Hvi utajiskiaje utakaposikia...

Me ntakavokichafua lazima ajute kwann hakuja?? Au maisha zamuzamu me nikifa asipokuja na yeye akifa siend kwenye msiba wake hata pua yangu siinusishi
 
Utajisikia poa... kwa sababu atakuwa amekupunguzia aibu ya kusema umeondoka na deni lako...
 
Nitamsema kwenywe ma group yoooote ya mitandao ya kijamii hadi akome! Chezea marehemu wewe!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom