Hvi Shamsi Vuai Nahodha atakuwa anapokea mishahara mitatu?

kaka mtu

Member
Nov 15, 2010
17
3
Baada ya Nahodha kuteuliwa kuwa mbunga wa JMT atakuwa anapokea mishahara mitatu au posho tatu kila mwezi. Posho au mishahara hiyo ni mshahara wa bunge la JMT, Mshahara wa baraza la wawakilishi ZNZ na mshahara wa 80% ya makamu wa pili wa rais wa smz kama waziri kiongozi mstaafu. Hii imekaaje wadau?
 
Kwani ni mjumbe wa baraza la wawakilishi?sasa huu ni mzaha jamani atahuduriaje vikao huku na kule?si atapasuka msamba?
 
na bado inaonekana atapewa uwaziri wa serikali ya muungano.mshahara wa nne huo!
au ndio mwafaka, au kumziba mdomo!!!
 
Hivi kwa aina hii ya malipo kwa hawa "wakubwa" ... kwa anayepata kima cha chini tija itaongezekaje.?
 
Baada ya Nahodha kuteuliwa kuwa mbunga wa JMT atakuwa anapokea mishahara mitatu au posho tatu kila mwezi. Posho au mishahara hiyo ni mshahara wa bunge la JMT, Mshahara wa baraza la wawakilishi ZNZ na mshahara wa 80% ya makamu wa pili wa rais wa smz kama waziri kiongozi mstaafu. Hii imekaaje wadau?

FEDHA ZA KUONGEZA MISHAHARA YA WAALIMU HAKUNA NA ZILIZOPO NI KIDOGO HIVYO BORA TUTUMIE VIONGOZI LABDA MPAKA PALE TUTAKAPOPATA ZA KUONGEZA MISHAHARA YENU. KWA SASA MTUACHE TUJIACHIE.

Hakyanani, msoto wote anaopata maza wangu kuitumikia serikali kamshahra kakipuuzi halafu kuna watu wanakula mishahara mara 20 ya mama yangu halafu mara tatu zaidi na bado hajala wa uwaziri. Huu mwingine ni use....e
 
CCM wana system moja inaitwa "CLICK AND TREAT" yaani umiza (kwa makusudi) maana badae utatibu.
System hiyo ndiyo iliyotumika, kumwumiza BALALI kwa kumnyima urais Z'Bar lakini akatibiwa kwa kupewa umakamu bara.
Ndiyo imetumika kumnyonga SITTA kwny kiti cha uspika lakini atatibiwa kwa kupewa uwaziri (ameshaahidiwa).
Kwa hiyo system hiyohiyo ndio itatumika kumpooza Nahodha kwa kumpa uwaziri bara baada ya kumuumiza kwenye mnyukano wa kumtafuta rais wa Z'BAR.
Kwa hiyo kinachofanyika ni kulipa fadhila.
Ccm wamegeuza uongozi kuwa mahali kwao kwa kulipana fadhila badala ya kutumikia wananchi.
 
na mshahara wa 80% ya makamu wa pili wa rais wa smz kama waziri kiongozi mstaafu.

Haya JK anayafanya huku akidai kupanua soko la ajira............wakati amrundikia mmoja ulaji na huku wengi wenye sifa zaidi ya huyo wako mtaani wakisaga lami huko Zenji.............................you can talk of hypocrisy but I do not think we will ever see anything to supass this in our remaining days on this Earth we call temporary refugee....................
 
Back
Top Bottom