Huyu Tshishimbi leo anacheza hovyo kabsa

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,799
Namshuhudia Tshishimbi akicheza kiwango cha ajabu kabsa. Kipindi kizima cha kwanza hajapiga complete pass 10.

Pasi zote anawapa Prison au anapiga nje. Hili ni tatizo ambalo linazidi kukomaa na sjui mazoezini kocha huwa anamuambia nini.

Kawafanya Prison wamiliki eneo lote la katikati na kuishambulia Yanga mara nyingi zaidi. Aspobadilika ataighalimu timu leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha mbovu huyu anaacha wachezaji wazuri nje alafu anategemea kushinda kibip
 
Mtalamlaumu kocha wenu bure lakini ukweli utabaki pale pale kuwa Yanga ina wachezaji wengi sana wasio na viwango. Hao wachezaji unaosema kuwa ni wazuri embu wataje ni wakina nani hao wazuri? Je umefatilia rekodi yao kwamba kwanini hawacheza (uchovu, kuwa na kadi mbili za njao au kuwa na majeruhi umefatilia?)

Kikawaida katika timu kila namba inatakiwa kuwa na backup lakini cha ajabu kwenye Yanga mchezaji anayepata goli moja katika nafasi sita za wazi (Molinga) ndio anaoneka angalau angalau kuliko Yipke ambaye ndio anaonekana mzigo zaidi. Yaani mwenye namba ni mzigo na anayeingia kwenye Sub ni mzigo vile vile.

Tshishimbi hanaga mwendelezo mzuri wa kila mechi, kuna mechi anatulia na kuna mechi utamkataa kama ndiye yeye. Na akikata moto kipindi cha pili ndio kabisa na mbaya zaidi yeye ndiye injini ya Yanga kwasasa pale pale katikati.

Yanga ina magalasa wengi mno ndio wanaoshindwa kuibeba timu, kocha kazi yake ni kufundisha timu, kupanga timu, kupanga mbinu za kiufundi katika mechi husika. Mchezaji anaposhindwa kutumia nafasi anazopata kupachika goli ni swala la ubovu wa mchezaji mwenyewe. Huyu yipke yanga wamepigwa mchana kweupe yaani ni mzigo mara mia ya molinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi Zahera aliporudi bongo akawa anahojiwa alisema tatizo la Yanga haina wachezaji wenye viwango,hata enzi zake walikuwa wananunua wachezaji kutokana na hela waliyonayo si viwango

Umeongea kimpira zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom