Huyu shoga aliyeolewa na mzungu ni Mtanzania kweli au?

Ulaya ijiandae kutawaliwa Na Waafrika ,waasia Na wa America kusini kwa kuwa ulaya miaka ijayo hawatakuwa na uzazi wakifa waliopo basi sababu hao waliopo kazi ni kusagana ,kushogana Na kuoana ndoa za jinsia moja zisizozalisha watoto
Ni kweli, maana mijitu kama hii haitaweza kumuongoza mtu, na hata kufanya kazi haiwawezi, labda kazi ya kuchapa nyaraka, kwa computer tu, inaendana vidole vyao.View attachment Mashoga_jijini_Mombasa_wagoma_kuachana_na_tabia_hiyo,_wakiuka_agizo_la_waziri.mp4
 
Faraga wakati wamefanya Usengerenyuma, hadharani.

Hebu toa ushahidi hapa wapi mashoga waliwahi 'kushogoana' HADHARANI??

Au unaanza kuchanganyikiwa mwenzetu?
na kama inakuuma wao kuoana au kushikana mikono wakitembea pole kama vipi hamia porini tu maana wengi wameamua kutoka kifungoni.
 
Nyie ndiyo mtahama, si mmeaza kuomba Poo, kuomba mpewe haki.

Sasa hiyo haki mtapewa na Serikali mtu binafsi hatutawapa haki hiyo, nikikutana shoga mtaani fyekelea mbali.
 
Sisi wa masaki tucomment wapi?uwiiiiiiiii wazungu hoyeeeeeeeeeeeeeee madollari matamu nyiee khaaaaaaaa usd 1800 kibongo bongo ni sawa na sh ngap vileeee???
Huyu Ray bayb kama simuelewi elewi. Hivi “ke“ au “me“ sorry
 
Nyie ndiyo mtahama, si mmeaza kuomba Poo, kuomba mpewe haki.

Sasa hiyo haki mtapewa na Serikali mtu binafsi hatutawapa haki hiyo, nikikutana shoga mtaani fyekelea mbali.
WEWEEEEEEEEEHH.... MBONA HAO MASHOGA WAPO KILA SIKU MITAANI HATUJAONA "UKIWAFYEKELEA MBALI" ?... HEBU JARIBU TUONE !
 
Madam, sidhani kama wazungu wanalazimisha ushoga, isipokuwa kila mara wanasisitiza mashoga wasinyanyaswe au kusumbuliwa wakiamini kuwa kila binadamu ni huru na mwenye mamlaka juu ya mwili wake.

Kama vile walivyokuwa wanasisitizi watoto wa kike wapewe elimu bila kujali wana mimba au lah. Sidhani kama wazungu wanafaidika kwa vyovyote na mimba za watoto wa kitanzania.
Nimekusoma dear....an intelligible explanation
 
Back
Top Bottom