Hvi Obama anajua Serikali ilihusika na bomu la Arusha?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Jamani nashangaa kama kuna uwezekano Obama kafahamu kilichojiri Arusha. Kwani nashauri wasiwategemee sana vyombo vya usalama vya Tanzania. Inawezekana wakaja kumuua pia, maana Tanzania ni mshikaji wa Iran, na kumbuka alivyokufa Osama mkuu wa kaya aliwalaumu wa USA hivyo inawezekana Al-qaeda wanaweza kutumia mwanya huo kupitia vyombo vya ulinzi na usalama kama polisi kumdhuru Obama. Maana kama wameweza kuua raia kwa maagizo ya watu kama akina mwigulu, je akija jamaa hao wenye mfungamano na akina Osama wakatoa mihela kwa polisi si wanaweza tekeleza tu. Obama be careful! Otherwise Tanzania itaandika historia ya kuua rais aliyetembelea nchi.
 
Anafahamu kuwa chadema ndio wamejilipua wenyewe ili kupata kura za huruma . Kwani unafikiri hapewi taarifa za usalama na c.i.a waliopo hapa nchini?
 
Nimeshasema humu ndani kuna watu ambao si watanzania bali ni mambulula wanaotaka kutuchonganisha watanzania kwa faida ya utalii na mengineyo na hasa baada ya kusikia Obama anakuja Tanzania. Mleta mada leo amedhihirisha hilo kwa kutumia mgongo wa CHADEMA. Sina uhakika kama CHADEMA wameshalitambua hilo au nao wanalichukulia ndiyo mtaji wa kisiasa sijui.

Napenda kuwaasa controller wa kinachorushwa humu wajaribu kuchambua vyema baadhi ya yanayoletwa humu. Namshauri mleta mada aunganishe nguvu na wanaomsapoti afanye kama alivyozoea kufanya huko Arusha na kwingineko wakati wa ujio wa Obama. Nasema hivyo ili iwe faida kwa watanzania maana ukijaribu tu kitakachokukuta ndiyo mwisho wenu hapa duniani na amani itajirudia. Wenzetu wamefundishwa kuuwa siyo siasa za chokochoko unazozileta kwa mgongo wa CHADEMA.
 
Kwa kifupi Mafisa usalama wa US huwa hawategemei ulinzi shirikishi kama sisi, kila kitu wanalinda wao, Polisi wetu watawekwa mbali na watakuwa wanapokea maelekezo kutoka kwao, watake wasitake huo ndo utaratibu, na hata hivyo C.I.A walishatua siku nyingi kufanya maandalizi.
 
Nimeshasema humu ndani kuna watu ambao si watanzania bali ni mambulula wanaotaka kutuchonganisha watanzania kwa faida ya utalii na mengineyo na hasa baada ya kusikia Obama anakuja Tanzania. Mleta mada leo amedhihirisha hilo kwa kutumia mgongo wa CHADEMA. Sina uhakika kama CHADEMA wameshalitambua hilo au nao wanalichukulia ndiyo mtaji wa kisiasa sijui.

Napenda kuwaasa controller wa kinachorushwa humu wajaribu kuchambua vyema baadhi ya yanayoletwa humu. Namshauri mleta mada aunganishe nguvu na wanaomsapoti afanye kama alivyozoea kufanya huko Arusha na kwingineko wakati wa ujio wa Obama. Nasema hivyo ili iwe faida kwa watanzania maana ukijaribu tu kitakachokukuta ndiyo mwisho wenu hapa duniani na amani itajirudia. Wenzetu wamefundishwa kuuwa siyo siasa za chokochoko unazozileta kwa mgongo wa CHADEMA.

Kwani wewe hujui CCM na Polisi walihusika? Mbona unajifanya hujui? Labda kama unalipwa na mwigulu kupost JF.
 
Anafahamu kuwa chadema ndio wamejilipua wenyewe ili kupata kura za huruma . Kwani unafikiri hapewi taarifa za usalama na c.i.a waliopo hapa nchini?

Naona unalipwa kupost JF. Hata mfanyeje wewe na CCM yako hamuwezi kuzui mabadiliko ya hii nchi. Mmejifanya kutumia mabomu na propaganda zingine, mtakoma wanamapinduzi hawawezi kufa wote hata iweje.
 
Kwahiyo ulitaka niongee kukufurahisha wewe badala ya kuongea ukweli? Vijana wa bavicha mnalazimisha uongo na uchochezi kuwa ukweli . Ila mmeshajulikana .
 
Back
Top Bottom