Baada ya Nahodha kuteuliwa kuwa mbunga wa JMT atakuwa anapokea mishahara mitatu au posho tatu kila mwezi. Posho au mishahara hiyo ni mshahara wa bunge la JMT, Mshahara wa baraza la wawakilishi ZNZ na mshahara wa 80% ya makamu wa pili wa rais wa smz kama waziri kiongozi mstaafu. Hii imekaaje wadau?