ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,235
- 2,123
Watanzania tuacheni roho ya kubania. Jana nilishiriki mnada wa magari wa TRA online. Nilikuwa nataka Noah Town Ace. Wanunuzi tulikuwa wanne, muda wa marejuhi akaibuka mmoja eti ame-bid Noah kwa Tshs 57,000,000/= wakati bei elekezi ya TRA ilianzia Tshs 4,500,000/= Mie nilifika mpaka Tshs 550,000/= ilikuwa niichukue sema akaibuka huyo "Dr shika" wa mtandaoni kuvurugia tu watu mingo zao. Haya sasa kalipie sasa hiyo 57M kwa Noah used.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bei ya laki 5 hata kisado cha nyanya kwa sasa hupati mkuu...wewe ndiye ulivuruga mnada