Jamani naomba mnijuze hv ss watu wana apply mkopo au vyuo
Maana watu wanazungumzia kuapply vyuo wakati matokeo yenyewe bado
Jamani mm najua watu wanaomba mkopo na sio vyuo naomba nieleweshwe zaidi
wanafunguaga mapema system coz kuapply sio nyie tu..kuna waliomalza miaka ya nyuma lkn hawakuapply vyuo so wanaanza mapema ili kusiwe na jam...application inaendelea km kawa...na kwny mkopo sahv hawahitaj result slip ya form 6..inatakia chet cha form four(copy)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.