hv inakuwaje mschana alye fall in love kusema nakupenda kwa mvulana inakuwa ni ngumu

Tatizo wanaume mnatabia moja kama fisi hamuwezi kuachia nyama hata ya mzoga ipite, hata kama mmeshiba vipi mtataka japo mmuonje kidogo tu. Ukimwabia any guy kuwa unamfeel hata kama hakufeel hata kidogo, atafosi tu ilimradi aonje, nyama si imejileta yenyewe!!!!! Ndo tatizo lenu U CAN NEVER SAY NO FOR A FREE MATCH!!!!! mtu akikutega anapima kama unamfeel au akianzishe.

Maxence Mello kakukubalia?
 
Max kafanyaje??
Hebu nie updates kidogo

Kwa jf Max ni bonge la Superstar kama tu akina Shoziniga, Denzel. R.Kely and the like
Kutokewa na mashabiki ni kitu cha kawaida kabisa maana kuna wengine wako radhi wajikabidhi kwa dakika 5 mradi tu wamemuonja.
So mkewe lazima anajua hilo

Inawezekana hata ID anashare na mkewe, sas ukijidai mPM utumbo, anajibu, kumbe ni mkewe.

Poor Max, l hope mke wake hayumo humu; au kama yumo awe bonge la muelewa. Just imagine huyo dada hatafikiria kuwa Max kamuendea lara 1 PM, bora ingekuwa chitchat!
 
Max kafanyaje??
Hebu nie updates kidogo

Aah, kuna thread moja lara 1 kaanzisha, ameelezea jinsi gani anamzimikia JF founder kiasi kwamba yu tayari hata kuwa mpango wa kando. Na amemuomba amjibu ikibidi kwa PM. Sasa imagine Mrs Max yumo humu, na kama hana access ya inbox ya Max (which l think professionally hatakiwi kuwa nayo) anaweza assume kwamba max kamwendea PM lara 1. Sijui, just thinking; huenda yuko more understanding na ana maconfidence ya kuzidi.

Kwa mtazamo wangu, hizi jokes zingine hazifai hasa towards wale wanaotumia real ID zao. What do you think Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Sure, ni sawa na kumtongoza raisi akiwa anahutubia

Yah, ni kweli ummempenda lakini kufuata protokali napo muhimu.

Ukimfuata chemba na kumweleza inakuwa poa zaidi

Tofauti na kumtongoza Dayamondi Platinamu akiwa jukwaani.

(Hatimaye nimeuona huo uzi)

duuu me mwenyewe nilikuwa sija huona lakini haya mambo bhanaaaaa.
I wish mke wake n muelewa sana.
Ilaaaaaaaaaaaa
 
Sure, ni sawa na kumtongoza raisi akiwa anahutubia

Yah, ni kweli ummempenda lakini kufuata protokali napo muhimu.

Ukimfuata chemba na kumweleza inakuwa poa zaidi

Tofauti na kumtongoza Dayamondi Platinamu akiwa jukwaani.

(Hatimaye nimeuona huo uzi)

Umeona eeh, poor Max hakuwa na jinsi zaidi ya kuLIKE tu (just to be nice, l think). Yer ni bora angemuendea PM, aisee l wouldn't be a wife of a celeb for anything in the world.
 
USIUSEMEE MOYO WA MTU!!!!! You nver know until you know!
 
Aah, kuna thread moja lara 1 kaanzisha, ameelezea jinsi gani anamzimikia JF founder kiasi kwamba yu tayari hata kuwa mpango wa kando. Na amemuomba amjibu ikibidi kwa PM. Sasa imagine Mrs Max yumo humu, na kama hana access ya inbox ya Max (which l think professionally hatakiwi kuwa nayo) anaweza assume kwamba max kamwendea PM lara 1. Sijui, just thinking; huenda yuko more understanding na ana maconfidence ya kuzidi.

Kwa mtazamo wangu, hizi jokes zingine hazifai hasa towards wale wanaotumia real ID zao. What do you think Kongosho?

Jamani usichukulie seroius kihivo! Mkewe lazima anajiamini bana, na anajua mimi najoke japo ndio ya siyo inaweza kuwa siyo ila ndio kiundani. Get real kama namtaka kweli MM ningebandika MABANGO humu? Ile ilikuwa changamsha genge kabla haijageuka chaos! After all hamna jimbo linalokosa wagombea wenza na wanaotangaza nia! Mi nilitangaza nia, sijaanza kugombea.
 
Hapo red hata mie sipataki lol
Sina kifua aisee, kila siku atarudi nimemnunia maana kununa hadharani siwezi

Umeona eeh, poor Max hakuwa na jinsi zaidi ya kuLIKE tu (just to be nice, l think). Yer ni bora angemuendea PM, aisee l wouldn't be a wife of a celeb for anything in the world.
 
Ni ukweli, its not serious maana ingekuwa serious hata nmaba ya simu waweza ipata tu

Ni kama celeb yeyote yule haya huwapata kwa fans wao
So Relax, hizi ni porojo tu

Jamani usichukulie seroius kihivo! Mkewe lazima anajiamini bana, na anajua mimi najoke japo ndio ya siyo inaweza kuwa siyo ila ndio kiundani. Get real kama namtaka kweli MM ningebandika MABANGO humu? Ile ilikuwa changamsha genge kabla haijageuka chaos! After all hamna jimbo linalokosa wagombea wenza na wanaotangaza nia! Mi nilitangaza nia, sijaanza kugombea.
 
Jamani usichukulie seroius kihivo! Mkewe lazima anajiamini bana, na anajua mimi najoke japo ndio ya siyo inaweza kuwa siyo ila ndio kiundani. Get real kama namtaka kweli MM ningebandika MABANGO humu? Ile ilikuwa changamsha genge kabla haijageuka chaos! After all hamna jimbo linalokosa wagombea wenza na wanaotangaza nia! Mi nilitangaza nia, sijaanza kugombea.

Of course i know it is a joke, na ndio maana nikasema some jokes zinafaa kwa watu wanaotumia fake ID kuliko real ones. I also hope mkewe yuko na confidence, l am sure after reading this post hata kama alikuwa na kawasi wasi kwa mbaaali atakuwa na ahueni sasa hivi.
 
Umeona eeh, poor Max hakuwa na jinsi zaidi ya kuLIKE tu (just to be nice, l think). Yer ni bora angemuendea PM, aisee l wouldn't be a wife of a celeb for anything in the world.

What if he become celeb within the existence of marriage will you divorced my dear?
 
Ni mke wa Sarkozy ndiye aliyemdivorce mumewe alivyoupata uraisi eeh? So it has happened before; anyway inategemea uceleb uko upande gani na tabia ya mwanaume ilivyo. So kwa muda siwezi sema for sure kuwa nitamuacha au vipi, probably not.
 
Sababu haikuwa umaarufu bali ukahaba wa Mr,ni vitu 2 tofauti ingawa ni nadra kukuta vinatengana
 
Back
Top Bottom