Hv ni kweli

gpblaze

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
304
14
Hivi ni kweli katika kuchagua mpenzi eti kiwango cha elimu si kitu cha msingi cha kuangalia?
 
Kwa sasa hivi elimu kitu muhimu sana, mtu aliye soma ana siye soma ni kama mbingu na ardhi.
 
Ok sawa.ila nini tunacheki?ni utofauti kati ya mmoja na mwingine au
 
Ok kwa hyo kwenye mapenzi una maana elimu inatumika?
Sana tu elimu inatumika sababu hata namna ya kuonge na mpenzi wako...mtu aliye soma na asiye soma wako tofouti hata namna ya kutoa point za maongezi, na mtu aliye soma anakuwa kasoma mambo mengi tu namna ya kumridhisha hata mke wake kitandani.
 
Katika kuchagua mpenzi kama mpenzi wa kudanganyana kusema ukweli sidhani kama kiwango cha elimu kinahusika kivile maana si unapita tu so long as anajua kama UKIMWI upo na maambukizi yake yanapatikaneje is fair enough.BUT kama unatafuta mke wa kuishi nae katika shida na raha until when death will do you apart elimu inahusika sana tena kwa kiwango cha hali ya juu.Kwangu mimi ilihusika sana maana nani kaiona kesho, unaweza ukajifanya manager sehemu eti mimi darasa la saba ananitosha so long as ntamlisha na kumvisha but remember no situation is permanent maana umeneja wako unaweza ukaisha hata leo usiku,so kama mwenzako ana kikazi hata kidogo akakusaidia kukubusti kimaisha otherwise kama ni darasa la saba mtakaa ndani muanze kukodoleana macho sasa ndo hata mapenzi yanakwisha ndani ya wiki
 
Sisemi sana ila mimi kwa upande wangu elimu iliplay role kubwa sana wakati namchagua mamsapu wangu,ni muhimu sana kwa dunia ya kileo ambayo inategemea mawazo from both sides,japo wengine wanaiterm kama mojawapo ya vigezo maslahi lakini hilo halina ubishi,education should be on table when thinking of starting a relationship with someone
 
Ok sawa lakini wengine wanasema ah maadam nishdmpenda basi nitamchukua tu alafu nitamuendeleza. Nayo hii v
 
Ok lakini mbona mambo mengi tunayopitia masomoni nahisi kama tunapotaka kuyatumia kwenye maisha halisi ya mahusiano inashindikana. Mfano wanawke wagumu sana ku adopt mambo ambayo yamekaa kishule shule
 
Ok mkuu unaposema kwa sasa-una maana zamani elimu ilikuwa duni kias au
 
Sisemi sana ila mimi kwa upande wangu elimu iliplay role kubwa sana wakati namchagua mamsapu wangu,ni muhimu sana kwa dunia ya kileo ambayo inategemea mawazo from both sides,japo wengine wanaiterm kama mojawapo ya vigezo maslahi lakini hilo halina ubishi,education should be on table when thinking of starting a relationship with someone
I second that, mwambie kijana asikimbilie kuoa mwanamke asiye enda university wakati hu, yani kama hana ki DEGREE asisogee kabisa upande wake.
 
ukweli ni huu hapa,
1.Age diffence
2.Beautiful for you
3.Character , zt gud 4u
4.Dignity
5.EDUCATION=hapa ndiyo muhimu sana hivi ulishawahi kujiuliza siku ukifa watoto nani atawalea? kuna familia nyingi zina shida kwa sababu baba kafa, mama hakuwa na elimu wala kazi yeyote, kwa hiyo ni vema kufanya hivyo, changamoto iliyopo ni kwamba hata kama ukisema naoa mke mwenye elimu ndogo, sawa ukamfungulia miradi, siku ukiondoka ndugu wanamgeuka hadi nyumba anaweza anyang'anywe kabisaaaaaa..........BE CAREFUL, THIS IS LIFE....
"USIJE UKABUGI MEN"...BY SHARO MILLIONEA.
 
ukweli ni huu hapa,
1.Age diffence
2.Beautiful for you
3.Character , zt gud 4u4.Dignity
5.EDUCATION=hapa ndiyo muhimu sana hivi ulishawahi kujiuliza siku ukifa watoto nani atawalea? kuna familia nyingi zina shida kwa sababu baba kafa, mama hakuwa na elimu wala kazi yeyote, kwa hiyo ni vema kufanya hivyo, changamoto iliyopo ni kwamba hata kama ukisema naoa mke mwenye elimu ndogo, sawa ukamfungulia miradi, siku ukiondoka ndugu wanamgeuka hadi nyumba anaweza anyang'anywe kabisaaaaaa..........BE CAREFUL, THIS IS LIFE....
"USIJE UKABUGI MEN"...BY SHARO MILLIONEA.

Mh! Kwani wanawake waliosoma wakiachiwa familia ndo wanaweza kusimamia?!
 
Katika kuchagua mpenzi kama mpenzi wa kudanganyana kusema ukweli sidhani kama kiwango cha elimu kinahusika kivile maana si unapita tu so long as anajua kama UKIMWI upo na maambukizi yake yanapatikaneje is fair enough.BUT kama unatafuta mke wa kuishi nae katika shida na raha until when death will do you apart elimu inahusika sana tena kwa kiwango cha hali ya juu.Kwangu mimi ilihusika sana maana nani kaiona kesho, unaweza ukajifanya manager sehemu eti mimi darasa la saba ananitosha so long as ntamlisha na kumvisha but remember no situation is permanent maana umeneja wako unaweza ukaisha hata leo usiku,so kama mwenzako ana kikazi hata kidogo akakusaidia kukubusti kimaisha otherwise kama ni darasa la saba mtakaa ndani muanze kukodoleana macho sasa ndo hata mapenzi yanakwisha ndani ya wiki

Ina maana kiwango cha elimu kinaendana na kipato cha mtu? Hayo ni mawazo ya kizamani sana. Kama wewe ni mume tambua majukumu yako na jiongeze!
 
Kwangu upendo na heshima kwanza, mengine yote ziada. Kwa elimu inategemea na mchaguzi pia ana level ipi ya elimu
 
Back
Top Bottom