Kama wewe binafsi ni birika utamtambua huyo bikira mwenzio
Kama wewe binafsi ni birika utamtambua huyo bikira mwenzio
Ivi BIkra nini au ikojee kwa uelewaa wako?Hv ni vigezo gani naweza kutumia kumtambua msichana bikra pasipo kufanya nae mapenzi? Mwenye uhakika na hili anijuze.
Birika imekujaje hapa matokeo yake wengine wataleta na vyungu. Jamani tunajadili maswala ya chumbani we unaleta masuala ya jikoni hapa.
Nakufananisha na mkalimani msiba wa Mandella.
Jawilat hebu njoo uedit post yako kwanza kabla mambo hayajaharibika! kuna kaneno umebugi!!
Birika imekujaje hapa matokeo yake wengine wataleta na vyungu. Jamani tunajadili maswala ya chumbani we unaleta masuala ya jikoni hapa.
Nakufananisha na mkalimani msiba wa Mandella.
Kama wewe binafsi ni birika utamtambua huyo bikira mwenzio
Pima oil/gauge utajua tu.Hv ni vigezo gani naweza kutumia kumtambua msichana bikra pasipo kufanya nae mapenzi? Mwenye uhakika na hili anijuze.
Wewe kwanza mtu atakutambuaje kwamba wewe ni bikra au siyo. Maana gari iliyokwisha tembea Km 100,000 haiwezi kuitafuta au kujua gari iliyo na Km 0 ikoje.Hv ni vigezo gani naweza kutumia kumtambua msichana bikra pasipo kufanya nae mapenzi? Mwenye uhakika na hili anijuze.