Hv Mi ndiyo sielewagi jmn? Mbona kama fainal ya vlb bingwa ya mabara inachezwa Jpn tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hv Mi ndiyo sielewagi jmn? Mbona kama fainal ya vlb bingwa ya mabara inachezwa Jpn tu

Discussion in 'Sports' started by LiverpoolFC, Dec 18, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tangu nianze kufuatilia kwenye luninga mambo ya michezo Mi naonaga kama hivi vilabu bingwa ya mabara inachezwaga Japan tu? Mwenye kujua anijuze jamani Wanamichezo haswa wa mpira wa miguu wa JF! Ninawasilisha!
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  fifa wanahangaika kupromote soccer japan kwamba japan is a big economy.............. (i guess)

  maybe they should try china or india
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Si wangeporomoti kwingine licha ya kwenda taifa kubwa kama lile maana kuna kipindi kampuni ya Toyota nayo ilihusika sana! Hata FIFA Mi naona hata ufisadi umetanda humo. Heri hata wangepeleka India!
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu mashindano yanadhaminiwa na kampuni ya Toyota ya Japan...
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
 6. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Si Japan tu mzee. 2000- Brazil. 2005/6/7/8- Japan. 2009 na 2010- UAE. 2011 yamefanyika Japan na pia 2012 yatafanyika Japan. 2013 na 2014 yatafanyika Africa katika nchi ya Morocco
   
 7. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,164
  Trophy Points: 280
  Upo sawa Mkuu Lussadam ..

  Mtoa mada yaelekea ni mgeni kwenye mambo ya Soccer sio mbaya kumuweka sawa Manake hata Mimi nilistuka kukuta swali hili Ina maana hata ile fainali waliyocheza TP Mazembe hakujua ilichezewa wapi! na kama angekumbuka Man utd Ilipoenda Brazil na jezi chache babu fergi akagoma wachezaji wake kuchange jezi na timu zingine...
   
Loading...