Hv kwa non priority facult wanaweza kutoa mkopo au ndo hamna kabisa?Msaada plzz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hv kwa non priority facult wanaweza kutoa mkopo au ndo hamna kabisa?Msaada plzz

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tabibumtaratibu, May 22, 2012.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kwa nonpriority kupata mkopo kulingana na maelezo ya form yako?
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  NA MIMI HaPo NTASAIDIKA
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  hakuna cha mkopo hapo wa ada, msosi au malazi labda uwe yatima
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sahau.
   
 5. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  mimi nimefatilia, wanatoa sema kwa kiwango kutegemeana na shule ulizosoma na vigezo vingine kama ulemavu, uyatima na kadhalika
   
 6. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  umefatilia wap mkuu? Na ni uhakika au?
   
 7. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama ulimsoma Isaac Newton mkopo utapata!Kama ni Kinjekitile Ngwale au cash account itabidi ujisomeshe!Najua umenielewa...
   
 8. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  yeah, kama ulisoma private schools hlf unatak kusoma non-priority fuculties, mkopo sahau
   
 9. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,433
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Kaka hapo usiguse kabisa kama unajijua macho kwa bodi ya mkopo.
  Upati tution fee wala boom kaka.
  Ila kwa watoto wa kishua mambo yanaenda.
  Serikali inataka mchague education wooooooote kasoro watoto wao ndio wakasome mambo yetu yaleeeeeeeeeeeeeeee
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  pia inabidi uangalie factor hii mwaka wa kwaza wasasahivi kipindi wana apply mkopo watu walinyimwa na reason ikawa "BUDGET EXHAUSTED" so hizo course zote zilizoekwa non priority zitapewa mkopo endapo course zote za priority zitapata mkopo halafu hela ibaki
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
 12. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkopo ni kwa watoto wa kishua!!!!

  Wooote waliosoma shule za kata ambako hamna maabara na walimu wa sayansi........ Ni kilio tupu!!!!!
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Tatizo la watanzania ni kusikiliza maneno ya kijiweni, badala ya kuwapigia wahusika unakuja kutafuta majibu kwenye forum!!!!!....majibu utakayoyapata humu mostly ni hisia na mawazo binafsi ya watu ambao kwa namna moja au nyingine hwahusiani na HESLB! Nijuavyo mimi, hata ukichagua corses zenye priority haikuhakikishii MKOPO, mkopo unategemea na "means" (?) test, indicators wanazotumia katika hiyo test unaweza kufuatilia HESLB!
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  umenena mkuu but ni www.hlssf.org
  kwa aplicant BOFYA HAPA
   
 15. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Hapa naona wote mnabahatisha 2!
   
 16. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  mavi yako, kwhiyo kama tunabahatisha kilichokufanya uulize nini?
   
 17. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Siku nyingine ukirudia utachapwa MBokO!
   
Loading...