Huyu waziri ndiye mbunge niliye mchagua, NAJUTAAAAAAA

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
SIKILIZA JIBU LA NAIBU WAZIRI:
Fedha hizi anazoulizia mh. Mbunge zilitoka kwenye kasma maalum na zimetumika kwenye different deveopment projects ambazo monitaring yake imefanywa kwenye hiyo miradi isipokuwa CAG asingeweza kuifutilia kasma hii because zoezi lake la ukaguzi linakuja baadaye when the funds zinakuwa zimekuwa utilized!
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,902
Likes
10,122
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,902 10,122 280
dah..pole mbunge wangu Mnyika
 
P

Pagija

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Messages
380
Likes
0
Points
0
Age
38
P

Pagija

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2013
380 0 0
SIKILIZA JIBU LA NAIBU WAZIRI:
Fedha hizi anazoulizia mh. Mbunge zilitoka kwenye kasma maalum na zimetumika kwenye different deveopment projects ambazo monitaring yake imefanywa kwenye hiyo miradi isipokuwa CAG asingeweza kuifutilia kasma hii because zoezi lake la ukaguzi linakuja baadaye when the funds zinakuwa zimekuwa utilized!
Bujibuji CAG kazi yake sio kushinda kwenye ofisi za miradi jukumu lake kubwa ni kukagua kama pesa za mradi zimetumika kwa mujibu wa madhumuni na sheria....ndio maana tunalilia wabunge wawe na elimu ili kuwa na kiwango sawa cha uelewa,kwa upande wako na wananchi wasioelewa hupata shida kuelewa inapotokea mbunge mlaghai kutumia kutojuwa kwenu anawaamasisha kuandamana na nyie bila kujua mnamwona shujaa.....pia nakushauri siku nyingine sababu wewe unaanzisha mada bila vielelezo sio vema mdogo wangu.
 
Forum statistics

Threads 1,252,211
Members 482,048
Posts 29,800,630