Huyu Tajiri wenu ni mshamba na mswahili

Randy orton

JF-Expert Member
Apr 29, 2019
1,338
3,541
Yaani Manara kasifiwa na Chama Insta Live , Tajiri wenu amekasirika kabisa.

Ni hakika yale aliyosema Haji tumeanza kuona ukweli wake.

Huyu mtu ni mshamba sana, tajiri gani ana tabia za kimaskini !.
mfunguacode__20210806_204136_1.jpg
jumalokole.2_20210806_203921_0.jpg
 
MO anahaki ya kuongea anachopenda.
MO yupo kawaida tu kwani hajioni kuwa ni Tajiri, wala hajifichi kama Matajiri wengine.
Kumbuka kazaliwa Singida na ni mswahili kama waswahili
wengine.
 
Back
Top Bottom