R rais wa mfalme New Member Dec 4, 2016 3 4 Dec 5, 2016 #1 .." Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ??? Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!!
.." Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ??? Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!!
Innocenthezron JF-Expert Member Oct 13, 2016 393 469 Dec 5, 2016 #2 Me ntakavokichafua lazima ajute kwann hakuja?? Au maisha zamuzamu me nikifa asipokuja na yeye akifa siend kwenye msiba wake hata pua yangu siinusishi
Me ntakavokichafua lazima ajute kwann hakuja?? Au maisha zamuzamu me nikifa asipokuja na yeye akifa siend kwenye msiba wake hata pua yangu siinusishi
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,056 141,868 Dec 5, 2016 #3 Utajisikia poa... kwa sababu atakuwa amekupunguzia aibu ya kusema umeondoka na deni lako...
kauzu12 JF-Expert Member Nov 11, 2016 868 779 Dec 5, 2016 #4 Asipo kuja kwenye msiba wangu na mimi akifa siendi. Sipendagi ujinga
Noswerd malila Senior Member Jan 12, 2014 143 75 Dec 12, 2016 #6 Siwezi Jiskia Ila Ntamskia Yeye Kuwa Hajaja Kwa Mazishi Ya Mm
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Dec 12, 2016 #8 Nitamsema kwenywe ma group yoooote ya mitandao ya kijamii hadi akome! Chezea marehemu wewe!