Huyu rais sata kiboko, museveni anapewa uenyekiti kwa mkono wa kushoto

KIPUMPUSWA

Senior Member
Jul 16, 2011
106
35
Au ni kwa kuwa anajua mu7 hakuchaguliwa kidemokrasia na waganda.

u8.jpg
 
Satta sio mtu wa kucheka cheka na kuuza sura, ndio maana kwao wanamuita "COBRA"!!
 
Left Handed!!!!Huyu Mlokole Sata anatisha kama ataenda speed hiyo hiyo angalau Wazambia watapiga hatua kidogo maana hapokati walipotezaana kabisa
 
Nilikuwepo LIVE hapa, kwa kweli kwa muda mfupi NIMEMKUBALI SANA!!!
 
siasa zake kama za dr.w.slaa, hata slaa akichukua nchi 2015 ataiboresha sana.
 
Yaani tumeshakariri mkono wa kulia ndio wa kumpa mtu? Kama mtu ni left handed je?
 
Au ni kwa kuwa anajua mu7 hakuchaguliwa kidemokrasia na waganda.

View attachment 44000

Ni suala la tofauti za mila na desturi (culture) kati ya waswahili na wazambia. Hapa uswahilini bongo tumerithishwa desturi potofu za kiarabu, kwenda chooni na kopo la maji na kuchambia mkono wa kushoto na hivyo kuupa hadhi ya chini usiofaa hata kugusa chakula. Eti mtu unafundishwa kudharau sehemu ya mwili wako mwenyewe je utampenda kweli jirani yako kama nafsi yako? wakati hata sehemu ya nafisi yako huipendi?
Hizi desturi ndo chimbuko la kuhalalisha na kuwafundisha watoto wetu chuki na fitna.
Matokeo ya mafundisho namna hii ni dharau kwa wengine mfano dharau kwa wanawake, waumini wa imani zingine nk nk

Tusimpime huyo mheshiwa kwa kutumia desturi zetu za kiswahili. Hakuna tofauti ya mkono wa kushoto na kulia vyote ni viungo vyako ulivyopewa na Muumba wako ili vikusaidie kuishi duniani kwa raha na amani
 
Back
Top Bottom