Hv nitamtambuaje msichana ambaye hachabikiriwa?

Onguluo

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
406
115
Hv ni vigezo gani naweza kutumia kumtambua msichana bikra pasipo kufanya nae mapenzi? Mwenye uhakika na hili anijuze.
 
Jawilat hebu njoo uedit post yako kwanza kabla mambo hayajaharibika! kuna kaneno umebugi!!
 
Last edited by a moderator:
vp hyo heading mzee,BIG RESULT NOW kwny elimu inakuhuuu..
Acha kujitaftia presha ,bikra km bh t yako utaipata vngnevyo wenzio wanabandua,huwez kutambua kw kuangalia
 
Kama wewe binafsi ni birika utamtambua huyo bikira mwenzio

Birika imekujaje hapa matokeo yake wengine wataleta na vyungu. Jamani tunajadili maswala ya chumbani we unaleta masuala ya jikoni hapa.
Nakufananisha na mkalimani msiba wa Mandella.
 
nenda kwenye wodi za wazazi.kwa wakinamama waliojifungua watoto wakike..hao ndo mabikra wenyewe...utawatambua tu maana hata kitovu hakijakatika...
 
Birika imekujaje hapa matokeo yake wengine wataleta na vyungu. Jamani tunajadili maswala ya chumbani we unaleta masuala ya jikoni hapa.
Nakufananisha na mkalimani msiba wa Mandella.

umenielewa sana...hata unifananishe siwezi kufanana nae....jitambue kwanza ndipo umtambue mwenzio...
 
Hv ni vigezo gani naweza kutumia kumtambua msichana bikra pasipo kufanya nae mapenzi? Mwenye uhakika na hili anijuze.
Wewe kwanza mtu atakutambuaje kwamba wewe ni bikra au siyo. Maana gari iliyokwisha tembea Km 100,000 haiwezi kuitafuta au kujua gari iliyo na Km 0 ikoje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom