Elections 2015 Huyu siyo Edward Lowassa ninayemfahamu kabla ya kujiuzulu 2008!

Wanamshangaa kikongwe aliyehama chama, mtu mzima tena mzee anahama mji wake ..si siri Lowassa atakuwa ana matatizo makuuuubwa sana sijapata kuona ..

Mijinga inajazana ujinga. Jiandaeni kukimbia nchi wapuuzi nyie. Ccm kwisha habari yake
 
Nadhani pia ni kuwa na haki na ukweli. Inaweza kuwa ni umri au udhaifu fulani wa kimwili. Ndio maana nawashangaia wanaosema ati Lowassa hajui kuzungumza; Lowassa alikuwa ni mzungumzaji mzuri sana na anasisimua ukimsikiliza. Sasa hivi bila ya shaka siyo sawa na 2008. Lakini la maana ni kuweza kusikiliza anasema nini hasa kuliko jinsi gani anakisema anachosema. Kama tunataka watu wanaoweza kupigisha stori bila kujali wanasema nini tunaweza kupata tatizo.
Mkuu,
Lowassa wa sasa hata anachokisema bila kusoma kinakuwa na upungufu wa mtiririko wa mantiki.

Lowassa wa sasa hata kusoma anapata shida!
 
Mkuu,
Lowassa wa sasa hata anachokisema bila kusoma kinakuwa na upungufu wa mtiririko wa mantiki.

Lowassa wa sasa hata kusoma anapata shida!

Mbona huelewi! Tunahitaji kujua anasema nini na si kujua anasemaje! Hao wanaoweza kutembea na kuongea si ndiyo wenye kuzunguka tu kila leo nje, au wamefanyia nini nchi!?
 
Mbona huelewi! Tunahitaji kujua anasema nini na si kujua anasemaje! Hao wanaoweza kutembea na kuongea si ndiyo wenye kuzunguka tu kila leo nje, au wamefanyia nini nchi!?
Mkuu,
Utafahamu anasema nini bila huyo msemaji kuwa na kisemeo imara!

Kujua anasema nini ni moja ya matokeo ya kuongea kwa ufasaha.

Msingi wa hoja yangu sio comparisons ya viongozi wanaoweza kuongea/kutembea na wale ambao hawawezi kama unavyotaka kuanza kujenga hoja ya nguvu.
 
Cha kushangaza upinzani hadi leo hawajaanza michakato ya kumpata mgombea wao...
Sijuhi wanasubiria minyukano ndani ya ccm au vipi...?
Tulishaona mara kadhaa madhara ya minyukano ndani ya ccm...!
Na vile vile tulishaona madhara ya wapinzani kuchelewesha mikakati yao...!
Wananchi wanahitaji mabidiliko...!
Wasipo pewa fursa mbadala na watu makini wataendelea kuchagua ovyo ovyo...!
 
Back
Top Bottom