Huyu Xavi anatuaibisha sie walaji wa biriani

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Ladha ya biriani ni kuifinyanga
f68f7821e5c6667602a8bf849845e1f9.jpg
 
Xavi ndio nani?
Mtu anapost anachoelewa yeye na ku assume kuwa wote wanaelewa.

Anyway..Xavi ni huyo wa kwanza kulia mwenye kijiko....ni mwanasoka mkongwe, alichezea Barca wakati fulani.

Nadhani mleta uzi ana mnanga kwa kutotumia mkono kula kama wenzake hapo...Msela amepitwa na semi za Wahenga "when you are in Rome do as the Romans do"
 
Xavi ndio nani?
Alikuwa kiungo mchezeshaji namba 6 wa timu ya barcelona na ndiye aliyeifanya club ya barcelona akishirikiana na wenzake uwanjan iogopeke zaidi duniani kipindi anaitumikia barcelona ni wa kwanza kwenye picha toka kushoto ameshika kijiko
 
Xavi Hernandes nampenda sana huyu jamaa maana ana mwili mdogo ili ana akili kubwa sana ya mpira walimpima brain yake wakasema inaweza kufikiri na kubadilisha maamuzi in a nanosecond ambayo ni chini ya sekunde moja mpira ukiwa unamwijia kwake.

Macho yake yamekaa kama ya chameleon kwa hiyo inaweza kuview uwanja mzima kwa haraka na kufanya maamuzi ya mazuri na ya haraka.

Ni mchezaji kuwa na statistic ya kuwa na 100% pass accuracy ukiwa uwanjani ina maana kila Pasi aliyopiga imefika kwa MTU husika. Na pia ndie mchezaji aliepiga Pasi nyingi zaidi dunaini.

Na pia ndie mchezaji alietaka kumuua sir Alex Ferguson katika michuani ya uefa baada ya kupiga Pasi na kuvuriga dimba na kumpelekea kibabu fergie kutetemeka kama Nokia mbovu.

Na pia yeye na mkali iniesta ndio best duo midfielders to ever walked on to this earth.

N.k
 
Kwani shida nini, yeye anakula kikristo wenzake wanakula kisilamu na biriani ni chakula chetu sisi wasilamu.
 
Back
Top Bottom