mbegu hata moja. Inaonekana green tupu.
Makosa yanayofanywa na wengi ni kama ifuatavyo:-
1. Uoshaji
2. Usafishaji
3. Uoteshaji
4. Matumizi sahihi ya virutubisho.
Elezea kila kipengere umefanyaje. Angalia kwenye hiyo attachment!
 
Attachments

  • Hatua za kuotesha Fodder.jpg
    Hatua za kuotesha Fodder.jpg
    93 KB · Views: 250
Kama ni wiki kuna sehemu umekosea ... wiki ibabidi usiwe unaona mbegu hata moja. Inaonekana green tupu.
Makosa yanayofanywa na wengi ni kama ifuatavyo:-
1. Uoshaji
2. Usafishaji
3. Uoteshaji
4. Matumizi sahihi ya virutubisho.
Elezea kila kipengere umefanyaje. Angalia kwenye hiyo attachment!
Kosa la kwanza nadhani ni virutubisho, sikuweka kirutubisho chochote na kwenye maelezo mengi wanasema unamwagilia maji ya kawaida bila kuchanganya kitu, ni virutubisho gani tunachanganya hapo.
Hatua nyingine nimefuata vizuri tu.
 
Nimeitazama kwa ufupi Mkuu. Imesheheni. Pamoja na ukweli kuwa siwapendi Wakenya kihivyo, lazima nikiri kuwa wenzetu wako juu sana na kwa sababu ya blah blah zetu, vigumu kuwafikia. Wako juu hata kwa information sharing. Inawezekana baadhi ya mambo kama haya tunayo hapa hapa lakini tuna uzembe wa kuyaweka hadharani kwa faida ya wote!

Anyway, shukurani kwako, kwa Mleta Uzi na Wachangiaji wote! Ngoja tuifanyie kazi hii fursa!
Mkuu umenena kweli ila sisi kwa sisi hatupendani licha ya wakenya wenyewe kuna watu anaweza kuwa anajua jambo linaloweza kuwasaidia na wengine ila hupendi ufahamu zaidi ya kujirushia kwenye hizi social media kuwa anafanya hydroponic na hata ukijaribu kutaka ujifunze bla bla nyingi mara unatakiwa uende shule ukasomee wakati nikitu ambacho yeye anaweza kukufundisha ila mtu hadi ufanikiwe unapitia mambo mengi mno kwa hizi jamii zetu za kiafrica

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom