hv haya matatzo ya kusomeachn ya mt yatakwsha ln? Serikali ipo huko kwetu Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hv haya matatzo ya kusomeachn ya mt yatakwsha ln? Serikali ipo huko kwetu Tanzania?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Feb 19, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mahembe Primary School head teacher in Kigoma Rural District Yahya Kassim teaches Standard IV pupils under a palm tree as captured by own correxpondent yesterday. (Photo: Correspondent Jockton Ngelly)
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,027
  Trophy Points: 280
  Mh.............Huwa yanakwisha msimu wa mvua tu..........
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pia yatakwisha kama wananchi tukiamua kuchukua uamuzi thabiti wa kuchagua viongozi ambao watatutumikia na siyo wale walioko kimslahi
   
 4. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 640
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Yataisha ikiwa tu kila mwananchi atatimiza wajibu kwa kujiandikisha kuwa mpiga kura ikiwa ni kuanzia ngazi ya vijiji hadi Taifa na kuchagua viongozi walio nao maono ya maendeleo ikiwa ni kuwashirikisha wananchi kuchangia maendeleo yao kwa kulipa kodi na viongozi kusimamia.
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Siku CCM tukiitoa madarakani ndiyo watoto wa watanzania wata-acha kusomea chini ya sakafu au chini ya miti!
   
 6. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndio maana vyama vya upinzani vina nguvu kwa sasa kigoma.
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kigoma kuna joto kwelikweli, inafika kipindi ndani hapakaliki inabidi wote mtoke nje mpate kaupepo kama alivyofanya mwalimu na wanafunzi wake. Serikali itabidi ifikirie mpango wa kufunga AC mashuleni maana hizi feni za sasa haziondoi tatizo la joto kabisa kabisa
   
Loading...