Hv kuna uhusiano gani kati ya hiki na hiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hv kuna uhusiano gani kati ya hiki na hiki?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Madame B, Apr 29, 2012.

 1. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Jamani kuna kitu kinanishangaza hasa kwa wanawake,hebu tuwekane wazi.
  Kuna uhusiano gani kati ya kusugua sufuria au chombo ch bati kwa mchanga na tendo la kubana meno.
  Au kusugua kioo kwa wembe na kuumwa meno.
  Maana utakuta mtu anasugua sufuria kwa mchanga huku pembeni amekaa mtu anasema anaumia meno.
  Me M-Tanga Sielewi ati,nijuzeni.
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukipata jibu lemme know. Mdogo wangu wa kike ana tatizo hilo.yeye hata chaki ubaoni likilia anapata shida.
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wakishakujibu hilo namie niulizie kuna uhusiano gani kwa mtu aliyeshika mkasi akiwa anakata kitu ima iwe nguo, box, capet, ilimradi awe anakata kitu, ni lazima mdomo utakua una'move-move kuendana na bit za mkasi.
  Kuna mahusiano gani kati ya mdomo na mkasi ?
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Yani ndo hapo tu naposhindwaga mimi..!
  Kwanini... Inatokea..?
   
Loading...