Huyu Waziri Kamwelwe ana matatizo gani?

Jee wasomi wetu wanapokuwa vyuoni hufundishwa nini kuhusu mahusiano ya Kimataifa? Ukiachilia mbali mambo ya Kamwele, kwa mfano leo hii mtu aende kwa Museveni kupanga mipango ya kumwekea Kagame vikwazo! Mfumo wetu wa kujifunza unatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa sana!!
 
Kwa elimu yetu tegemea wanafundishwa ujinga tu.
 
Back
Top Bottom