Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,881
- 38,508
Ukiangalia uwelekeo wa macho ya wenzie na yake tofauti. Naona anawaza ticha amalize upesi akanyonge cha arusha
Huyo anawaza bangi tu hapo.
Yondani ndo yupi apo?
Huyu kijana si ndio huwa anatemea wachezaji mate au nimemchanganya?Kelvin siyo mtu wa maneno mengi na ana nidhamu sana huyo jamaa.
Ile ni denda siyo mate.Huyu kijana si ndio huwa anatemea wachezaji mate au nimemchanganya?
Denda???hiyo denda inaruhusiwa katika mpira wa miguu??Ile ni denda siyo mate.
Ile ni denda siyo mate.