Huyu sio Usama Bin Laden | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu sio Usama Bin Laden

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mandago, May 8, 2011.

 1. M

  Mandago JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 238
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Haya huu uongo mwingine wa magharibi, huyu jamaa kwenye video sio Usama Bin Laden kabisa, eti USA wanasema video hii ya Bin Laden waliichukuwa wabla ya kumuua katika nyumba hiyo,​

  Jamani shuhudieni hii video ya Bin laden kweli ?​

  hii Video Sio ya Bin Laden 100% (sio sura yake hiyo)​

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Umeiangalia hiyo video vizuri? Kwa nini unasema sio yeye?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu, Osama bin Laden is Dead. Everybody knows that before I even typed the first sentence.

  Whether you're a conspiracy theorist, a skeptic or not what have you, its clear that he was shot and killed by an elite group of soldiers called DEVGRU or better known as "Seal Team Six." Nobody can dispute that and I believe they did Operation Geronimo successfully.

  However, the bad part with this story is simple, after nearly 10 years of hunting, why justice has been served only now? Furthermore, why the hesitation of showing the evidence/photos of his death? The guy's dead for crying out loud!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Tuoneshe hiyo yako unayoamini kuwa niya osama halisi in two days other wise take away your CRAP&********yako
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Huyu Osama alijuaje kuwa wakati huo iko program ya yeye kuonekana kwenye runinga,tv wakati huo?

  Halafu atafute mpambe wake amchukue video akijiangalia.
  Mtu aliyepanga 911 hawezi kuwa na akili kama ambayo US wanajaribu kuichora hapa.

  Hii ni katika US kutaka kuushawishi ulimwengu kuwa Osama ndio alipanga ile 911 baada ya kuwa challenged kivipi Osama anaweza kupanga mpango wa 911 bila ya kuishirikiana na CIA, Neo cons?

  Why we buy cheap US manipulation?

  Uniambie kuna siku tutamuona mkulu akijiangalia katika tv akitoa maagizo ya uchakachuaji wa "kula"?
  Come on guys!
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wa tz bwana mbona mmekubali uongo wa ccm na kifo cha Bilali :A S-baby::A S-baby::A S-baby:
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Zipo mtu zimekubali kilaini lakini wengi pia wanaona wamepigwa changa la macho tu.
  Lakini watu wengi wanaamini US hawasemi uongo,wala hawafanyi maigizo.
  Tumesahau Collin Powel UN na maps zake na drawings zake?
  Na media ya West ilivyopiga mziki wa vita,silaha za maangamizi, Sadam dictator, muuaji?

  Sasa mchezo wanauhamishia Afrika.
  Walianza Somalia, Sudan,halafu bombings za Ubalozi Kenya ,Tanzania na sasa Libya.
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Changa la macho hilo
   
 11. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Huyo kwenye video si Bin Laden 100% (Wamerekani wemezidi uongo).

  Kila mwezi wanatuletea video ya hollywood mpya.
   
 12. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  hii naona ni kutoka TOLLYWOOD
   
 13. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  [FONT=times new roman,new york,times,serif][FONT=times new roman,new york,times,serif][FONT=times new roman,new york,times,serif]
  [/FONT][/FONT]
  [/FONT]
  [​IMG]
  [FONT=times new roman,new york,times,serif][FONT=times new roman,new york,times,serif][FONT=times new roman,new york,times,serif]
  Obama Matatani,

  Waandishi Wetu na Vyanzo vya Kimataifa

  Mtandao wa Al-Qaeda unajiweka tayari kutoa mkanda wa video unaoonesha mazishi ya kiongozi wake, Osama bin Laden kuthibitisha kwamba alikufa miaka iliyopita na kuzikwa kwa sheria ya Dini ya Kiislamu.

  Mtoto wa Osama, Hamza bin Laden ndiye anayetajwa kuwa na mamlaka ya kuusambaza mkanda huo ambao bila shaka utamuweka matatani Rais wa Marekani, Barack Obama na nia yake ya kurudi Ikulu (White House) mwakani.

  Hamza ambaye anaongoza moja ya makundi yaliyo chini ya mtandao wa Al-Qaeda, anadaiwa kuwa tayari kuutoa mkanda huo lakini anangoja kauli ya kiongozi mkuu, Ayman El-Zawahiri.

  Chanzo hicho kiliongeza kuwa, dhamira ya Obama kutangaza kuwa wanajeshi wake wamemuua Osama ililenga kujitafutia umaarufu na turufu ya kushinda urais mwakani.

  Tovuti moja inayoripoti habari nyingi za Afghanistan na Pakistani iliandika Alhamisi iliyopita kuwa, Obama yupo kwenye maandalizi ya uchaguzi na kuongeza kwamba umaarufu wake utaisha baada ya kutolewa kwa video hiyo ya mazishi ya Osama.

  Chanzo hicho kilisema: "Osama alikufa baada ya kukosa tiba ya pafu lililoharibika, alikufa na kuzikwa mwaka 2006. Tunashangaa leo wanasema wamemuua, huo ni mzaha."

  Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistani, Benazir Bhutto alieleza mwaka 2007 kuwa Osama aliuawa na mtu aliyemtaja kwa jina la Ahmed Omar Saeed Sheikh.

  Bhutto hakutaja sababu ya Ahmed kumuua Osama, isipokuwa alidai kuwa muuaji huyo ndiye aliyesuka mpango wa kumteka mwandishi wa habari wa Marekani, Daniel Pearl.

  Taarifa hiyo kwamba Osama alikufa siku nyingi zilizopita, inaoana na ile iliyotoka mwishoni mwa mwaka 2001 na kuripotiwa na magazeti ya Pakistani Obsever la Pakistani na Fox News la Marekani.

  Desemba 2001, magazeti hayo yaliandika habari iliyomkariri ofisa mmoja wa kikundi cha Taliban ambaye hakutajwa jina aliyesema kuwa Marekani walikuwa wakihangaika kumtafuta mtu aliyekufa.

  Ofisa huyo wa Taliban (kundi rafiki na Al-Qaeda) alisema kuwa yeye alihudhuria mazishi ya Osama.
  Alisema: "Osama alikufa na kuzikwa Tora Bora (Afghanistan). Kaburi lake halikuachwa alama yoyote, hiyo ni kutokana na misingi ya dini yake ya Kiislamu, madhehebu ya Wahhabi."

  Aliongeza: "Osama alizikwa Desemba 13. Hakuuawa, alikufa kwa mipango ya Mungu, alikosa matibabu ya pafu lake lililoharibika. Mazishi yake yalihudhuriwa na wapiganaji 30 wa Al-Qaeda, watu wa karibu katika familia yake na marafiki wa Taliban."

  Kwa upande mwingine, mkanganyiko wa taarifa za serikali ya Marekani zinazoeleza jinsi walivyomuua Osama ni hoja nyingine inayomuweka Obama matatani.

  Hata hivyo, mtu anayedaiwa ni mtoto wa Osama alisema kuwa, hakukuwa na majibizano ya risasi na kwamba baba yake alikutwa hana silaha kabla ya kuuawa.

  Aidha, michoro ilitolewa kuonesha namna Osama alivyouawa ilionesha jinsi nyumba ya Osama ilivyolindwa kwa ulinzi mkali na kwamba moja ya helikopta za Marekani ilitunguliwa.

  Michoro hiyo, pia ilionesha kwamba kuna makombora yaliyoshushwa na helikopta za kivita za Marekani kuipiga nyumba hiyo.
  Kwa upande mwingine, Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Jay Carney alisema kuwa, hakukuwa na majibizano ya risasi na wala Osama hakuwa na silaha.

  Kujikanganya kwa taarifa hiyo, kumezidisha wasiwasi kama kweli Marekani wamemuua Osama na kuongeza kwamba, hata huyo anayedaiwa ni mtoto wake amepangwa ili kunogesha mpango wao.

  Source,

  http://www.globalpublishers.info/profiles/blog/show?id=5398006%3ABlogPost%3A538033&commentId=5398006%3AComment%3A540238&xg_source=activity
  [/FONT][/FONT]
  [/FONT]
   
Loading...