Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Babaaaaa swalii languu kuuuu kwa Dada rose

Hivi anawezakwenda MTU akapeleka docs amenunua GARI kwamtu BILA.kuwasiliana nae ama.KUMWONA
Pili tra imejiandaae kuhakikisha WANANCHI wakosalama na MAGARI YAO kama MTU anaweza peleka docs za tra fake na WALA accept
Tunakazi kubwaa sana mbelee
Wachaa hilijamboo liwashe moto tupate somo
Mazoea ya kazi ni mabaya sana haswa unapokuwa ofisi ambayo iko bize maana unaamini doc ikiletwa mezani na wasaidizi wako inakuwa clean, nimeshashuhudia mambo ya kuchomekeana doc makazini, hafu ujue kuna mlolongo wa usumbufu kwenye transfer haswa Magari, hiyo imepelekea vijana ambao wanajulikana huko TRA kushirikiana na watumishi na kufanya mambo shortcuts. Mifumo ya serikali inasababisha ishu kama hizo zitokee
 
KAKAAA UKO TRA UMEJUAJE KAWATAJA WANAITWA VISHOKA NDIOO WALIOSHIRIKIANA NA HUYO DADA
NA WANAJULIKANA
1-..MARANDU
2..TADEUS MOSHA
NA ANA USHAHIDI N MAKONKI WA HIO OFISI AISEE KAZI TUNAYOO SANA
 
Mazoea ya kazi ni mabaya sana haswa unapokuwa ofisi ambayo iko bize maana unaamini doc ikiletwa mezani na wasaidizi wako inakuwa clean, nimeshashuhudia mambo ya kuchomekeana doc makazini, hafu ujue kuna mlolongo wa usumbufu kwenye transfer haswa Magari, hiyo imepelekea vijana ambao wanajulikana huko TRA kushirikiana na watumishi na kufanya mambo shortcuts. Mifumo ya serikali inasababisha ishu kama hizo zitokee
JK alichomekewa ambulance
 
Ukienda na tatizo lolote police ni opportunity kwao kula hela yako. Hawana ubinadamu kabisa.

Police nenda kama kufuata utaribu Tu lakini mtu wako malizana naye nje(kistaarabu au kimafia)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaaaaaaasaa mkuu
Mm binafsi wala nisingeumiza.KICHWA HILO dianabaa LA tra NTAZUNGUKA NABEBA evidence kote na majibu YAO namtafuta kamishna mkuu /waziri HUSIKA NATOKA.NAENDA central namuanzishia kesi LA Nida I'd ..aisee atazaa.mapacha nakote nakamata details na wanachonijibu
SIKU UKIONA Amnaa MWELEKEO unaziacha datazote kwa vyombo vyahabari NAKWAMBIA watakutafta

NATOKA nasikilizia MH RAISI yukoo mkoa gani kwa wanannchi najipanga namwaga kilakitu weee
 
Hili la afande Rehema, tayari yuko chini ya uchunguzi, mwambie jamaa yako atoe ushirikiano akiitwa Osterbay
Kabisaaaaaaaasaa mkuu
Mm binafsi wala nisingeumiza.KICHWA HILO dianabaa LA tra NTAZUNGUKA NABEBA evidence kote na majibu YAO namtafuta kamishna mkuu /waziri HUSIKA NATOKA.NAENDA central namuanzishia kesi LA Nida I'd ..aisee atazaa.mapacha nakote nakamata details na wanachonijibu
SIKU UKIONA Amnaa MWELEKEO unaziacha datazote kwa vyombo vyahabari NAKWAMBIA watakutafta

NATOKA nasikilizia MH RAISI yukoo mkoa gani kwa wanannchi najipanga namwaga kilakitu weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii vid inayoendelea kusambaa mitandaoni ni aibu kwa taifa letu

Tunaomba mh kamishna mkuu tra/waziri simba chawene muingilie kati

Kijana akwiline marandu ametapeliwa lori lake ..mhalifu huyo amendda pale kinondoni akaonyesha kadi feki ya gari kadi feki ya nida

Ajabu huyu dada ndie anasemwa kushiriki tukio hili la uhamisho.....

Baada ya kushtuka akaenda pale kinondoni akatoa kadi halisi ya gari na na id yake origin ya nida

Kadi iliopo tra kinondon inasoma amepta kadi ya nida may mwakajana wakati origin amepta kadi nov..

Pamoja nanhaya yote manager wa tra alikiri wameingizwa chaka na akamwomba huyu bw marandu aende watampigia na wataifanyia kazi kwa ku cancel docs zote
Ajabu huyu.mwizi amelipia mpaka tra transfer aisee

Hili jambo alikufanyika.mpaka sasa.mh waziri simba chawene hii n uhalifu tunaomba msaada wapolisi kusimamia hili jambo

Inavyoonekana anasema.ameshafungua kesi osterbayamepewa askari anaitwa rehema wakataka 150'000 wakamkamate mhalifu badae akasema atawapa
Wakampigia keshoyake wamegoma wanataka laki nne 400'000 polisi husika

Dah hii inaumiza sana huku umepigwa bado unatakiwa kutoa hela zote hizi

Mh kamishna mkuu wakati muafaka tusafishe hao watu wanaoshirikiana na wahalifu tra

Binafsi napeleka vid kwa wah wangu kadhaa itamfikia soon mh g simba chawene ...

Jamboo hili tukilipuuzia litatujia na sisi unashangaa uko mataa ubungo unaambiwa toka nje ya gariyako kumbe wameshabadili.kadi zamani

Naamini itakuwa fundishoo kw a wahuni wotee waliohusikae

kama polisi wanatumwa kukamata muhalifu na wanakuta muhalifu hana pesa .unategemea nini hapo .....tupande dau

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom