Huyu Wizz Kid 'The Star Boy' Naye Sasa Kazidi...Aah!!?

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,305
2,559
Wakati sisi mashabiki wa Almasi tukisumbua kwenye mitandao ya kijamii tukiamini tumeitawala Afrika kufuatia colabo ya msanii wetu kipenzi na Neyo, msanii ambaye kwa sasa ni 'zilipendwa' kule nchini Marekani kule Nigeria msanii Wizz Kid amezidi kutunyima pumzi na kutukatisha tamaa,mara ya kwanza tulisikia eti ameshirikishwa na Chris Brown katika wimbo wake mmoja hivi ambao unasumbua sana katika billboards charts, mara tukasikia eti Wiz Kid yupo na Chris Brown katika ziara ya pamoja ya kimuziki kule Ulaya wakifanya show pamoja jukwaani.

Hata akili zetu hazijatulia kufuatia msanii wetu kipenzi Almasi kuikosa tuzo ya muziki ya B.E.T mara safari hii tunasikia eti Wizz Kid 'The Star Boy' ametoa singo mpya iitwayo 'SHABBA' akiwashirikisha akina Chris Brown,Trey Songz na French Montana wakati msanii wetu na sisi mashabiki wake tumekuwa tukisumbua juu ya singo mpya iliyowashirikisha P-Square ambao ni wasanii wengine 'zilipendwa' kwa kule nchini Nigeria.

Aah kwa kweli nimekata tamaa kabisa kama kweli sisi Team Almasi tunaitawala Afrika, kweli tuna safari ndefu sana kuitwa wafalme wa Afrika.
 
Kila mtu anakula urefu wa kamba yake, kwa sasa Diamond alipofika panamtosha ukiangalia muda wake katika game na pia ata nchi anayotoka tu, taratibu tu ndio mwendo akimaliza washirikisha kina p-square nazan kutakuwa hakuna tena msanii mwingine africa atakaemshobokea then nayy anaruka ukuta hadi majuu
 
2429a370f867d282b66749342d3ac34d.jpg
 
We unafaidika nini kwa mfano?? Diamond ana njia zake kama wewe ulivyo na njia zako za kufanikiwa,huwezi kuanza kujifananisha na mtu yoyote,au etu mtu akuponde na kukudharau kisa tu hauna gari kama ya jirani yako,any way najua ni chuki tu na unafki vinakutesa,fanya yako wasije watu nawe wakaanza kukufananisha baadaye ukishafeli
 
Wakati sisi mashabiki wa Almasi tukisumbua kwenye mitandao ya kijamii tukiamini tumeitawala Afrika kufuatia colabo ya msanii wetu kipenzi na Neyo, msanii ambaye kwa sasa ni 'zilipendwa' kule nchini Marekani kule Nigeria msanii Wizz Kid amezidi kutunyima pumzi na kutukatisha tamaa,mara ya kwanza tulisikia eti ameshirikishwa na Chris Brown katika wimbo wake mmoja hivi ambao unasumbua sana katika billboards charts, mara tukasikia eti Wiz Kid yupo na Chris Brown katika ziara ya pamoja ya kimuziki kule Ulaya wakifanya show pamoja jukwaani. Hata akili zetu hazijatulia kufuatia msanii wetu kipenzi Almasi kuikosa tuzo ya muziki ya B.E.T mara safari hii tunasikia eti Wizz Kid 'The Star Boy' ametoa singo mpya iitwayo 'SHABBA' akiwashirikisha akina Chris Brown,Trey Songz na French Montana wakati msanii wetu na sisi mashabiki wake tumekuwa tukisumbua juu ya singo mpya iliyowashirikisha P-Square ambao ni wasanii wengine 'zilipendwa' kwa kule nchini Nigeria. Aah kwa kweli nimekata tamaa kabisa kama kweli sisi Team Almasi tunaitawala Afrika, kweli tuna safari ndefu sana kuitwa wafalme wa Afrika.
neno hili asiesikia shuri yake.....na timu zao sijui timu punda sijui timu kenge mjamzitooo aaaah
 
humu mbona zimejaa wiz wiz wiz
hivi anawalipa
kwani yeye akiimba na chriss kuna uajabu gani zaidi ya tunataka ngoma kali sio kama davido & meek mill
kinachomata uzuri wa ngoma sio wasanii nani wala nani...
hata hio one dance wiz cjamsikia kabisa ..
diamond ni diamond wiz ni wiz
 
Ingia YouTube uutafute wimbo 'SHABBA' by Wizz Kid utapata jibu la swali lako.
humu mbona zimejaa wiz wiz wiz
hivi anawalipa
kwani yeye akiimba na chriss kuna uajabu gani zaidi ya tunataka ngoma kali sio kama davido & meek mill
kinachomata uzuri wa ngoma sio wasanii nani wala nani...
hata hio one dance wiz cjamsikia kabisa ..
diamond ni diamond wiz ni wiz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom